Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

Zamani shetani alikuwa malaika wa Mungu alitumika kutenda kazi za Mungu kwa utukufa wake.Vivyo hivyo kwa Mh.Zitto nae alikuwa kiongozi mahiri na mwadilifu kwa chama cha Chadema na wapiga kura wake wa Kigoma.Lakini baada ya kulewa madaraka na kuingiliwa na usalama wa taifa amebadilika na kuwa muasi.Hana tofauti na SHETANI aliyeasi UMALAIKA.Kama nilivyosema mwanzo lenye mwanzo halikosi mwisho na huu ndio mwisho wake.Politically, Zitto Kabwe has kicked the bucket.
 
Mnadhani mnamtetea kumbwe ndo munamuangamiza.

CDM sio kama magamba.[

QUOTE=FaizaFoxy;7989223]Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee![/QUOTE]
 
Lakini hapo naona kuna Uwalakini; kwenye Demokrasia Wachaguzi hawahusishwi hata kidogo na Mgombea Madaraka kwenye hayo Maeneo...

Kama ni hivyo basi Wananchi wa Ujerumani pia ni wabaya Kwasababu HITLER alichaguliwa kwa kura na kwa haki kuiongoza UJERUMANI… ???

Hiitaji nguvu kubwa kiasi hichi kumwelimisha huyu, anaweka hoja zake kwa emotions zaidi bila kupangilia hoja zenye uhalisia. Unaweza mwambia pia kwa sababu CHADEMA ni mbaya basi hata Zitto ni mbaya uone atakavyokushambulia. Ila imba wimbo wao CCM ni chama safi CDM chama cha kikabila ukanda ila Zitto safi.
 
--chuki
--chuki
--ukabila
--ukabila
--udini
--udini
--wivu
--wivu
priority zenu
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!
acha kuzuga watu, kigoma si ya Zitto na si kila mwana kigoma anamfagilia zitto.

Kama mlidanganyana hivyo - pole.
 
Mbona mimi mkigoma toka mtaa wa Nyakageni-GUNGU simpendi?
 
Mdada unahangaika wewe!!! duh, hivi sikuhizi wote tangu nape mmekuwa wan CDM? mbona mmeumia sana? na bado!!

Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!
 
Zitto ataendelea kuwa kizito ndani ya chama kama jina lake lilivyo.wasijindanganye kuwa kigoma tutamtenga zitto wetu kwani katuletea maendeleo makubwa sana.kigoma bila zitto haikubaliki.
 
Dada foxy hivi Rostam alivyokuwa mbaya kwenu mpaka mkashinikiza ajihuzuru(japo wale wawili wame prove kuwa vidume kwa kukataa maamuzi ya mabosi wako) je wapiga kura wa iguunga safari hii walikuwa wabaya au wazuri kwenu?
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

Pumba at its best.
 
Last edited by a moderator:
Samaki mmoja akioza...

Malizia mwenyewe!

Kwa umri wako ningetegemea uelewe kwamba binadamu si kama jiwe; anaweza kubaadilika.

Inawezekana kabisa kuwa Wanakigoma walipomchagua Zito alikuwa mwadilifu; lakini kutokana na Mazingira au ushawishi wa watu kama wewe kabadilika.

Ina maana kwa kuwa Zito kabadilika na wana Kigoma wote wamebadilika? You are not serious!!
 
....wote wameoza,unamaanisha,ccm akiwa mmoja fisad wote mafisad

Nyie hamfanyi chochote bila kujilinganisha na role model wenu CCM au sio? nyinyi ni wapinzani wa CCM au washabiki wa CCM?

CCM walifukuza Himid tena alikuwa waziri, walimfukuza kabisa kwenye chama, nyiyi mbona mnashindwa kumfukuza Zitto? vipi? ruzuku itapunguwa?
 
Last edited by a moderator:
Hiitaji nguvu kubwa kiasi hichi kumwelimisha huyu, anaweka hoja zake kwa emotions zaidi bila kupangilia hoja zenye uhalisia. Unaweza mwambia pia kwa sababu CHADEMA ni mbaya basi hata Zitto ni mbaya uone atakavyokushambulia. Ila imba wimbo wao CCM ni chama safi CDM chama cha kikabila ukanda ila Zitto safi.
Katika kosa la nne, akina Zitto wanadaiwa kujihusisha na vikundi vyenye misingi ya ukabila, udini au ukanda ambavyo vina makusudi ya kubaguana ndani ya chama, miongoni mwa jamii, kisiasa au kijamii. Katika kosa hilo wanadaiwa kwenda kinyume na kipengele cha 10.1 (IV), cha Kanuni za Uendeshaji wa Chama.

Hapa inabidi muwaeleze wana Kigoma, mnamaanisha nini udini wa Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Watetezi wa Zitto ndani ya JF ni makada wa CCM na watukana ukristo!
 
Last edited by a moderator:
Lowasa alijiuzulu mwenyewe hakuwajibishwa na mtu. Kumbuka hilo. Na ndiyo anakuja kwa kazi sana kuelekea 2015, Kumbuka na hilo pia.

Umezisoma tuhuma 11 alizotuhumiwa Zitto? ni ngapi zinaongelea udini? na udini wa Zitto ni upi? Ukatoliki?

Faiza, umesahau kuwa Lowassa ndiye aliyesaini UFATAANI unaoitwa MoU? Na sasa unakiri kuwa anakuja kwa kasi sana 2015? Hamjakaa kama kamati ya Maulamaa kumpunguzia kasi maana kuna dalili nyingi sana akiingia tu Ikulu ataiboresha MoU mara nne ya ilivyo sasa
 
Pumba at its best.

Inabidi muwaeleze wana Kigoma na Watanzania kwa ujumla, huu mliousema udini wa Zitto ndio nini? Uislaam wake na kundi lake ni wapiga kura wake au?

Katika kosa la nne, akina Zitto wanadaiwa kujihusisha na vikundi vyenye misingi ya ukabila, udini au ukanda ambavyo vina makusudi ya kubaguana ndani ya chama, miongoni mwa jamii, kisiasa au kijamii. Katika kosa hilo wanadaiwa kwenda kinyume na kipengele cha 10.1 (IV), cha Kanuni za Uendeshaji wa Chama.
 
Last edited by a moderator:
Mdada unahangaika wewe!!! duh, hivi sikuhizi wote tangu nape mmekuwa wan CDM? mbona mmeumia sana? na bado!!

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mwenyekiti wenu wa Singida anasema; washtaki kamati, wapika majungu kamati, mahakimu kamati, wazee wa baraza kamati, walioongelea udini kamatii, wasoma mashtaka kamati.

Katika kosa la nne, akina Zitto wanadaiwa kujihusisha na vikundi vyenye misingi ya ukabila, udini au ukanda ambavyo vina makusudi ya kubaguana ndani ya chama, miongoni mwa jamii, kisiasa au kijamii. Katika kosa hilo wanadaiwa kwenda kinyume na kipengele cha 10.1 (IV), cha Kanuni za Uendeshaji wa Chama.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mwenyekiti wenu wa Singida anasema; washtaki kamati, wapika majungu kamati, mahakimu kamati, wazee wa baraza kamati, walioongelea udini kamatii, wasoma mashtaka kamati.

Katika kosa la nne, akina Zitto wanadaiwa kujihusisha na vikundi vyenye misingi ya ukabila, udini au ukanda ambavyo vina makusudi ya kubaguana ndani ya chama, miongoni mwa jamii, kisiasa au kijamii. Katika kosa hilo wanadaiwa kwenda kinyume na kipengele cha 10.1 (IV), cha Kanuni za Uendeshaji wa Chama.

Zitto anatetewa na wewe chama, THE BIG SHOW Ritz, kahtaan, Barubaru, gombesugu na magaidi wengine wengi. Huoni kama nyie ni kikundi cha kidini? Ukabila ni kina Pasco, MSALANI, masopakyindi and co
 
Last edited by a moderator:
Faiza, umesahau kuwa Lowassa ndiye aliyesaini UFATAANI unaoitwa MoU? Na sasa unakiri kuwa anakuja kwa kasi sana 2015? Hamjakaa kama kamati ya Maulamaa kumpunguzia kasi maana kuna dalili nyingi sana akiingia tu Ikulu ataiboresha MoU mara nne ya ilivyo sasa

Hilo wala sijasahau na hatutolisahau. Kumbuka kuwa anakuja kwa kasi 2011, siioni sababu ya yeye kuzunguka nchi nzima akihonga-honga kila sehemu zaidi ya kuuwania Urais. Wewe unaiona sababu nyingine?

Vipi hili la udini mlilo mshutumu Zitto nini maana yake? ni yeye na wapiga kura wake ndio wadini au?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom