Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

Naona Zito kawa mtu wa misamiati na misemo. Ni MTU wa matamko tuuuu. Hivi, kwa akili kubwa uliyonayo, na nakuheshimu kwa karama uliyonayo lakini, lazima kwa sasa tukubaliane kunyooshana kwa staili yoyote iwayo ili kurudisha nchi kwenye reli. Mambo ya kukaa kujadiliana kila jambo ndio utekelezaji uanze yametupotezea sana muda. Hebu tuvumiliane kidogo miaka hii mitano kumi tuone tunafika wapi. Nchi tunazoziona zimeendelea sasa ziligharimu demokrasia na maisha ya watu lakini baada ya kuwekana sawa vizazi vyao sasa vinafurahia jasho na maumivu waliyopata waliowatangulia. Mimi nadhani tunahitaji staili hii kwa sasa ili tusogee kwa kasi zaidi. Mungu imbariki na kumlinda Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. John Pombe Magufuri alisukume gurudumu hili LA Tanzania lisogee mbele.
Just imagine, namna wachina walivyotaka kutupiga kwenye reli, kawabutua; sasa beneficiaries lazima wamlaani JPM wakati wengine wanaopoganiwa wanapaswa kukesha kumuombea asivunjike MOYO.
 
K

Sio "bila kuvunja katiba" bali "kwa kufuata katiba". Ndio namna pekee tunaweza kujipima. Kuruhusu kiongozi kuamua kwa busara mradi havunji katiba basi kuna shida kwenye hiyo katiba haijitoshelezi kutatua yanayoisibu jamii katika kujitawala.
Kiongozi lazima awe na upeo na uzoefu wa kutosha hata katiba kuna maeneo inampa nafasi kiongozi kuamua baadhi ya mambo hapo ndipo busara elimu uzoefu au ushauri unapoapply katiba haikupangii kila kitu bali inatoa muongozo kwa asilimia kubwa.
 
Kama kuna sehemu katiba inaruhusu kiongozi kutumia utashi wake, akifanya hivyo ni kufuata katiba.
 
Kama kuna sehemu katiba inaruhusu kiongozi kutumia utashi wake, akifanya hivyo ni kufuata katiba.
Zipo nyingi katiba inaruhusu atumie utashi ilimradi havunji katiba kwa mfano mtu anayehukumiwa kunyongwa na mahakama kuu hanyongwi mpk rais asaini lkn akisaini au la havunji katiba. Kuna mifano mingi ambayo rais anaweza kutumia utashi kuamua a au b pasipo kuvunja katiba.
 
Hakuna mbunge Wa ccm wakumpinga JPM ...hilo ni jembe haya majamaa ya upande Wa pili yalizoea kuchekewa chekewa hivi sasa no!! Ukileta uzinguaji utakaa mahabusu kama Lema!! Najua ashashika adabu yake huyu ndo Rais maana kuna mabunge ya upinzani yalikuwa hayawezi kupanda jukwaani bila kusema polisi.,, sasa fyoko fyoko polisi watawashughurikia ipasavyo...## siyapendimapinzani @ hayana jipya!
Kwa sababu akili zako ni fupi kama #mk.iawambuzi@
 
CCM mbele kwa mbeleeee,

Lazima namba isomeke vizuri!

Hizo ni dua uchwara za kuku, huku mwewe anamaliza vifaranga!

Tanzania,?!??
Ukweli mchungu, ila wengi sana hawajui wanahitaji kitu kipi. Hasa wanasiasa na mjengoni Dom!!

Aiseee,
 
sasa kupanda kwa bei ya hizo bidhaa nani alaumiwe? na je hiyo bei ya mwaka jana iko sawa na ya miaka iliyo pita? Kama bei ya bidhaa ilikua sawa una haki ya kuniuliza hilo swali na kulaumu serikali kwa nguvu zako zote.

Mickmasu,

Usijisumbue, tambua kuwa wengi wanaopanic walikuwa wapiga deal na maujanja ujanja mengi, kila mahala!

Sasa, hawataki kukubaliana na hali ya kubanwa na deals zote za mission town zimefungwa wana piga yowe sana.

Ila wanaofanya kazi halali wanasonga mbele
 
Tumuombee Rais wetu wanaJF.Pasipo maombi hakuna lolote litakolowezekana chini ya Mbingu.

Tukisema kuwa tupige kelele ni lazima tutambue kuwa kelele hazitosaidia chochote zaidi ya kuharibu.

Pia tuheshimu Mamlaka.
 
Naona Zito kawa mtu wa misamiati na misemo. Ni MTU wa matamko tuuuu. Hivi, kwa akili kubwa uliyonayo, na nakuheshimu kwa karama uliyonayo lakini, lazima kwa sasa tukubaliane kunyooshana kwa staili yoyote iwayo ili kurudisha nchi kwenye reli. Mambo ya kukaa kujadiliana kila jambo ndio utekelezaji uanze yametupotezea sana muda. Hebu tuvumiliane kidogo miaka hii mitano kumi tuone tunafika wapi. Nchi tunazoziona zimeendelea sasa ziligharimu demokrasia na maisha ya watu lakini baada ya kuwekana sawa vizazi vyao sasa vinafurahia jasho na maumivu waliyopata waliowatangulia. Mimi nadhani tunahitaji staili hii kwa sasa ili tusogee kwa kasi zaidi. Mungu imbariki na kumlinda Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. John Pombe Magufuri alisukume gurudumu hili LA Tanzania lisogee mbele.
Just imagine, namna wachina walivyotaka kutupiga kwenye reli, kawabutua; sasa beneficiaries lazima wamlaani JPM wakati wengine wanaopoganiwa wanapaswa kukesha kumuombea asivunjike MOYO.

Very nice observation, I like it!
Ila sasa hapo wapiga deal, wanahaha juu ya wachina.
 
Vitu vyote ambavyo we unavitamani mi teyari ninavyo!!!
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] teyari ninavyo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwa hicho kiswahili ulichotumia duuh kweli siamin kama ninavyotamani wewe unavyo
 
Back
Top Bottom