Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

Hii ni kolam ya watu wenye fikra pevu. Kama mtoa uzi huu angekuwa amepevuka kifikra angepambanua kati ya ubunge na uanachama. Zitto hatuhumiwi au hakupewa madaraka kwa kuwa alikuwa mbunge ambacho ndicho alipigiwa kura kwacho na wana Kigoma. Na si uanachama wake ambao wana Kigoma hawajui alijiunga vipi. Inawezekana wewe binti umesoma bila kuakilika pima mawazo yako.
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

Unamaanisha kwamba KAPUYA alivyo mbakaji wa vibinti vidogo(under 18),ndiyo tabia ya wana CCM wote????????,.Kajipange upya umeharibu mno!.
 
Last edited by a moderator:
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!
Akili ya kitoto kwahiyo waliomchagua kapuya wote ni wabakaji?basi asishitakiwa maana wanaurambo wanampenda.
 
Last edited by a moderator:
Kamti kuu ya Chedema iliowavua nyadhifa akina Zito na Kitila Mkumbo ilifanya hivyo kwa niaba ya Wanachadema wote.Na kamwe hawajafanya makosa kwa sababu waraka wa siri waliouandika ni ushahidi tosha.Kwa watu wanaopenda mageuzi hawawezi kuunga mkono uasi wa akina Zito na Kitila Mkumbo.Kwanza napenda kuwataarifu wanamageuzi wote kuwa kuna taarifa sahihi kutoka vyanzo makini kuwa Kitila Mkumbo ni USALAMA WA TAIFA aliyetumwa na CCM kuivuruga Chedema.Na Zito alishanunuliwa na CCM tangu muda mrefu na ndio maana hajawahi kukanyaga ofisini kwake kwa miaka kadhaa wakati yeye ni bosi.Kama kuna watu wanaomuunga mkono Zito na Kitila basi watu hawa watakuwa hawajui yaliomo ndani ya mioyo ya watu hawa au wao watakuwa wamenunuliwa na CCM.Zito Kabwe sio Mungu wala mtume hata akiondoka wapo wataoziba pengo lake.Nyerere aliondoka na pengo lake limezibwa na wengine.Kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho na huu ndio mwisho wa Zito Chadema.Hata Chadema iko siku kitakufa na vivo hivyo hata CCM nayo iko siku itasambaratika tu.Wanaomshabikia na kumuunga mkono Zito wajue kuwa wanajiburudisha tu hizo kelele lakini kamwe hawawezi kumrudisha Zito.Siku 14 walizopewa za kujitetea zikifika kamati kuu itakaa tena na kupigilia msumari wa mwisho wa kumvua uanachama sanjari na kuvuliwa ubunge.Zito Kabwe alikuwepo na sasa itabaki historia.Zito Kabwe kushinei.
 
FaizaFoxy, jibu lako liko hapa likitolewa na mhusika mwenyewe Mh. Zitto akimjibu mwandishi Absalom Kibanda, nanukuu;
Huyo ni Mh. Zitto mwenyewe and wtf are you ...tafadhali tafakari. Ukiona vyaelea vimeundwa!

Wengine hata mkitukana humu mpo juu ya sheria na kanuni za JF? Paw, njoo uone hii.

Soa vizuri jina, huyo si Zitto, huyo ni Zitto wa zamani, hata kusoma ni matatizo kwako?
 
Last edited by a moderator:
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

Unamaanisha hata Arusha kule penye academy ya jeshi wayu wote ni mafisada kwa kuwa walimchagua fisadi papa
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo Mwanamkasi akiwa mbaya basi waswahili wote wawe wabay sio??

akili fupi mno aisee

Amemtaja mara nyingi utadhani Wako kitandani
Huyu ni mjinga si pole
Kwa hiyo alivyoondolewa Mansoor Himid maana yake Waunguja wote ni wabaya kwa magamba?!
Shule nayo!
 
Kamti kuu ya Chedema iliowavua nyadhifa akina Zito na Kitila Mkumbo ilifanya hivyo kwa niaba ya Wanachadema wote.Na kamwe hawajafanya makosa kwa sababu waraka wa siri waliouandika ni ushahidi tosha.Kwa watu wanaopenda mageuzi hawawezi kuunga mkono uasi wa akina Zito na Kitila Mkumbo.Kwanza napenda kuwataarifu wanamageuzi wote kuwa kuna taarifa sahihi kutoka vyanzo makini kuwa Kitila Mkumbo ni USALAMA WA TAIFA aliyetumwa na CCM kuivuruga Chedema.Na Zito alishanunuliwa na CCM tangu muda mrefu na ndio maana hajawahi kukanyaga ofisini kwake kwa miaka kadhaa wakati yeye ni bosi.Kama kuna watu wanaomuunga mkono Zito na Kitila basi watu hawa watakuwa hawajui yaliomo ndani ya mioyo ya watu hawa au wao watakuwa wamenunuliwa na CCM.Zito Kabwe sio Mungu wala mtume hata akiondoka wapo wataoziba pengo lake.Nyerere aliondoka na pengo lake limezibwa na wengine.Kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho na huu ndio mwisho wa Zito Chadema.Hata Chadema iko siku kitakufa na vivo hivyo hata CCM nayo iko siku itasambaratika tu.Wanaomshabikia na kumuunga mkono Zito wajue kuwa wanajiburudisha tu hizo kelele lakini kamwe hawawezi kumrudisha Zito.Siku 14 walizopewa za kujitetea zikifika kamati kuu itakaa tena na kupigilia msumari wa mwisho wa kumvua uanachama sanjari na kuvuliwa ubunge.Zito Kabwe alikuwepo na sasa itabaki historia.Zito Kabwe kushinei.

Uongo huo, haikufanya kwa niaba ya wanachadema wote, jisomee hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ida-ajiuzulu-adai-kamati-kuu-ni-wanafiki.html
 
maccm wanafiki mbona swala la zitto linawaumiza sana mbinu zenu chafu hazitafanikiwa daima .
 
Hii ni kolam ya watu wenye fikra pevu. Kama mtoa uzi huu angekuwa amepevuka kifikra angepambanua kati ya ubunge na uanachama. Zitto hatuhumiwi au hakupewa madaraka kwa kuwa alikuwa mbunge ambacho ndicho alipigiwa kura kwacho na wana Kigoma. Na si uanachama wake ambao wana Kigoma hawajui alijiunga vipi. Inawezekana wewe binti umesoma bila kuakilika pima mawazo yako.

Ungekuwa na akili ya kutosha ungeelewa kuwa mhaini na msaliti hastahiki kuwapo kwenye chama. Mfukuzeni. Mnaogopa nini?

Mimi nasema mnashindwa kumfukuza kwa sababu ya ruzuku anayowaingizia kupitia ubunge wake, si unajuwa ruzuku inaendana na idadi ya wabunge? au hujui hilo?
 
Wanaomtetea Zitto ni wanaCCM na watukana ukristo humu JF! Sijui kinawauma nini?
 
Last edited by a moderator:
Amemtaja mara nyingi utadhani Wako kitandani
Huyu ni mjinga si pole
Kwa hiyo alivyoondolewa Mansoor Himid maana yake Waunguja wote ni wabaya kwa magamba?!
Shule nayo!

Mansoor Himid tulimfukuza kabisa chama. Nyinyi kinawashinda nini kumfukuza msaliti na mhaini wa chama? au ndio baniani mbaya kiatu chake dawa?
 
Inawezekana,kwani mböna KAPUYA mbaya lakini walio mchagua wazuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom