Mh jina lako lanitishia shala na hizo habari
Join Date: Tue Nov 2010Ikiwa ni kweli wamefanya hayo yaliyosemwa hapo juu basi KWa hili ntakubaliana na wewe 100%aaaaaha mwisho wa chadema huyoooooooooooo.
kesha kufa kisiasa achane sasa kumpandisha chati kwa kumjadili yeye kila siku kumbuka umaarufu unakuja kwa kusemwa vibaya au vizuri ,habari zake hazina mshiko tena watu wamejadili sana hapa na tumeshapata ufahamu kuhusu yeye
aaaaaha mwisho wa chadema huyoooooooooooo.
aaaaaha mwisho wa chadema huyoooooooooooo.
there is no need to wait any longer!Basi ungengoja mpaka uwe na uhakika kwa ishu nyeti kama hiyo; yaani unawashwa hata huwezi kusubiri? Patience and truth are virtues we must uphold
Tukianza na thread yako hii inaboa, kwanini usingetoa mawazo yako haya kwenye thread zingine zilizopo zinazomhusu zitto?Jamani naombeni wana JF msimlaumu huyu Zitto Kabwe ila muilaumu CCM kwa kutufanya watanzania tuwe masikini na kuwa na tamaa za kijinga kama ya Zitto Kabwe. Ikiwezekana kuanzia sasa moderator azuie thread zote zenye jina 'Zitto' kwasababu zinaboa.
Jamani naombeni wana JF msimlaumu huyu Zitto Kabwe ila muilaumu CCM kwa kutufanya watanzania tuwe masikini na kuwa na tamaa za kijinga kama ya Zitto Kabwe. Ikiwezekana kuanzia sasa moderator azuie thread zote zenye jina 'Zitto' kwasababu zinaboa.
Tukianza na thread yako hii inaboa, kwanini usingetoa mawazo yako haya kwenye thread zingine zilizopo zinazomhusu zitto?
I hate CCM lakini acha niwaambieni ukweli, labda kama mnafanya kwa kujifurahisha lakini CCM hawatotoka madarakani kwa hizi thread zenu za kwenye JF. Wapiga kura wengi wapo vijijini na hawana uwezo wa kutumia internet. Kama kweli mko serious ni bora mtafute njia nyingine la sivyo tutalalamika hadi Yesu arudi CCM hawatatoka madarakani kamwe.