Zitto sasa anakaribia kuwa mteja wa Mirembe. Ana halucinate na kuamini kuwa:
1. Bunge ambalo linaundwa na asilimia 75% ya wabunge toka chama tawala linaweza kum impeach rais aliyetokana na chama tawala hicho na ambaye ndiye mwenyekiti wa hicho chama tawala wanakotoka hao wabunge? Tena kwa kosa la kumtuhumu mwenyekiti wa chama pinzani (cha Zitto) kwa kujihusisha na madawa ya kulevya?
2. Anaamini kuwa leo bunge likivunjwa na uchaguzi kurudiwa, yeye Zitto na wapinzani wake watashinda na Lowassa kuwa rais wa nchi? Hizi ni delusions & hallucinations of high grade zinazotakiwa kurekebishwa Mirembe kabla hali haijawa irreversible. Kila normal person anajua uchaguzi ukirudiwa leo au hata hiyo 2020 Zitto hataweza rudi mjengoni na chama hicho cha upinzani hakiwezi shinda, wala Lowasa hatashinda urais. Kinyume chake Magufuri atashinda kwa kishindo kikubwa zaidi ya ile ya 2015.
3. Anaamini kuwa chadema ingeshinda nafasi ya urais hapo 2015 huku ikiwa na wabunge asilimia 25% tu ya wabunge mjengoni, huyo rais wao angedumu? Jibu la kila normal person ni kuwa hangedumu hata mwenzi mmoja maana hao wabunge wa upinzani wangekuwa asilimia 75% na wangemu 'vote no confidence'.
5. Yaani Zitto hajui au amesahau kuwa nguvu ya serikali na chama tawala ni kiwango cha idadi ya wabunge wake walioko mjengoni? Yaani uwashawishi sababu za kitoto kama hizo eti waachie madaraka? Kweli Zitto anatakiwa akafanyiwe vile vipimo vya Makonda.
6. Halafu Zitto kila wakati kumnukuu Mwl Nyerere? Kwa kila normal person anajua kuwa Mwl Nyerere ndiye muasisi wa CCM (aka TANU) na kwamba sera za ccm zimeasisiwa na Mwl Nyerere na ndizo zinazotekelezwa kuanzia uhuru hadi sasa (50+ years). Zimekuwa zikirekebishwa mara kwa mara ili kwenda na wakati. Sasa Zitto kang"ang'ania za zamani hususani Azimio la Arusha alilolikopi na kupaste kama Azimio la Tabora.