Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

Hakuna mbunge Wa ccm wakumpinga JPM ...hilo ni jembe haya majamaa ya upande Wa pili yalizoea kuchekewa chekewa hivi sasa no!! Ukileta uzinguaji utakaa mahabusu kama Lema!! Najua ashashika adabu yake huyu ndo Rais maana kuna mabunge ya upinzani yalikuwa hayawezi kupanda jukwaani bila kusema polisi.,, sasa fyoko fyoko polisi watawashughurikia ipasavyo...## siyapendimapinzani @ hayana jipya!
jaribu kuficha upuuzi wako yamkini leo kwako hapajaguswa ndo mana lakin kumbuka mwenzio akinyolewa wewe ...na rafiki pia aeza kua adui so jifunze kubakiza maneno we tukana mamba na una miaka ya kuvuka mto..
 
Ukiona mtu analalamika sana ujue kuna janja janja anazo nufaika nazo kutoka kwa mtu au yeye ndio anayefanyafanya hizo janja janja..

Wameshikwa pasipo shikika!!

Ukiona hutendewi haki bwaga manyanga mwenyewe unang'ania nini kama hutendewi haki??
 
Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.

Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.

Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.

Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?

Umetamka Viruzi: "Kijana wa Mzee"
 
Ukijaribu kuangalia Rais kakosea wapi wala hata hupati jibu, ila kosa lake kubwa ni kuminya mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha za uma.

Sasa wale wanufaika wa ile michezo, wanazidi kuonekana kadri siku zinavyokwenda mbele.

Wabunge wenyewe wamebanwa hasa financially, ndio utajua kuwa kuna watu walikua wanatumia siasa kama ajira.

Hiki ndicho kipindi kizuri cha kujua watetezi halisi wa watanzania ni kina nani.
 
jaribu kuficha upuuzi wako yamkini leo kwako hapajaguswa ndo mana lakin kumbuka mwenzio akinyolewa wewe ...na rafiki pia aeza kua adui so jifunze kubakiza maneno we tukana mamba na una miaka ya kuvuka mto..

Mkuu kuna watu hawaelewi tunaongelea nini wao wanadhani ni ubishani wa nani zaidi?
Hakuna jambo baya kama wewe ni mtumishi wa umma na unayeheshimiwa na jamii na unaona unafanya yakupasayo kwa mujibu wa sheria na kanuni halafu unafedheheshwa hadharani na mtu mmoja mwenye madaraka lakini kwa vile hapingwi basi wewe na wenzako mnabaki kusononeka tuu.
Kwanza tabia hiyo inawapunguzia weledi na hamu ya kutumikia taifa kwa nguvu zote,, inakuwa kama mnatumikia adhabu na sio kutumikia nchi.
 
Hakuna mbunge Wa ccm wakumpinga JPM ...hilo ni jembe haya majamaa ya upande Wa pili yalizoea kuchekewa chekewa hivi sasa no!! Ukileta uzinguaji utakaa mahabusu kama Lema!! Najua ashashika adabu yake huyu ndo Rais maana kuna mabunge ya upinzani yalikuwa hayawezi kupanda jukwaani bila kusema polisi.,, sasa fyoko fyoko polisi watawashughurikia ipasavyo...## siyapendimapinzani @ hayana jipya!

Hata kama huwa unaongea pumba lakini kwa hili la kusema hakuna mbunge wa ccm anaweza kumpinga mwenyekiti, hilo linaeleweka maana wabunge wanaeleweka ni marobot hivyo wamekuwa programmed kuunga mkono tu. Lakini kwa mazingira yalivyo program imecrash kwani walikuwa wanautumia ubunge kupiga deal zao, sasa hiv wamebaniwa utaona mmojammoja akirudisha akili maana hata akiunga mkono haimlipi.
 
Tatizo la wanasiasa wa siku hizi wanajifanya kujua kila jambo na. Hawana heshima kwa viongozi wao. Na hasa zito.lema na yule kichaa tundu.dawa yao ni kuwekwa ndani kwa miezi sita ndio wajifunze kunyoosha ndimi zao.kwanza bado watoto wadogo
Uko dunia ya wapi kijana?
 
Kuna mtu anadhani watu watahangaika na Waziri Mkuu. Why? Anajidanganya Sana.
PM ni mbunge mwenzetu. Hatuna shida naye.

Ukitaka kula chura kula aliyenona.
Sasa MABADILIKO waliyoyataka wananchi mungu anayaleta kwa njia zake alizochagua. Njia zinazokomaza Taasisi za nchi yetu.

Heshima kubwa kwa Wabunge wa Bunge la 4 kwa mabadiliko makubwa ya Katiba ya mwaka 1984.

Hii nchi sio Gangsters Republic. Hii nchi ya Nyerere hii ina misingi ya Haki na Utu. Hii ni United Republic of Tanzania.
Source: FB page ya Zitto.
My take:
Kuna kila dalili wabunge wamepania mzee ashtakiwe bungeni na wengi watapiga kura ya kutokuwa na imani. Kauli ya jana kuwa kama haliamini bunge alivunje na uitishwe uchaguzi ni kauli kuwa kuna kuchoka na kwamba kama mbwai na iwe mbwai. Hapo ukichanganya na lile azimio la bungeni la kumwita kijana wa mzee na katika kura hakuna sauti hata moja iliyosema SIYOO ni dalili mbaya kwani hakuna hata waziri nmoja au mbunge wa ccm aliyekataa asiitwe.
Jee mchezo huu mzee atauweza ikiwa hata watu wake (ccm) wanaonyesha wamechoka?
Wapinzani wa Tanzania wana matatizo sana.Huwezi kutegemea mabadiliko au kuingia ikulu kwa kutumia wabunge wa ccm.
Wabunge wa ccm,ni watu wengine kabisa inapotokea kukihami chama chao.hilo haliwezekani,wasubiri tu 2020.
 
Siyo ajabu hiyo list ya Makonda (3rd edition) ina wengi wa mjengoni ndiyo maana wanatapatapa!
 
Tatizo la wanasiasa wa siku hizi wanajifanya kujua kila jambo na. Hawana heshima kwa viongozi wao. Na hasa zito.lema na yule kichaa tundu.dawa yao ni kuwekwa ndani kwa miezi sita ndio wajifunze kunyoosha ndimi zao.kwanza bado watoto wadogo

Hao uliowataja wanaheshima sana ila hawana heshima za woga na unafiki. Ila tunajua heshima inayotakiwa sasa hiv ni ya woga na unafiki.
 
Zitto sasa anakaribia kuwa mteja wa Mirembe. Ana halucinate na kuamini kuwa:

1. Bunge ambalo linaundwa na asilimia 75% ya wabunge toka chama tawala linaweza kum impeach rais aliyetokana na chama tawala hicho na ambaye ndiye mwenyekiti wa hicho chama tawala wanakotoka hao wabunge? Tena kwa kosa la kumtuhumu mwenyekiti wa chama pinzani (cha Zitto) kwa kujihusisha na madawa ya kulevya?

2. Anaamini kuwa leo bunge likivunjwa na uchaguzi kurudiwa, yeye Zitto na wapinzani wake watashinda na Lowassa kuwa rais wa nchi? Hizi ni delusions & hallucinations of high grade zinazotakiwa kurekebishwa Mirembe kabla hali haijawa irreversible. Kila normal person anajua uchaguzi ukirudiwa leo au hata hiyo 2020 Zitto hataweza rudi mjengoni na chama hicho cha upinzani hakiwezi shinda, wala Lowasa hatashinda urais. Kinyume chake Magufuri atashinda kwa kishindo kikubwa zaidi ya ile ya 2015.

3. Anaamini kuwa chadema ingeshinda nafasi ya urais hapo 2015 huku ikiwa na wabunge asilimia 25% tu ya wabunge mjengoni, huyo rais wao angedumu? Jibu la kila normal person ni kuwa hangedumu hata mwenzi mmoja maana hao wabunge wa upinzani wangekuwa asilimia 75% na wangemu 'vote no confidence'.

5. Yaani Zitto hajui au amesahau kuwa nguvu ya serikali na chama tawala ni kiwango cha idadi ya wabunge wake walioko mjengoni? Yaani uwashawishi sababu za kitoto kama hizo eti waachie madaraka? Kweli Zitto anatakiwa akafanyiwe vile vipimo vya Makonda.

6. Halafu Zitto kila wakati kumnukuu Mwl Nyerere? Kwa kila normal person anajua kuwa Mwl Nyerere ndiye muasisi wa CCM (aka TANU) na kwamba sera za ccm zimeasisiwa na Mwl Nyerere na ndizo zinazotekelezwa kuanzia uhuru hadi sasa (50+ years). Zimekuwa zikirekebishwa mara kwa mara ili kwenda na wakati. Sasa Zitto kang"ang'ania za zamani hususani Azimio la Arusha alilolikopi na kupaste kama Azimio la Tabora.
 
Back
Top Bottom