Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,026
- 74,704
- Thread starter
- #121
Anapendwa sana Kagera, Simiyu, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya nk.Zitto & Co.endeleeni Tu kuota ndoto za mchana. JPM anapendwa Na wananchi sio nyie !
Hata wale alio waambia MNA njaa mlitaka niwapikie? Wanampenda sana! Mbona mnapenda kumdanganya mzee? Mumesahau Vijana wa elimu ya juu na wale wa ajira? Watumishi walionyimwa increments zao na promotions pamoja na familia zao? List ni ndefu na yenye ushawishi.
Shauri yenu!