Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli.
Je, taarifa hizi zina ukweli wiwote au ni uzushi ulioxoeleka wa Zitto?
Nchi ngumu sana hii!
Zito ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine
Haya... Tuseme Mayanga ni kampuni ya JPM ndio, basi atuambie 'imepewa tenda ngapi'- hebu aorodheshe hapa.
Zito ni mtaalamu wa takwimu atoke mbele atuambie kulikuwa na miradi ya thamani kiasi gani iliyojengwa awamu ya JPM na Mayanga amepewa % ngapi?
Kwamba tunajua kulikuwa na UJENZI NA UKARABATI wa miradi kadhaa.. Je;
Barabara ngapi?
Madaraja mangapi?
Viwanja vya ndege vingapi?
Maofisi ya taasisi na idara mangapi?
Mahospitali mangapi?
Mazahanati na vituo vya afya vingapi?
Mashule mangapi?
Mavyuo mangapi?
Mabweni mangapi?
Masoko mangapi?
Stendi za mabasi ngapi?
Maofisi ya Majiji manispaa miji wilaya ngapi?
Bandari ngapi?
Vivuko vingapi?
Meli ngapi?
Maghala mangapi?
Miradi mingine kapewa mingapi?
Angalie hata kwenye miundo mbinu ya Maji na umeme REA pia kulikuwa na Miradi sawia.
Aidha ktk utekelezaji wa miradi aliyopewa;
Kuna miradi aliitelekeza akiwa amelipwa?
Alishindwa kumaliza ndani ya muda ukilinganisha na wenzie..?
Je alizidisha gharama ukilinganisha na wenzie..?
Je haikuwa na ubora kwa mujibu wa BOQ..?
Je, akifanya ranking, Mayanga ni kampuni ya ngapi kwa kupewa tenda nyingi nchini??
Mbona wabongo wajinga kiasi hiki..
Chuki hizi ndio zitafanya tuongeze wanachama ACT??
Zito awaachie kina Mdude Chadema siasa za kishamba hizi its too low kwa hadhi yake...