Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,858
Kuna watu wawili ukiwauzi pale Ccm ni lazima uondoke. Nao ni Nape na Kinana.
Unamwanimi huyo huyo ambaye pia ni mwanasiasa better stay n look the gameNdoto za mchana ni dalili ya kuwa kichaa!
If you don’t know what you’re doing, any ideas shall take you there!
Hizi ndizo athari ya kukabidhi akili kwa wanasiasa kiasi kwamba wanaweza hata kukwambia na ukaamini kuwa wana uwezo wa kutembea kwa miguu kutoka Tanzania mpaka Ulaya!
Hivi wewe bado unaamini kwenye list,ile ilikuwa movie ya kihindi na sterling kesha kufa kwenye maua.Subiri movie nyingine stay tunedSiyo ajabu hiyo list ya Makonda (3rd edition) ina wengi wa mjengoni ndiyo maana wanatapatapa!
Heshima ipi unaizungumza mkuu!!Wale wanaojiamini wako tayari kukubali uchaguzi ufanyike ili kulinda heshima zao.
MKUU pamoja na kwamba ningetamani iwe hivyo, hakuna dalili za hayo kutokeaKuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.
Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.
Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.
Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
Wewe na zitto nani ana akili za kushikiwa?wacha kupofushwa na tonge la ugaliNdoto za mchana ni dalili ya kuwa kichaa!
If you don’t know what you’re doing, any ideas shall take you there!
Hizi ndizo athari ya kukabidhi akili kwa wanasiasa kiasi kwamba wanaweza hata kukwambia na ukaamini kuwa wana uwezo wa kutembea kwa miguu kutoka Tanzania mpaka Ulaya!
Haimpi nguvu ya kila atendalo. Nguvu zingine anazitoa kwenye akili zake mwenyewe.Katiba inampa nguvu sana JPM, kiasi anafikiri TZ ni mali yake. Kiongozi asiye heshimu watu au viongozi wengine ni mtu mbaya sana. JPM anafaa kuwa kufukuzwa kazi
Hahaaaaaahaaaa!!! Ikitokea hiyo nitafunga siku 21 ili CCM isipite kabisa endapo wabunge watashirikiana na chadema katika uhaini huu!! Watakuwa wapuzi kabisa!! Jaribu muone kuwa Mungu yupo au hayupo!!Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.
Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.
Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.
Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
Mpango wa waziri wa afya kukamata kina delicious utekelezwe mpungue mtaani. Hivi huyo unamsifu kwa lipi ambalo anaweza kusimama mbele ya wenye akili timamu ajisifu kuwa nimefanya hili?Hakuna mbunge Wa ccm wakumpinga JPM ...hilo ni jembe haya majamaa ya upande Wa pili yalizoea kuchekewa chekewa hivi sasa no!! Ukileta uzinguaji utakaa mahabusu kama Lema!! Najua ashashika adabu yake huyu ndo Rais maana kuna mabunge ya upinzani yalikuwa hayawezi kupanda jukwaani bila kusema polisi.,, sasa fyoko fyoko polisi watawashughurikia ipasavyo...## siyapendimapinzani @ hayana jipya!
Dr Akili unatia mashaka. Kinachofanyika ni kutoa adhabu. Jambo hilo linaweza lisifanikiwe lakini kitendo cha yeye taratibu zikitumika na kumtaka ajieleze kujibu tuhuma zake ni kumvunjia heshima na lazima abadilike kwani ataonywa.Zitto sasa anakaribia kuwa mteja wa Mirembe. Ana halucinate na kuamini kuwa:
1. Bunge ambalo linaundwa na asilimia 75% ya wabunge toka chama tawala linaweza kum impeach rais aliyetokana na chama tawala hicho na ambaye ndiye mwenyekiti wa hicho chama tawala wanakotoka hao wabunge? Tena kwa kosa la kumtuhumu mwenyekiti wa chama pinzani (cha Zitto) kwa kujihusisha na madawa ya kulevya?
2. Anaamini kuwa leo bunge likivunjwa na uchaguzi kurudiwa, yeye Zitto na wapinzani wake watashinda na Lowassa kuwa rais wa nchi? Hizi ni delusions & hallucinations of high grade zinazotakiwa kurekebishwa Mirembe kabla hali haijawa irreversible. Kila normal person anajua uchaguzi ukirudiwa leo au hata hiyo 2020 Zitto hataweza rudi mjengoni na chama hicho cha upinzani hakiwezi shinda, wala Lowasa hatashinda urais. Kinyume chake Magufuri atashinda kwa kishindo kikubwa zaidi ya ile ya 2015.
3. Anaamini kuwa chadema ingeshinda nafasi ya urais hapo 2015 huku ikiwa na wabunge asilimia 25% tu ya wabunge mjengoni, huyo rais wao angedumu? Jibu la kila normal person ni kuwa hangedumu hata mwenzi mmoja maana hao wabunge wa upinzani wangekuwa asilimia 75% na wangemu 'vote no confidence'.
5. Yaani Zitto hajui au amesahau kuwa nguvu ya serikali na chama tawala ni kiwango cha idadi ya wabunge wake walioko mjengoni? Yaani uwashawishi sababu za kitoto kama hizo eti waachie madaraka? Kweli Zitto anatakiwa akafanyiwe vile vipimo vya Makonda.
Hahaha nimecheka sana hapo kwenye hitimishoNdoto za mchana ni dalili ya kuwa kichaa!
If you don’t know what you’re doing, any ideas shall take you there!
Hizi ndizo athari ya kukabidhi akili kwa wanasiasa kiasi kwamba wanaweza hata kukwambia na ukaamini kuwa wana uwezo wa kutembea kwa miguu kutoka Tanzania mpaka Ulaya!
Kauli ya Zitto kuwa PM ni mbunge mwenzao ichunguze kwa makini utapata hidden agenda. Na matendo ya Kijana wa mzee kuwatukana Wabunge huku mzee akionyesha kumuunga mkono kijana wake bila aibu.MKUU pamoja na kwamba ningetamani iwe hivyo, hakuna dalili za hayo kutokea
Kwa nini nchi ilianzisha upinzani kama mapinzani hayana maana? Ushauri wangu ni kwamba chama tawala kina kila uwezo wa kuvunja vyama vingi na iwe hivyo hata kesho sababu China wana chama kimoja, Cuba wana chama kimoja basi na Tanzania tutangaze kabisa tunarudi kwenye chama kimoja. Ruksa.D
Dada yangu haya mapinzani ni watanzania na binadamu wenzetu tuwapende tu.....
Wengi wachumia tumbo sasa wamebanwa mkuuUkijaribu kuangalia Rais kakosea wapi wala hata hupati jibu, ila kosa lake kubwa ni kuminya mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha za uma.
Sasa wale wanufaika wa ile michezo, wanazidi kuonekana kadri siku zinavyokwenda mbele.
Wabunge wenyewe wamebanwa hasa financially, ndio utajua kuwa kuna watu walikua wanatumia siasa kama ajira.
Hiki ndicho kipindi kizuri cha kujua watetezi halisi wa watanzania ni kina nani.
wee vp mbona watu wanatembea na makalio had ulaya? Ije iwe Kwa miguu.Ndoto za mchana ni dalili ya kuwa kichaa!