Hujanielewa Ndugu Yangu...nasema Bunge limeshavunjwa na Rais na uchaguzi unatakiwa ufanyike...je, matokeo ya uchaguzi yatakuwaje?/ Je, wabunge wangapi watarudi bungeni? Je, CCM itashinda kwenye uchaguzi huo? Je, wapinzani watafurukuta? Je, Rais atapata kura nyingi au atawagaraza vibaya wapinzani??? Miaka ya 1970 wakati nikiwa mdogo sana nakumbuka Mwalimu Nyerere alitishia kuvunja Bunge kwa kuwa wabunge waligoma kupitisha mswada fulani kuwa sheria...dah...Bunge likasoma nyakati likakubaliana na Mwalimu, Mswada (????) ukapitishwa...