Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Zitto tatizo lake ni kuwa na blid ambition kupitiliza! Much as people admire him for his guts lakini huyu Bwana is not a consensus builder. Tangu uchaguzi uishe amefanya mambo matatu kuonyesha udhaifu wake;

1) Alikuwa ni mwana-Chadema wa kwanza kutamka kwamba CHADEMA inakusudia kuunda upinzani bungeni peke yake maana namba wanazo. Hata kama ni kweli Chadema walikusudia kufanya hivyo hili lisingetoka kwa Zitto na pengine limefanya vyama vingine kukatishwa tamaa.

2) Zitto alitangaza kugombea Uongozi wa Upinzani Bungeni ndani ya chama chake. In other words he was trying to preempt Chadema wamchague kwa kuruka mstari. Jumping the Que! Ni weakness kubwa.

3) Jana katika hali ya kujikomba ametoboa siri (mapema) kwamba alitofautiana na wenzake kuhusu kususia hotuba ya JK huko Dodoma. What was the aim of going public this early wakati issue ni hot hot kama sio ku-undermine authority and cause ya Chadema?

Kwa mtizamo wangu Zitto is more of a liability than an asset in Chadema and I think Chadema should let go. Wahaya wanasema: AGENDE!
 
Wakuu habari za punde ni kwamba Zitto Kabwe atahamia NCCR mageuzi, na kwamba atagombea ubunge kigoma kaskazini kwa chama hicho. kwa hiyo basi atakua ametimiza kazi yake ya kuivuruga cdm na mafisadi watashangilia. ila cdm itaendelea kuwepo na kuendelea kufanya kazi uzuri.

Aende zake. Hana soko tena.
 
Zitto akihama mapema CDM itakuwa salama. Binafsi ninaona ni bora aondoke mapema. Anamsimamo wa kutatanisha sana. Anapenda kujipendekeza CCM na kutafuta umaarufu wake binafsi. Na kuacha maslahi ya chama nyuma. Nimeshangaa hivi sasa kutoka na tamko lake binafsi akitofautiana na msimamo wa chama chake. Anataka kwenye jamii na kwa CCM aonekane yeye ni bora.
 
Kwa siasa anazofanya ni bora atoke kabisa. Nashauri kama hatoki basi CDM wamfukuze kabisa. Ataendelea kukivuruga chama. Nafikiri huyo si CDM tena. Najua mwisho wake hautakuwa mzuri. Ni vema viongozi wa CDM wakawahi kumuondoa huyu.
 
Zitto ni very potential person kwa CDM, kinachouzi ni jinsi anavyotofautiana na wenzake na kuanza kusema sema kila sehemu! Kama Zitto atahama tunaweza kupata chama kingine cha upinzani chenye nguvu kama CDM na CUF hilo halitunyimi usingizi.

Tatizo kubwa ni kutosoma alama za nyakati, kuona watanzania tunataka nini? Hatuhitaji migogoro saizi we need changes, kama viongozi wa siasa watashindwa kuonyesha njia, ipo haja kuwa na chama kingine chenye mlengo wa kati usioweka misingi mibovu ambayo viongozi wake wanakuwa hawakidhi haja za wananchi.
 
Zitto tatizo lake ni kuwa na blid ambition kupitiliza! Much as people admire him for his guts lakini huyu Bwana is not a consensus builder. Tangu uchaguzi uishe amefanya mambo matatu kuonyesha udhaifu wake;

1) Alikuwa ni mwana-Chadema wa kwanza kutamka kwamba CHADEMA inakusudia kuunda upinzani bungeni peke yake maana namba wanazo. Hata kama ni kweli Chadema walikusudia kufanya hivyo hili lisingetoka kwa Zitto na pengine limefanya vyama vingine kukatishwa tamaa.

2) Zitto alitangaza kugombea Uongozi wa Upinzani Bungeni ndani ya chama chake. In other words he was trying to preempt Chadema wamchague kwa kuruka mstari. Jumping the Que! Ni weakness kubwa.

3) Jana katika hali ya kujikomba ametoboa siri (mapema) kwamba alitofautiana na wenzake kuhusu kususia hotuba ya JK huko Dodoma. What was the aim of going public this early wakati issue ni hot hot kama sio ku-undermine authority and cause ya Chadema?

Kwa mtizamo wangu Zitto is more of a liability than an asset in Chadema and I think Chadema should let go. Wahaya wanasema: AGENDE!

Well said..Byasel....One thing is evident....Zitto is lacks collective responsibility...for what it worth, whether he is doing it deliberately to escalate things or not he needs remember who brought him up to those heights...he owe the party alot...
 
Wakuu habari za punde ni kwamba Zitto Kabwe atahamia NCCR mageuzi, na kwamba atagombea ubunge kigoma kaskazini kwa chama hicho. kwa hiyo basi atakua ametimiza kazi yake ya kuivuruga cdm na mafisadi watashangilia. ila cdm itaendelea kuwepo na kuendelea kufanya kazi uzuri.

Hata akiondoka dakika hii aondoke tu!!!! Kwa sasa hana impact kwa CHADEMA baada ya kuishi huko kinafiki kwa muda mrefu sasa. NCCR kunamfaa maana kina Mbatia wa CCM mbadala wanamsubiri. Zito ameacha kuwa mzalendo kwa muda sasa na hilo linajulikana wazi, sema CHADEMA wana busara wanasubiri tu yeye aamue kuachia ngazi mwenyewe!! Politikallllllllliiii mufilisi.
 
Pamoja na mapungufu yote ambayo wengi wetu tunaona , lakini ndi demokrasia yenyewe. tutatofautiana lakini at the end tuendeleze mapambano yaliyo mbele yetu. mambo ya kuondoana tutajikuta tunajiondoa wote hakuna atakaye baki. kila mmoja anamapungufu yake ni kujua tu namna ya kuishi na mtu wa namna hiyo. maamuzi magumu kama haya ya ku walk out si jambo la kuchukulia kirahisi rahisi ni maamuzi magumu sana, ambayo ccm yamewashinda kuyachukua juu ya kupambana na ufisadi. maamuzi kama haya lazima pawepo na mgawanyiko. chama ndio kiwe na msimamo.
 
mie nadhani atupe sababu kwanini alikuwa hakubaliani na pendekezo hilo,lazima alikuwa na sababu,sasa asiseme tu tulipiga kura wengi wape,vilevile atuambie kwanini hakukubaliana na maamuzi yale then uamuzi utolewe na wana JF.

You have missed the point entirely. Zitto Kabwe alikuwa na kila haki ya kupingana na wazo la walkout akiwa ndani ya vikao vya chama. Ila baada ya viongozi wa CHADEMA kupiga kura na kuamua kuwa tuna walkout wakati Rais anahutubia Bunge, Zitto alipaswa kuelewa kuwa huo ndio uamuzi wa chama. Kwa kufuata principle ya collective responsibility, yeye alipaswa kuungana na wenzake na kuingia Bungeni halafu ashiriki kwenye walkout hata kama alikuwa haungani na uamuzi huo. Kosa alilofanya la kwanza ni kuamua kutokwenda Bungeni. Lakini kosa kubwa zaidi ni kitendo chake cha kuongea na waandishi wa habari na kutoa siri za vikao vya CHADEMA kuwa kulikuwa na mvutano kwenye hili jambo na yeye hakuunga mkono. CHADEMA wanafaa wamchukulie hatua za kinidhamu, lakini sidhani kwa sasa kosa hili ni kubwa kwa yeye kufukuzwa uanachama. Hapa ni kuandikiwa barua na Katibu Mkuu wa chama kutakiwa atoe maelezo ya kutoa siri za chama hadharani na kupingana na uamuzi wa chama. Ladba kama itokeee ana kaidi na kuonesha dharau kwa uongozi wa chama, hapo ndipo wanaweza kuchukua hatua zaidi.
Kuna wachangiaji wengine humu wamesema, mbona Kamati Kuu ya CCM ilipoamua kumfukuza Spika Samuel kuna wengi walipinga uamuzi huo lakini hawakutoka nje na kutoa siri za kikao cha chama kuwa kulikuwa na mvutano.

