Zitto Kabwe: Mayanga Construction ni kampuni ya hayati Magufuli!

Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Construction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport ni ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wowote au ni uzushi uliozoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!
Huyu tofauti yake na yule mwanaharakati huru enzi za utawala uliopita ni ndogo sana. Wote wanatumika ila wako vyama tofauti! Hapo tu.
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Construction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport ni ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wowote au ni uzushi uliozoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!
Mzushi sana huyu jamaa
 
Ngoja aliyetajwa kuwa ni Kampuni yake aamke
 
Legacy ya JPM si ya kimchezo mchezo, yani hadi leo hii hawaamini mwamba wa dunia miaka 6 tu maendeleo tele kuliko awamu zote [emoji28]

Yani Mtu ni Fisadi, Mwizi, Nduli lakini bado katoboa hadi kuifikisha TZ uchumi wa kati [emoji23]

TZ inahitaji Marais aina ya JPM wengi sana ili irudi tena uchumi wa kati [emoji1787]
Wajinga wa Chato mnajifariji sana.
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Construction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport ni ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wowote au ni uzushi uliozoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!
Aeleze na yale ya Kikwete. Aache kupambana na marehemu. Bwege kabisa.
 
Akiongea na waandishi wa habari KC Zitto Kabwe wa ACT wazalendo amesema kampuni ya Mayanga Construction iliyoshiriki ujenzi wa Chato International Airport ni ya hayati Magufuli.

Je, taarifa hizi zina ukweli wowote au ni uzushi uliozoeleka wa Zitto?

Nchi ngumu sana hii!
Ni ukweli tena ukweli uliotukuka
 
Sasa amejua Leo sisi tunachofurahia ni uwanja upo ishu anamiliki nani hayatuhusu

USSR
Uo uwanja upo ndege gani inaenda nipe msaada maana nataka niende kutalii huko chattle kunako kilipo kitovu cha utalii
 
Back
Top Bottom