Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

Kashahamia CCM nasikia, Shonza na Bwana wake hatimaye pamoja. Mwigulu wasiwasi utamjaa sasa.

Mfukuzeni kama mu-wakweli, ndio mtaona kahamia wapi.

Nakuhakikishia, mkimfukuza na akihamia CCM, kitu cha kwanza tunamteua kuwa mbunge na tunamwambia agombee tena PAC. Hapo sasa!
 
Chama chenye ubaguz,ubaguz huo utakirudia chama hiko siku moja na kukimaliza moja kwa moja
 
Dah, mmeirudisha huku, nashukuru sana. Itabidi nianzze kujibu uoya kwani majibu yangu mengi yamebaki mlikoipeleka.
 
FaizaFoxy, You are Foxy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
PUMBA.zito sio mgombea binafsi,alisimamishwa na chama.kwahiyo mtu asiwajibishwe kisa wana kigoma watakasirika?jambo la msingi ni kwamba malalamiko ya zito nayo yafanyiwe kazi.

Chama kitamsimamisha asiyetaka kugombea? au asiye na uwezo wa kushinda? kamsimamisheni Josephine Unguja, tuone kama atakubali kusimama.
 
Last edited by a moderator:
FAizafoxy,
Yaani wewe ni kutafuta ubishi tuuu kwenye jukwaa humu!
Faizafoxy, unaendeleza vita ya CHADEMA na zitto, na hii vita wanapigana askari wa Lumumba hahahahahahaaa
Faizafoxy , sifa yako kubwa ni kukosa aibu!!!!HUNA AIBU WALA HAYA HATA KIDUCHU!!!
Huo UKIMWI ulimpa wewe? Kibinti kikiwa na miaka 21, jimama litakuwa na miaka mingapi?
 
Mfukuzeni kama mu-wakweli, ndio mtaona kahamia wapi.

Nakuhakikishia, mkimfukuza na akihamia CCM, kitu cha kwanza tunamteua kuwa mbunge na tunamwambia agombee tena PAC. Hapo sasa!

Ahamie CCM mara ngapi?Wakati anashinda CDM analala CCM!?Chukueni gamba menu!

Nyie mwambieni aje CCM agombee sie tunaenda kumwaga sumu ya usaliti tu Kigoma na jinsi watu wa kigoma wanavyojua kuchambua mambo kwa kina,muone kama atapata hata kura 50!
 
Samaki mmoja akioza...

Malizia mwenyewe!

...anatolewa samaki mmojammoja kutoka kwenye tenga. aliyeoza anawekwa pembeni, ambao hawajaoza wanaendelea kuhifadhiwa. tuachane na kutumia vibaya methali bana!
 
Umewatukana wana wa Kigoma. Pia, wale wa kapuya utasemaje?

Nyie ndio mmewasaliti wana wa Kigoma kwa tu waliomchaguwa kataka kugombea Uenyekiti wa chadema.

Umeshaona tuhuma 11 alizozuzishiwa Zitto na Mbowe na Slaa?
 
Last edited by a moderator:
Ajuza uwe unatafakari kwa kina badala ya kukurupuka na kuandika upup-. Usaliti wa Zitto dhidi ya CHADEMA hakuufanya kwa niaba ya watu wa Kigoma na hivyo kamwe hakutakuwa na uhusiano wa matendo ya Zitto na watu wa Kigoma. Usaliti uliofanywa na Zitto unamuhusu Zitto tu. Acha kupandikiza mbegu za chuki miongoni mwa Watanzania tabia mbaya sana hiyo.
 
Bibi Faiza kumbe na wewe unaipenda Chadema namna hiyo. Siwezi kuamini kama wewe ndio umetupia huo upup.u hapo juu.
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

Kwani Watu wa Kigoma wamezaliwa na Zito?. ------- mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Mfukuzeni kama mu-wakweli, ndio mtaona kahamia wapi.

Nakuhakikishia, mkimfukuza na akihamia CCM, kitu cha kwanza tunamteua kuwa mbunge na tunamwambia agombee tena PAC. Hapo sasa!
Unaonyesha unaandika ili mradi umeandika. Kwa taarifa yako PAC ni lazima iongozwe na Mbunge wa upinzani. Wewe ni kiumbe wa ajabu sana na una dalili zote za kuwa mchawi.
 
Hujitambui weye!!! Uozo uliokuwepo CCM wa mafisadi, wauza unga, majangili na magaidi akina DHAIFU, Mkapa, Rostam, Lowassa, Kinana, gaidi mwigulu n.k. hujauona? Mbona bado umekumbatia huo uozo!!!? Una undumila kuwili weye!!!

Samaki mmoja akioza...

Malizia mwenyewe!
 
Jisome ulivyoandika, unaongea mwenyewe unajipinga mwenyewe.

Nakuuliza, umelewa?

Yaani yoyote usiyemwelewa ni MLEVI? Unaona Matatizo hayo JUDGING a HUMAN BEING… sidhani Ungependa kuwa Judged na someone...

Kama umeona Nimejipinga then Niambie ni wapi kwanini kila kitu ni kuweka CHUKI - Hakuna Maendeleo kama tutaendesha CHUKI
 
Ili uwe mbunge hapa Tz kwa hali ilivyo sasa ni lazima wananchi wakupende au ''wapende pesa yako?''. Nafanya utafiti wa asilimia ya ''wabunge wanaochaguliwa na wananchi wao wanaowapenda'' VS wale wanaochaguliwa kwa vigezo vya fedha walizotoa kwa walalahoi waliwachagua.
 
Siipendi chagadema nampenda Zitto Kabwe.

Na Unampenda ZITTO kwasababu ya DINI yake au KABILA lake?

Sasa kama kweli wewe ni Mwanasiasa na sio BIGOT ungeangalia Mkoa wa Kilimanjaro ni Wachagga Wangapi wameichagua CCM dhidi ya CHADEMA

Utaona kuwa Hao Wachagga Mnaowabagua sasa they are very loyal to CCM than CHADEMA: Angalia Statistics...
 
ths guy zitto kabwe is the best ever..taifa haliwezi kumic mtu kama huyu kwa maendeleo ya taifa ..vijana tutamfata popote aendapo ...tutapigania haki zake popote pale ...ili aendelee kusimama kwa mustakabali wa taifa hili...
 
Ili uwe mbunge hapa Tz kwa hali ilivyo sasa ni lazima wananchi wakupende au ''wapende pesa yako?''. Nafanya utafiti wa asilimia ya ''wabunge wanaochaguliwa na wananchi wao wanaowapenda'' VS wale wanaochaguliwa kwa vigezo vya fedha walizotoa kwa walalahoi waliwachagua.

Wazo zuri sana na nnakutakia utafiti mwema. Uchaguzi usianzie kwenye waliowachaguwa majimboni, uanzie kwenye waliowachaguwa na kuwapitisha kwenye vyama vyao.

Pia usisahau na wabunge wa upendeleo, maana tunasikia chadema yuko mtoto wa Ndesamburo, yuko mke wa Slaa, yuko Dada wa Tundu, na wengine hata kutaja ni aibu. Wote hao ni wabunge wa chadema wa upendeleo. Naomba utafiti wako upitie na huko. Maana rushwa ina maana pana sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom