..niliwahi kueleza kwamba Zitto is not radical enough, or too soft, when it comes to dealing with CCM.
..mawazo na mitizamo yake iko tofauti na what Chadema's base support wants.
..binafsi nilianza kushtukia misimamo na mitizamo yake wakati wa Tume ya Afrika Mashariki ya Prof Wangwe. baada ya hapo akaja na misimamo ya ajabu ktk suala la dowans, then suala la Dr.Rashidi, tume ya Jaji Bomani, suala la gavana wa bot.
..it is very frustrating, kwasababu huyu ni kiongozi wa Chadema, and he wants to be the Chairman of the party, lakini mawazo,mitizamo,na hoja zake, ni as if you r dealing na kiongozi wa CCM.
..in my opinion, kinachoendelea baina ya Zitto na mahasimu wake ni MISTRUST. sasa ili waweze kufanya kazi kwa pamoja na kusonga mbele ktk kujenga chama inabidi upande mmoja ubadilike. ama Zitto aachane ni hii misimamo na hoja zake ambazo ni pro-CCM, au Zitto aamue kutetea na kusimamia kwa nguvu zote msimamo na mawazo ya wakereketwa wa Chadema.
..katika kufuatilia kwangu siasa sijaona chama chochote kile kikaongozwa na mtu ambaye haungi mkono hoja za party base/wakereketwa wa chama.