johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,119
Wamtaje sasa wanaficha utafikiri sehemu za siri
Sasa hata asipomtaja lazima akijulikana tumuweke waziAntaje ili muanze kufukunyua mafile mumharibie!?
Sheria inasema Rais wa Zanzibar ndio anayeteua na kumtangaza!Wamtaje sasa wanaficha utafikiri sehemu za siri
Sasa kama rais ndo anateua kwanini wampangieSheria inasema Rais wa Zanzibar ndio anayeteua na kumtangaza!
Kwani ACT wamempangia au wamependekeza jina kama Sheria inavyosema? Wao wameshamaliza jukumu lao kuteua jina na sasa ni jukumu la Rais Mwinyi kuteua na kutangaza...Sasa kama rais ndo anateua kwanini wampangie
tumeshamuelewa ππUzi tayari! Kaazi kweli kweli...
Kwani ACT wamempangia au wamependekeza jina kama Sheria inavyosema? Wao wameshamaliza jukumu lao kuteua jina na sasa ni jukumu la Rais Mwinyi kuteua na kutangaza...
CCM wanamwogopa Othman wanasema bora Lisu kuliko huyu. Kwa sababu Lisu anajua sheria hajui historia ila huyu anajua vyote.Kina nani hasa hao wanaovutana?
Ni mwanamke labda!Kuna wanaosema Juma duni na kuna wanaosema Othman ,kheri apendayo ALLAH,wote wanafaa.