Zitto Kabwe: Mayanga Construction ni kampuni ya hayati Magufuli!

Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wiwote au ni uzushi ulioxoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!

Kuendesha mashambulizi dhidi ya mfu au mtu ambaye hana namna yoyote ya kujibu mapigo ndiyo kiwango cha juu kabisa cha uoga!
 
Hivi kweli watanzania tunaamini ‘contruction firm’ ambayo imesajiliwa Brella na kuna majina ya wamiliki.

Taasisi yenye ma grador, excavator, ofisi na mamashine mengine makubwa makubwa inaweza potea ghafla.

Nina uhakika hiyo taasisi mpaka leo ipo kuna mahala wanafanyakazi.

Yaani sisi watanzania tukiambiwa kitu tunachukulia at ‘face value’ ndio ukweli wenyewe.

Kwanini hakuna mtu anaeuliza hiyo kampuni Brella imesajaliwa majina ya wamiliki ni hakina nani, mashine zake zimeenda wapi (uwezi kumzika nazo Magufuli au kuzificha uwani kwake), kuna windup notes ya biashara kuitaarifu TRA na mabank kama kampuni aipo tena.

Hakuna evidence yoyote ya kusema hiyo kampuni ni ya Magufuli au kwa sasa aipo tena. Lakini tunaamini maneno ya mtaani; how gullible are we as a society.
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wiwote au ni uzushi ulioxoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!
Nilisikia pia kuna kampuni ya Lugumi iliyokuwa inapewa tenda zote za jeshi na hata kusimamia sherehe za kiserikali hivi hii nayo ni ya JPM?
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wiwote au ni uzushi ulioxoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!
Kama kweli ni kampuni ya Magufuli itakuwa jambo zuri maana tulishazoea kampuni za kisanii za Dubai. Pesa imebaki hapa hapa bongo.
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wiwote au ni uzushi ulioxoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!

Mwaka 2017 uzi huu hapa chini wa page zaidi ya 25 uliweka rekodi wazi kuhusu kampuni hii....

Huyo ‘Stephen Makigo’ anatajwa ndio ceo wa Mayanga Contractors tokea 1999 ilipoanzishwa, Magufuli alikuwa afikirii ata uraisi zama hizo.

Mambo mengine ebu tutumie muda kidogo kujiridhisha. Ukienda Brella unapata info zote zaidi au TRA kama kweli walikuwa magumashi.

Wengine wana mi appartment wameweka na initial zao kabisa, watoto zao wanakaa humo humo ni wafadhili wa team za mpira wanatoa mamillioni kama sandakalawe tu awaoni vilivyo wazi vya kifidasi.
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wiwote au ni uzushi ulioxoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!
Ilo mbona liko wazi kitambo sana
 
Walipambana na Magufuli akiwa hai wakachemka! Wakasubiri afariki! Wamejaribu kupambana na kaburi lake bado wamechemka! Waulize wizara ya afya watakuambia jinsi watu walivyoshika maelekezo ya Magufuli kuhusu corona!! Hachanji mtu hapa! havai MTU barakoa hapa!! huvaliwa kwenye hafla za kitaifa tu mbele ya kamera kuwafayia usanii màbeberu!
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wiwote au ni uzushi ulioxoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!
Sasa tatizo ni nini sisi tunataka wazawa wapewe kipaumbele ndiyo maana jpm alibana wafanya kazi wa kigeni au ulitaka singasinga apewe kujenga huo uwanja zito ni mafiiii
 
Hayati alikuwa fisadi. Haya ni marudio tu. Huu ulikuwa wimbo wa Lissu wakati wa kampeni 2020.
 
Kampuni husajiliwa,
Je ilisajiliwa nawakurugenzi na Simba Yuda akiwemo?
Mbona makampuni mengi tu yapo kwa vivuli vya watumishi was serekale.why Magu tu
 
Back
Top Bottom