Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

Ukijaribu kuangalia Rais kakosea wapi wala hata hupati jibu, ila kosa lake kubwa ni kuminya mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha za uma.

Sasa wale wanufaika wa ile michezo, wanazidi kuonekana kadri siku zinavyokwenda mbele.

Wabunge wenyewe wamebanwa hasa financially, ndio utajua kuwa kuna watu walikua wanatumia siasa kama ajira.

Hiki ndicho kipindi kizuri cha kujua watetezi halisi wa watanzania ni kina nani.

Hivi watumishi kutopandishwa vyeo na kutolipwa malimbikizo yao ni rushwa? Biashara za kuuza madawa ya kulevya ziko nyingi! Hii inafanana nayo
 
Katiba inasema kama watapiga kura ya kutokuwa na imani na rais basi bunge linavunjwa na uchaguzi unafanyika upya kwa wote wabunge na rais. Sidhani kama kuna mbunge mwenye ubavu wa kuweka kitumbua chake kwenye kamba nyembamba kiasi hicho.
wanaccm wamechoka kuliko unavyofikiri kwani Namba hizi wazisomazo hawakuzifanyia rehearsal! Na wabunge wao nao wapo hoi na hawaoni umuhimu wa wao kuwa wabunge. Kwa hakika wanaweza kufanya lolote bila kujali matokeo kwani yamewafika shingoni. Tumieni haki na nafasi zenu ili historian iwaandike vena.
 
Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.

Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.

Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.

Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
Wao waondoke tu maana mitusi yao ilishachosha roho zetu. Tuko nyuma ya rais kuliko Bunge la wapiga wanatukanana, kususia, kuvaa min. suti za ki-kongo.

Naona safari hii wamepowa! Kipato kimepungua, huku nako refa anawapa pingamizi za kisheria kila wakati. Wengi waliomo Bungeni, walizoea kufaidi au wameingia kufaidi. Inapokuwa ngumu, wanaanza kulegea.
 
Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.

Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.

Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.

Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
2020 hapo ndo tutadhihilisha kuwa watanzania tumepata elimu ama tumeelimika
 
Hapo huyo MH wako anapiga upepo rangi tu.
 
Anasema angetamani kuwa mwenyekiti wa tume ya madawa ya kulevya akasema angetamani angekuwa IGP amebakiza angetamani kuwa CDF na mwisho atamalizia angetamani kuwa RAISI!!
 
Hivi huyu wa kuitwa zitto sikuhizi hana kazi? Ana kazi ya kukimbizana na Rais tu.
 
Haya mambo yao watajuana wenyewe tatizo la mkulu anajifanya kila kitu anaweza yeye na kunyanyasa wengine utafikiri sio watanzania . mim kauli ya juzi kumdhalilisha waziri mkuu kuwa alikuwa hajui kama ni mwenyekiti wa tume ya kupambana na madawa ya kulevya ni kukosa sana heshima kwa viongoz wenzio.

Huyu mkulu kila kitu anataman angefanya yeye

Alisema anataman angekuwa mwenyekiti wa tume ya madawa ya kulevya
Anataman angekuwa IGP
Nazan anataman hata angekuwa ni speaker wa bunge

Yaani hiz ni dalili mbaya sana kwake

Busara na hekima mkulu naona hana

AWAMU hii kwangu PM ni kiongoz makin sana
Kamkumbusha tu hapo hajakosea chochote,ulitaka akae kimya isaidie nini?
 
Katiba inampa nguvu sana JPM, kiasi anafikiri TZ ni mali yake. Kiongozi asiye heshimu watu au viongozi wengine ni mtu mbaya sana. JPM anafaa kuwa kufukuzwa kazi
Wewe ndiyo inafaa ufukuzwe nchini ukatafute nchi ya kuishi ambapo VIONGOZI huogopa kusema ukweli.
 
Tutamchagua tena JPM hata akigombea CCK 2020, wakati huo PM atakuja kuwa Makonda. go go go Magufuri mijizi ilizoea sana kutuibia
 
Nchi imefika pabaya sana,uzuri wake watanzania tulio wengi tuna amani(uoga).La sivyo mapambano yasiyozuilika yangetokea.
 
Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.

Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.

Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.

Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
Tafakari nyepesi za kujifariji. ...
 
wana ccm tumeamua kama mbwai mbwai, unamwaga mboga tunamwaga ugali,
 
Wakati huko US Mahakama imesimama dede dhidi ya Trump na kulazimisha amfute kazi Michael flynn,National security adviser wake na Trump akaishiwa ujanja na kutii,
ngoja tuone hapa kwetu mhimili upi utasimama dede bunge au mahakama,
tayari kuna amri za kuwakamata na kuwaweka ndani mawakili wanaotetea wahalifu na majaji waliosababisha serikali kushindwa kuwafunga watuhumiwa wa madawa ya kulevya,na pia tayari wabunge kadhaa lokapu imekuwa kama nyumbani kwa ingia toka ingia toka kwa uchochezi huku mhimili huo ukisema unafanyiwa ubabe,
Mkuu Justice Department na mahakama huko marekani Hazina tofauti mkuu? Nisaidie mkuu
 
Wanajisumbua bure kabisa, Hakuna hata mbunge mmoja anaeweza pambana na Rais Magufuli, HAKUNA!!
 
Hakuna mbunge Wa ccm wakumpinga JPM ...hilo ni jembe haya majamaa ya upande Wa pili yalizoea kuchekewa chekewa hivi sasa no!! Ukileta uzinguaji utakaa mahabusu kama Lema!! Najua ashashika adabu yake huyu ndo Rais maana kuna mabunge ya upinzani yalikuwa hayawezi kupanda jukwaani bila kusema polisi.,, sasa fyoko fyoko polisi watawashughurikia ipasavyo...## siyapendimapinzani @ hayana jipya!
Kama hupendi upinzani basi hupendi democracy sababu vyama vingi(vyama vya upinzani) ni moja kati ya nguzo kuu za democracy. Vilevile sizani kama wapinzani huwa wanabisha tu bila hoja, na kama ingekuwa wanabisha bila hoja za msingi basi upinzani usingekuna nguvu kiasi hichi. Sema bro unachuki ambayo inaficha hata uwezo wako wa kufikiri
 
Ndoto za mchana ni dalili ya kuwa kichaa!

If you don’t know what you’re doing, any ideas shall take you there!

Hizi ndizo athari ya kukabidhi akili kwa wanasiasa kiasi kwamba wanaweza hata kukwambia na ukaamini kuwa wana uwezo wa kutembea kwa miguu kutoka Tanzania mpaka Ulaya!

Kwenye katiba kuna ruhusa ya kufanya hayo ikiwa kuna ulazima wa kufanya hivyo. Katiba siyo ndoto na wala huwa haiugui kichaa ila inanena kwa ibala na vifungu basi.
Jamani tusome kwanza kabla ya kejeli za kireja reja!!!!!!!!!!!!!!!
 
Upinzani utateketea kama mshumaa wajalibu waone wananchi sio wajinga wanegubdua chadema ni kampuni binafsi yenye maslahi ya mtu mmoja tu na masulia wake. hata wabunge watapotea zaidi ya nusu.
 
hivi Zitto huyu huyu au kuna Zitto mwengine aliyekua akisemwa hovyo na cdmz. mm bado ninawasiwasi
 
Back
Top Bottom