BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,566
- 9,473
Sasa nimepata mwanga umefungua apo kulikuwa na ufichu wa maana ahsante mkuuKauli ya Zitto kuwa PM ni mbunge mwenzao ichunguze kwa makini utapata hidden agenda. Na matendo ya Kijana wa mzee kuwatukana Wabunge huku mzee akionyesha kumuunga mkono kijana wake bila aibu.
Jana tena kawatukana na kusema ni vema wabunge wapimwe madawa ya kulevya kwa maana hiyo anadhibitisha kuwa wengi ni watumiaji. Ni matusi nao watamuadhibu mzee wake