Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

Huyu kigori aliyepost haya makamasi nahisi na yeye atakuwa kafisadi kadogo kama " samaki m'moja akioza.........."
 
Kwa umri wako ningetegemea uelewe kwamba binadamu si kama jiwe; anaweza kubaadilika.

Inawezekana kabisa kuwa Wanakigoma walipomchagua Zito alikuwa mwadilifu; lakini kutokana na Mazingira au ushawishi wa watu kama wewe kabadilika.

Ina maana kwa kuwa Zito kabadilika na wana Kigoma wote wamebadilika? You are not serious!!

Mhe. MBOWE alichachamaa na ndipo nilipomshauri kuwa kama ni hivyo basi atuthibishie pesa hizo anazodai alikikopesha chama ziliingia kwenye akaunti gani ya CHADEMA, kupitia hundi ipi, na lini? Nilimuomba pia kutaja ni kikao gani cha chama kiliidhinisha matumizi ya fedha hizo kwani kama hakuna ushahidi wa maidhinisho, ni dhahiri kuwa matumizi hayo hayakudhibitiwa na chama na kwa mantiki hiyo kuyafanya kuwa matumizi binafsi ya Mhe. MBOWE.Vilevile, nilimueleza kuwa matumizi ya fedha hizo alizodai alikikopesha chama yalikuwa yakinuka harufu ya UFISADI. - Chacha Wangwe
 
Huyu kigori aliyepost haya makamasi nahisi na yeye atakuwa kafisadi kadogo kama " samaki m'moja akioza.........."

Na haka kalikotajwa hapa unakaonaje ni Jifisadi kubwa au kafisadi kadogo:

Mhe. MBOWE alichachamaa na ndipo nilipomshauri kuwa kama ni hivyo basi atuthibishie pesa hizo anazodai alikikopesha chama ziliingia kwenye akaunti gani ya CHADEMA, kupitia hundi ipi, na lini? Nilimuomba pia kutaja ni kikao gani cha chama kiliidhinisha matumizi ya fedha hizo kwani kama hakuna ushahidi wa maidhinisho, ni dhahiri kuwa matumizi hayo hayakudhibitiwa na chama na kwa mantiki hiyo kuyafanya kuwa matumizi binafsi ya Mhe. MBOWE.Vilevile, nilimueleza kuwa matumizi ya fedha hizo alizodai alikikopesha chama yalikuwa yakinuka harufu ya UFISADI. - Chacha Wangwe
 
Wanasiasa wa Kigoma hawaaminiki tukianzia na Kabourou,Nsanzugwako,Kafulila na sasa Zitto.
 
Umetokwa na udenda mwingi wala hujajibu maswali yangu uzuri jikite kwenye mada soma mstari mmoja Hadi mwingine usisome kama uko juu ya mnazi Wake up wewe mjasiliamali

Naona wewe umesha-nisoma na umenielewa, inatosha au?
 
Funniest part in all of this is; wanaccm wameumizwa na 'uonevu' aliofanyiwa na chama chake. Actually wameumia zaidi kuliko hata hao wanachadema wenyewe. Zitto i hope you are reading this, wanapiga makofi sio kwa kukushangilia!

Injustice anywhere is an Injustice everywhere. naamini ukiwa mpenda haki kwa dhati, roho itakuuma udhalimu huo ukifanywa popote duniani, iwe katika vyama usivyovishabikia, iwe katika nchi iliyombali n.k
 
Kweli FF wengi wanajitoa akili na kumlaumu Zitto wanasahau njama za hao akina mangi kuifanya cdm ngome yao ili waendelee kula kodi zetu bila kunawa mikono. Hakika watu wengi tulipigia wabunge wao kura lakini kwa ubinafsi huu imetosha.
 
Last edited by a moderator:
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

mbona imewauma sana wanaccm kuliko chadema yaani msiba kwa jirani ila unayelia na kuomboleza ni wewe jirani kuliko mfiwa does it make sense lazima hapa mnajambo ila imekula kwenu
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

Hivi wakati mwingine watu mnatumia akili za chooni au inakuaje??? hivi Kigoma ni mali ya Zitto au watu waKigoma ni watoto wake? acha ujinga wa kiccm hapa
 
Tanzania hakichaguliwi chama anachaguliwa mgombea. Si wote waliomchaguwa Zitto ni chadema, si wote waliomchaguwa Kikwete ni CCM. Kumbuka hilo.

kwa hiyo wakati wa kampeni huwa mnamnadi mgombea au chama?kwa hiyo watu wa Kigoma ndio walimtuma Zitto kwenda kuhasi CDM au kutetea maslahi yao?
Hakuna jambo lisilo na utaratibu,kwani nje ya utaratibu ni vurugu tu!Zitto amekiuka utaratibu na hivyo anasababisha vurugu.
 
Sikujuwa kama Zitto alienda kuwahasi wana chadema.

Naomba viongozi na wana-chadema mje kutusaidia hapa, Jee, mlihasiwa na Zitto?

cc Dr.W.Slaa, Ben Saanane, Tumaini Makene, Yericko Nyerere na wote wanaohusika na msiba huu.
 
Last edited by a moderator:
Du! Wewe hapa ulipofikia ni wakuombewa tu. Mungu wangu naomba umsaidie huyu mja wako, na umsamehe yule ambaye alifanikisha hii kazi ya kumshikia akili zake.

Hivi kwa nini akili kubwa hivi inatumiwa vibaya kiasi hiki? Na kwa manufaa ya nani hasa?

Kwa mtei saccos
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

sawa mkewe naona ujauZitto wake unakusumbua,,,
 
Last edited by a moderator:
Hivi wakati mwingine watu mnatumia akili za chooni au inakuaje??? hivi Kigoma ni mali ya Zitto au watu waKigoma ni watoto wake? acha ujinga wa kiccm hapa

Sisi hatuongei mengi,mpelekeni huyo babu yenu huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom