Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

Na Unampenda ZITTO kwasababu ya DINI yake au KABILA lake?

Sasa kama kweli wewe ni Mwanasiasa na sio BIGOT ungeangalia Mkoa wa Kilimanjaro ni Wachagga Wangapi wameichagua CCM dhidi ya CHADEMA

Utaona kuwa Hao Wachagga Mnaowabagua sasa they are very loyal to CCM than CHADEMA: Angalia Statistics...

Nampenda kwa kuonewa kwake, eti kwa sababu tu anataka kugombea Uenyekiti ndio azushiwe tuhuma ambazo hata akilini haziingii.
 
ths guy zitto kabwe is the best ever..taifa haliwezi kumic mtu kama huyu kwa maendeleo ya taifa ..vijana tutamfata popote aendapo ...tutapigania haki zake popote pale ...ili aendelee kusimama kwa mustakabali wa taifa hili...

I second your opinion.
 
Tanzania hakichaguliwi chama anachaguliwa mgombea. Si wote waliomchaguwa Zitto ni chadema, si wote waliomchaguwa Kikwete ni CCM. Kumbuka hilo.

Wakazi wakiembe samaki tunamuomba Mansour wetu arudishwe kutuwakilisha barazani kabla hujadindisha kinembe kwa yasokuhusu.
 
Watu wanaopelekeshwa na buku 7 za Lumumba utaona tu post zao zisivyo na akili.
Hata watu wa familia moja tu hutokea, waweza kuta baba ni kimeo Kama Majamaa ya magamba lakini watoto wake wakawa poa.
Mbona nyinyi maccm mmemtimua Yusuf Makamba ktk chama mkamuingiza mwanawe January Makamba?!
Hizo njaa za buku Saba zitawaua.
 
Ngoja Dr.W.Slaa akakutane na waha na wabembe walivyokuwa na hasira na Chadema.

nendeni mka soweto au olasiti muone kwa akili zenu za Nyumbu mkidhani kuwa mtasema ni wafuasi wa Zitto..Vatican wanawaangalia mlicho olasiti.Mkipiga tuu bomu au kujerushi kwa chochote Mtawaeleza Vaticana hiyo jihadi ktk CCM mliwapelekea ya nini?

Shule za katholic hazikuwafundisha ugaidi,waliwafundisha ilim dunia.
 
Hawezi kuteuliwa kuwa MBUNGE wa viti maalumu kwani ataenda kumvulia chupi nani huko Bungeni?

Labda useme kuwa mumteuwe AKAGOMBEE Ubunge na Wananchi waamue. Safari hii, ni muda wa Wakristo kwa sana.

Mchagueni Shonza maana atazivua sana na afe maskini Binti ya watu. Au mumpeleke Chuo Kikuu akasomee na kupata zile Degree alizosema DC wa Korogwe, Mrisho Gambo kuwa Degree za Chupi......
Mfukuzeni kama mu-wakweli, ndio mtaona kahamia wapi.

Nakuhakikishia, mkimfukuza na akihamia CCM, kitu cha kwanza tunamteua kuwa mbunge na tunamwambia agombee tena PAC. Hapo sasa!
 
Yaani yoyote usiyemwelewa ni MLEVI? Unaona Matatizo hayo JUDGING a HUMAN BEING… sidhani Ungependa kuwa Judged na someone...

Kama umeona Nimejipinga then Niambie ni wapi kwanini kila kitu ni kuweka CHUKI - Hakuna Maendeleo kama tutaendesha CHUKI

Kama hujalewa sema "sijalewa" wacha porojo. Halafu rudia post yako ukaisome upya.

Maendeleo yataletwa wakati tunaandika wenyewe na kujipinga wenyewe? ilimradi tupinge tu!

Maendeleo yetu ni kuweza kufitinisha sana, kuchonganisha sana, kuwa mafataani sana na kulewa sana na kula sana kila siku. Tuna zaidi ya hilo?
 
Viongozi wa CHADEMA wamekosa vision, walitaka kuwatumia wananchi kuwapandia migongoni kwa faida ya manufaa yao. Na hili halitawezekena kamwe. Mkiwafukuza akina Zito na CHADEMA mjue itamomonyoka kama theruji iliyokumbana na joto, maana hawatasalimika. Wasitumie shida za wananchi kwa faida yao binafsi na familia zao.
 
Nampenda kwa kuonewa kwake, eti kwa sababu tu anataka kugombea Uenyekiti ndio azushiwe tuhuma ambazo hata akilini haziingii.

Ni lini CCM kuliwahi kuwa na uchaguzi ngazi ya Taifa?

Tupe mifano michache nani aliwahi kushindana na nani?
 
Hakuna kitu kama hicho. Angelikuwa Mkristo, wala usingelijali na ndiyo ungelisema Wamfukuze haraka. Angalia tu kwamba, Zitto hajaowa. Akikuchumbia na umgomee, basi hata PANYA nyumbani kwenu hawatabaki, na utapigwa tu!!!!!
Nampenda kwa kuonewa kwake, eti kwa sababu tu anataka kugombea Uenyekiti ndio azushiwe tuhuma ambazo hata akilini haziingii.
 
Ni lini CCM kuliwahi kuwa na uchaguzi ngazi ya Taifa?

Tupe mifano michache nani aliwahi kushindana na nani?

Achana na CCM, kwani ulisikia CCM ni chama cha demokrasia? CCM ni Chama Cha Mapinduzi, unajuwa maana yake?

Isitoshe, hapa anaongelewa Zitto Kabwe na wapiga kura wake na jinsi chadema ilivyowasaliti.

CCM wakiwa na uchaguzi wasiwe na uchaguzi inahusu nini? au wewe unataka kuiga kila wafanyalo CCM? ndio demokrasia yenu hiyo?
 
Last edited by a moderator:
Kumbe FaizaFoxy ni mkristo halafu mchaga nilikuwa sijui kama tuko nae kwenye chama chetu cha kichaga na kikristo.
Karibu sana Vatican ya Kilimanjaro Kaskazini. FaizaFoxy jamaaani kariiiibu.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe FaizaFoxy ni mkristo halafu mchaga nilikuwa sijui kama tuko nae kwenye chama chetu cha kichaga na kikristo.
Karibu sana Vatican ya Kilimanjaro Kaskazini. FaizaFoxy jamaaani kariiiibu.

Umeshalewa? tena naona wewe hiyo si mbege, maana mkinywa mbege huwa mnasahau Kichagga na Kiswahili, mnakuwa Waingereza weusi ndio nyinyi.

Vipi, huko ulikotoka hukuwekewa nyimbo za gospel za Jim Reeves? ndio msim huu.
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!
Kwa mantiki hii unataka kuniambia Wanakigoma wapo kwa ajili ya Zitto na sio Chadema?So unataka kuniambia kama Zitto akifa kesho na wana Kigoma wafe nao au wahamie Chama chengine?Hivi Watanzania tuna akili kweli yaani mtu ati yupo kwa ajili ya mtu flani teh teh mie ni siko kwa ajili ya mtu mmoja mmoja nipo kwa ajili ya Chama na kama niliyemchagua akienda kinyume na utaratibu nitakubaliana na chombo kilichomhukumu kwa kuwa ni chombo ninachokiamini kwani mie niko kwa Chama na siko kwa mtu moja mmoja.Kama Watanzania tunakataa kuleana tutafika mbali tukumbuke tupo hapa kwa ajili ya serikali hii inayoongozwa na chama cha CCM na kwa UDHAIFU wao na kulindana ati kuoneana aibu ndio maana nchi inadidimia kama CCM kunzaia miaka ya 1990 wangechukua maamuzi magumu leo hii tungekuwa mbali sana hata katika shughuli za kimaendeleo hatuwezi kuingiza siasa.Wenzetu Kenya juzi walizindua ujenzi wa Reli mpyaa tena ya kisasa zaidi kama zile za Ulaya lakini huku kwentu viongozi wa serikali wamakalia vikao kwa nini Zitto afukuzwe Chadema hivi kwani akifukuzwa si ndio ingekuwa poa kwenu Maccm kwani nyie nyie si ndio mlisema Chadema kitakufa soon sasa badala ya kulalamika na kusema kwa nini Zitto kafukuzwa so mngeshangilia na kumkaribisha Zitto CCM ili mkiuwe kwa uzuri zaidi lakini cha ajabu kila uchao mnatoa mapovu.Shame on you Maccm.Na lazima Zitto Zuberi Kabwe afukuzwe kama kweli alikuwa mtetezi wa wanaKigoma leo hii Halmashauri ya Kigoma ingeongozwa na Meya kutoka Chadema na Madiwani wote wangetoka Chadema kwa miaka yote aliyokuwa Mbunge lakini aibu yake ana Diwani mmoja tu so what.
 
Kumbe Wananchi waliomchagua Kapuya lazima na wenyewe watakuwa wabakaji du!? This is funny!!!!
 
Achana na CCM, kwani ulisikia CCM ni chama cha demokrasia? CCM ni Chama Cha Mapinduzi, unajuwa maana yake?

Isitoshe, hapa anaongelewa Zitto Kabwe na wapiga kura wake na jinsi chadema ilivyowasaliti.

CCM wakiwa na uchaguzi wasiwe na uchaguzi inahusu nini? au wewe unataka kuiga kila wafanyalo CCM? ndio demokrasia yenu hiyo?

Angalia unaishia kujambajamba tu . huna mbele wala nyumba
 
Last edited by a moderator:
Chama kitamsimamisha asiyetaka kugombea? au asiye na uwezo wa kushinda? kamsimamisheni Josephine Unguja, tuone kama atakubali kusimama.

we vipi?unaumwa?kwani Lowasa alivyowajibika/wajibishwa na bunge inamaana Bunge na Serikali waliwachukia wanaMONDULI?Halafu mimi sio chadema wala ccm,ila waacheni cdm washughulikie matatizo yao.mnashabikia shabikia nini?SHUGHULIKIENI Maji,elimu,zahanati,umeme,viwanda,Ajira,ufisadi,sera nzuri ya gesi,madini,madawa ya kulevya,meno ya tembo n.k. kmvp sindikeni mananasi na maembe yanaanza kuwaozea wakulima.SIO MNASHOBOKA NA MIGOGORO YA CDM,FANYENI YENU.Halafu nyie ndo tumewachoka mnoooo...mnaboa sana,kazi kulindana na kuchezea rasilimali zetu.
 
Umeshalewa? tena naona wewe hiyo si mbege, maana mkinywa mbege huwa mnasahau Kichagga na Kiswahili, mnakuwa Waingereza weusi ndio nyinyi.

Vipi, huko ulikotoka hukuwekewa nyimbo za gospel za Jim Reeves? ndio msim huu.
FaizaFoxy jamaani mbona uko na sisi sasa huku ukristoni Kaskazini jamani, usiogope Sheikh Ilunga hatajua chochote jamaani
 
Last edited by a moderator:
nendeni mka soweto au olasiti muone kwa akili zenu za Nyumbu mkidhani kuwa mtasema ni wafuasi wa Zitto..Vatican wanawaangalia mlicho olasiti.Mkipiga tuu bomu au kujerushi kwa chochote Mtawaeleza Vaticana hiyo jihadi ktk CCM mliwapelekea ya nini?

Shule za katholic hazikuwafundisha ugaidi,waliwafundisha ilim dunia.

Ilim ni nini??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom