VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Sijawahi kuomba Kikwete aongezewe muda. Tanzania Daima waliandika habari hiyo kwa lengo maalumu na nililalamika rasmi kwa Mhariri mtendaji. Unaona sasa unanihukumu kwa habari iliyotungwa? Ndio maana nimetaja Tanzania Daima na Mhariri wake maana hii ni scheme ya muda mrefu na nimelalamika sana kimya kimya. Hata suala la mimi kutangaza nitagombea 2015 liliandikwa na Tanzania Daima peke yake tena kati kati ya kampeni. Hakuan aliyejiuliza ni kwa nini gazeti linalomilikiwa na Kiongozi wa CHADEMA linaweza kuandika kitu kama kile katikati ya kampeni.
Please mimi kama Mtanzania, who had lost hope kama kweli kutakuwa na upinzani wa kweli, mpaka Chadema ilipokuja na kufika hapa ilipo sasa, ninawaomba mkae nyote and sort out your differences behind the scenes, and make sure they are sorted.... Remember we are fighting the same battle, small differences zisitutenganishe, na kama kuna mchawi ndani ya chama basi aonywe na aadhibiwe.