Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

Samaki mmoja akioza...

Malizia mwenyewe!

duuuh!hizi methali hizi zina mambo......kwa hiyo kama Lowasa alijiuzulu kwa sababu ya tuhuma za mkataba uliogubikwa na rushwa na mpaka leo ni mwanaccm.....ina maana wana ccm wote wala rushwa.............


CC: Wanaurambo Magharibi
 
Faizafox,
Sijui kama nimepatia jina lenyewe, umeonyesha kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka zaidi ya 18 anaruhusiwa kubakwa na kuambukizwa UKIMWI? kweli CCM mmeishiwa sera mmebaki kubahatisha maisha, mara muue Tembo mara muuze madawa ya kulevya nk.
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

Mhhhhhhhhhh! Napita nitakuja tena
 
Faizafox,
Sijui kama nimepatia jina lenyewe, umeonyesha kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka zaidi ya 18 anaruhusiwa kubakwa na kuambukizwa UKIMWI? kweli CCM mmeishiwa sera mmebaki kubahatisha maisha, mara muue Tembo mara muuze madawa ya kulevya nk.

Baniani Mbaya kiatu chake dawa. Hivi, kinawashinda nini kumfukuza mhaini na msaliti? ruzuku yake? Na jana Slaa kaongezea "ugaidi".

kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Waungwana;
Mimi kuna kitu/vitu nashindwa kuelewa nyie wanadamu.
ni kwa nini kila linapofanyika jambo lazima kuweka visingizio au vijisababu visivyo na msingi?
Siku zote Mtu alieishiwa sababu/hoja hubaki na visingizio tu.
Mnaposema mabango na maandamano yanayofanyika kasulu,kibondo eti ni mkono wa ccm.
Ina maana hamtaki kuamini kwamba ZZK anaushawishi na nguvu kubwa ya kupendwa ndani na nje ya kigoma?
Je,anapofanyaga mikutano mikubwa ya hadhara sehemu tofauti Tz,nani anamkusanyia watu?
Je,katika harakati zake tofauti hadi nje ya nchi anatumia mgongo wa mtu au ccm?
Ok,inaweza kua kuna mkono wao ccm.lakini kwa asilimia sifuri sana.
watu wanampenda zitto jameni kueni wawazi tu.msiingize kisingizio cha ccm wakati hoja hamnazo.
PIA MTAMBUE KWAMBA HATA SIKU MOJA MAMA HAWEZI KUMWITA MWANAE MWIZI HATA KAMA KAMUONA KAIBA KWA JIRANI.HIVYO DR SLAA ASIDHANI ATASIKILIZWA KIGOMA ALIKOENDA KUTAFUTA HURUMA YA WANAKIGOMA,WAKATI KAMFANYIA MBAYA TOTO LAO(zzk).
Swali: kinachowazunguusha nchi nzima si kwa sbb zitto kawashika pabaya mnatafuta pa kutokea?
Bigup kasulu na kigoma kwa ujumla,zama za kuburuzwa zimeshakwisha.kama wanataka faraja waende huko kaskazini.
wamelikoroga wenyewe,sasa acha walinywe.DR "S",rudi dar upumzike.WAHA hawana masihara kwenye mambo ya msingi(serious)-watakumwangosi
Kwani Lema siku hizi ni MIN-KABAGGGGGG?
 
duh! kweli kuna tofauti kubwa kati ya "mjinga na --------"
kwa hiyo mlivyomfukuza mansoor ndo hamna urafiki tena na wananchi wa Kiembe Samaki? au ndo kusema hamtasimamisha mgombea tena kwenye uchaguzi mdogo maana mansoor ni mbaya kwa ccm na hivyo hata wananchi aliokuwa anawaongoza ni wabaya kwa ccm pia " acha kuwaza visasi"
 
hivi inaingia akilini? zitto kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea uenyekiti wa chadema, hakuna zaidi.

Wana kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa zitto hakuchaguliwa na kamati ya mbowe, zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi wana kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" x 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni wana kigoma.

Kigoma oyeeeeeeeeeeee! zitto oyeeeeeeeeeeeee!


hilo linawezekana isopukwa kama wewe ni mkabila. Zzzk ni mbaya japo wa kg wenzangu tuko wazuri
 
hilo linawezekana isopukwa kama wewe ni mkabila. Zzzk ni mbaya japo wa kg wenzangu tuko wazuri

Kila anaeibua madudu ya viongozi wenu wa Kaskazini basi huyo ni mbaya. Na hapo ndio tunapopafurahia sisi.

Sisi kazi yetu kuwaambia tu wala hatutaki mjirekebishe, endeleeni hivyo hivyo.
 
Kila anaeibua madudu ya viongozi wenu wa Kaskazini basi huyo ni mbaya. Na hapo ndio tunapopafurahia sisi.

Sisi kazi yetu kuwaambia tu wala hatutaki mjirekebishe, endeleeni hivyo hivyo.
Umemaliza kuwambia viongozi wako na madudu yao???? au unaangalia kwa jirani unashangaa shimo la taka linawaka moto huku kwako nyumba ya mzee mwenye kaya inaungua??? yaani nyumba ya baba yako inaungua???
 
MwanaCCM ambaye anaona madudu ya CDM bila kuona uozo wa CCM for the past 52years of uhuru, ni mwehu apuuzwe, CDM haijawahi kuongoza hata muhura mmoja lakin faizafoxy ni maskini wa kutupwa jalalani, sasa huoni ni vema ushughulilke na hilo kwanza???
 
Nilipowaeleza hayo hamkunielewa, sasa nnawauliza "kimetokeani"?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom