Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?
Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.
Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.
Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!
FaizaFoxy, jibu lako liko hapa likitolewa na mhusika mwenyewe Mh. Zitto akimjibu mwandishi Absalom Kibanda, nanukuu;
Zitto wa zamani said:
Tumegundua kuwapo kwa juhudi za makusudi za kutaka kutugombanisha CHADEMA. Hiki ni chama makini, kimezibaini njama hizo na kwa hakika hakiwezi kusambaratishwa. CHADEMA ndiyo imenipa umaarufu mimi… mimi si maarufu kuliko chama. CHADEMA ni taasisi, ni chama ambacho kina misingi ya uanzishwaji wake.

Wanasema eti nilishinda kwa umaarufu wangu binafsi, si kweli. Niligombea ubunge nikitokea shule, sikuwa najulikana. Nilikuta ‘grassroots network' ya chama, chama hakikujengwa na mimi. CHADEMA ilijengwa na uongozi uliokuwepo, nilikuta uongozi ‘intact' (imara). Katika kila kijiji kulikuwa na uongozi na hata katika vitongoji vyote. Wakati naingia kugombea ubunge kulikuwa na wanachama wa CHADEMA wenye kadi wanaofikia 10,800 katika jimbo zima. Hawa sikuwatafuta mimi, niliwakuta na ndio waliofanikisha ushindi wangu.

Katika mazingira kama haya utasemaje kuwa mimi ni maarufu kuliko chama wakati chama ndicho kimenipa umaarufu?
CHADEMA ni chama ambacho wenyeviti wake wastaafu wanaendelea kuenziwa na kuhudhuria vikao vyote vya chama… ‘institutional memory' ipo kuliko katika vyama vingine vya upinzani. Alipohama (Dk. Aman Walid) Kabourou, wengi walidhani ndiyo mwisho wa CHADEMA Kigoma, lakini leo hii CHADEMA ni moto Kigoma kuliko ilivyokuwa awali.
Huyo ni Mh. Zitto mwenyewe ...tafadhali tafakari. Ukiona vyaelea vimeundwa!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!
Kapuya ni mbakaji, je waliomchagua nao ni wabakaji?
 
Achana na CCM, kwani ulisikia CCM ni chama cha demokrasia? CCM ni Chama Cha Mapinduzi, unajuwa maana yake?

Isitoshe, hapa anaongelewa Zitto Kabwe na wapiga kura wake na jinsi chadema ilivyowasaliti.

CCM wakiwa na uchaguzi wasiwe na uchaguzi inahusu nini? au wewe unataka kuiga kila wafanyalo CCM? ndio demokrasia yenu hiyo?

Hujijui hata ulipo, ulikotoka na unakoelekea.
Sasa wewe unafuata nini Chadema au unamtaka Zitto kama unavyomtaka JK CCM??
Mwanamke akivurugwa mwili na akili ni Shida KUU
 
Last edited by a moderator:
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

The amount of bullshit in this thread is extremely damn high
 
Kama hujalewa sema "sijalewa" wacha porojo. Halafu rudia post yako ukaisome upya.

Maendeleo yataletwa wakati tunaandika wenyewe na kujipinga wenyewe? ilimradi tupinge tu!

Maendeleo yetu ni kuweza kufitinisha sana, kuchonganisha sana, kuwa mafataani sana na kulewa sana na kula sana kila siku. Tuna zaidi ya hilo?

Yeah kuna watu ambao wanapenda NEGATIVITY for the sake of their survival… Sidhani kuwa na CHUKI kwa baadhi ya wapinzani kutasaidia chohote

Kitu kinachotakiwa ni kutokukimbilia matabaka ambayo yapo na hayajatudhuri Nchini Mwetu kama Majirani zetu

Hiyo ya kufitinishiana labda sio sababu kwasababu wewe unataka kuongea ulichonacho cha kuchonganisha...

Siasa sio lelemama… na ukishafikia Uwezo fulani kwahiyo unakuwa tayari kugombea URAIS; Vyama vingi duniani havina mchecheto wa uongozi kama Tanzania wa kuhudhuria hiyo MIKUTANO ya VYAMA na kuwa na KADI za uanachama
 
E327.png
E022.png

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
...sikuwahi kufikiri kama huyu bibi naye akili yake ktk kujenga hoja ni ndogo namna hii...
 
Kamati kuu imefanya maamuzi ya kipuuzi-mwenyekiti chadema(singida)

kamati kuu imefanya maamuzi ya kijuha-mwenye kiti chadema(lindi)
 
Teh teh, nilikuwa mshabiki sana wa zitto, lakini kwa ngonjera zinazoendelea ccm, nimevunjika moyo, kufiwa kafiwa jirani, kulia ulie wewe! Kweli majanga matupu, pia umenishangaza, ina maana zitto alichaguliwa na wana kigoma kuwa naibu katibu mkuu chadema? Kweli ccm wanamtetea mtu wao !
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma

Kwa hiyo CCM nayo imewakataa wapiga kura wa Jimbo la Kiembe Samaki-ZNZ?CCM haitashiriki uchaguzi huo?

What a narrow mind from a lady regarded as one of JF's politics guru analyst?

What a pity!
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy, jibu lako liko hapa likitolewa na mhusika mwenyewe Mh. Zitto akimjibu mwandishi Absalom Kibanda, nanukuu;
Huyo ni Mh. Zitto mwenyewe and wtf are you ...tafadhali tafakari. Ukiona vyaelea vimeundwa!
mkuu hapo umempa live, kazi ya maccm ni kuchonganisha chonganisha 2!
 
Kamati kuu imefanya maamuzi ya kipuuzi-mwenyekiti chadema(singida)

kamati kuu imefanya maamuzi ya kijuha-mwenye kiti chadema(lindi)

CCM ilimvua UWAKILISHI wake Mansoor Himid sababu ya Uzanzibar wake-Mzee Nassoro Moyo!
 
Umewatukana wana wa Kigoma. Pia, wale wa kapuya utasemaje?

Wamemchagua Mbakaji, kwahiyo Wana-Tabora wote ni Wabakaji? Halafu mji.nga huyu anavyosema utadhani Zitto ni mbunge wa mkoa mzima wa kigoma! Kweli akili fupi!
 
Slaa lazima amuombe radhi zitto vinginevyo atamalizia maisha yake vibaya sana hapa duniani.
 
Kamati kuu imefanya maamuzi ya kipuuzi-mwenyekiti chadema(singida)

kamati kuu imefanya maamuzi ya kijuha-mwenye kiti chadema(lindi)
ukifikia hatua ya hawa wenyeviti ni hatari zaidi, unapendaje demokrasia huku ukidharau maamuzi halali ya chama?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom