Zitto Kabwe: Mayanga Construction ni kampuni ya hayati Magufuli!

Zitto Kabwe: Mayanga Construction ni kampuni ya hayati Magufuli!

Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wiwote au ni uzushi ulioxoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!

Atuletee MEMARTS na hata kama ndio kwani kuna ubaya? Yeye ama kampuni ngapi?
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli...
Nchi ngumu kivipi mbona mambo mengine watu tunakuwa hatupo realistic....huyo zito mwenyewe akipewa urais atafanya hivyo hivyo.

Sii bora huyo anaipa kampuni yake na hela zinatumiaka humu nchini kuliko wale waoa iba hela alafu wanaenda wekeza nchi zingine.
 
Eti aliwasamehe wale askari waliosindikiza dhahabu ya magendo kule mwanza, alafu wajinga wanamtukuza huyu marehemu jambazi
Ulemchezo ulichezwa. Dhahabu inawezekana ilikuwa yake sema wale askari waliikwamisha bila kujua ni ya nani. Nyingine ilikamatwa kenya inarudishwa na Kenyata. Ila hawa wazalendo hawakuwahi kusema nani aliisafirisha kenya
 
Nchi ngumu kivipi....mbona mambo mengine watu tunakuwa hatupo realistic....huyo zito mwenyewe akipewa urais atafanya hivyo hivyo.
Sii bora huyo anaipa kampuni yake na hela zinatumiaka humu nchini kuliko wale waoa iba hela alafu wanaenda wekeza nchi zingine.
Kwahiyo unakubali hayati alikuwa fisadi?
 
Sasa amejua Leo sisi tunachofurahia ni uwanja upo ishu anamiliki mama yake zito wala nani hayatuhusu


USSR
Ni kinyume na Public procurement act,
Kama ni kweli hapo kuna conflict of interest,Kwa ubabe wa mchunga ng'ombe unafikiri kulikuwa na ushindani wa haki na makampuni Mengine kwenye upatikanaji wa hio tenda?
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Cinstruction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport nu ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wiwote au ni uzushi ulioxoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!
Unapoteza muda wako kumsikiliza Zitto.
 
Mbona Zitto yuko busy sana na Magufuli?

Ok, Magufuli alikuwa mwizi, so, kwani kumsema kila siku ndio kutamfanya Zitto aonekane malaika?

Naamini Zitto anamtumia Magufuli kama ngao yake ili kuficha uswahiba wake na mtawala aliyeko madarakani sasa.

Ajue tunataka Katiba Mpya ile rasimu ya Warioba, na wala sio tume huru; asitucheleweshe na lawama zake kwa marehemu za kila siku.

Kama ni kashfa hata Zitto alikuwa na zake pia, yale mapesa aliyopewa akiwa mwenyekiti wa PAC hatujasahau, pia anapewa mapesa na serikali iliyoko madarakani ili kudhoofisha upinzani, ajibu haya.

Ripoti ya CAG imetoka juzi, upigaji kila kona, amwambie rafiki yake awachukulie hatua wezi, sio kuimba Magufuli kila siku.

Tatizo lake Magufuli hakumuhonga kama anavyohongwa sasa na marafiki zake walio madarakani, ndio maana ameamua kuwa chawa wao ili kuwalinda, unafiki hata kama ni kipaji chake, apunguze kidogo.
Concentrate on the allegations, to prove them right or wrong.
Dont attack the messenger, it a poor defence.
 
Back
Top Bottom