Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,991
Mnabishana na nabii kigogo?
Mzushi huwa hachaguwi wa kunzushia
Mzushi huwa hachaguwi wa kunzushia
Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya Kirundi.
View attachment 1742127