Kwa kweli sijamwelewa kabisa Zitto Kabwe kwa kitendo alichofanya.
 
bado najiuliza nani mwenye busara na wapi chadema inaelekea kama wakiwa bungeni wanashindwa kuwa na msmamo mmoja iweje leo hii walalamikie cuf wananuliwa
nilijiuliza na badonajiuliza kati ya hawawatu waliokataa kuingia bungen na kutoka na walioingia na kutoka nani wenye busara

mtafika kwa mtaji huu
 
makubaliano ya pamoja muhimu kuyatekeleza kwa pamoja, mwenye busara ni mwenye kukubaliana na wenzake na kutekeleza. uhuru wangu unakoma pale wa kwako unapoanzia .
 
Wanaokubaliana kwa pamoja baada ya kupiga kura na wengi kupita ndio wenye busara. Aliyebaki nyuma ni mwoga na mjinga
 
Zitto ni kama Kafulila, aonywe kwa mwenendo huu akikaza shingo yamtokee ya Kafulila hatutaki upuuzi
 
You have missed the point entirely. Zitto Kabwe alikuwa na kila haki ya kupingana na wazo la walkout akiwa ndani ya vikao vya chama. Ila baada ya viongozi wa CHADEMA kupiga kura na kuamua kuwa tuna walkout wakati Rais anahutubia Bunge, Zitto alipaswa kuelewa kuwa huo ndio uamuzi wa chama. Kwa kufuata principle ya collective responsibility, yeye alipaswa kuungana na wenzake na kuingia Bungeni halafu ashiriki kwenye walkout hata kama alikuwa haungani na uamuzi huo. Kosa alilofanya la kwanza ni kuamua kutokwenda Bungeni. Lakini kosa kubwa zaidi ni kitendo chake cha kuongea na waandishi wa habari na kutoa siri za vikao vya CHADEMA kuwa kulikuwa na mvutano kwenye hili jambo na yeye hakuunga mkono. CHADEMA wanafaa wamchukulie hatua za kinidhamu, lakini sidhani kwa sasa kosa hili ni kubwa kwa yeye kufukuzwa uanachama. Hapa ni kuandikiwa barua na Katibu Mkuu wa chama kutakiwa atoe maelezo ya kutoa siri za chama hadharani na kupingana na uamuzi wa chama. Ladba kama itokeee ana kaidi na kuonesha dharau kwa uongozi wa chama, hapo ndipo wanaweza kuchukua hatua zaidi.
Kuna wachangiaji wengine humu wamesema, mbona Kamati Kuu ya CCM ilipoamua kumfukuza Spika Samuel kuna wengi walipinga uamuzi huo lakini hawakutoka nje na kutoa siri za kikao cha chama kuwa kulikuwa na mvutano.

Kwa kweli sijamwelewa kabisa Zitto Kabwe kwa kitendo alichofanya.

Point!!!
 
bado najiuliza nani mwenye busara na wapi chadema inaelekea kama wakiwa bungeni wanashindwa kuwa na msmamo mmoja iweje leo hii walalamikie cuf wananuliwa
nilijiuliza na badonajiuliza kati ya hawawatu waliokataa kuingia bungen na kutoka na walioingia na kutoka nani wenye busara

mtafika kwa mtaji huu
Mlimwandama Wangwe mpaka mkamuua alipoonesha msimamo wake sasa naona mnataka yatokee pia kwa zitto yaliyotokea kwa Wangwe kutofautiana ndio demokrasi. jiulize mbona si wote ccm waliopenda sita aondolewe hata akina kinana hakupenda na leo mbona hawamlaum?
 
Zitto kutofautiana na wenzie ni siasa iliyokomaa kabisa. Sababu ni wazi kabisa huwezi kukubali kila wanaloliamua wenzio kwa sababu za eti ni maamuzi ya chama. Swala hilo ndio linawamaliza CCM leo kwa kukumbatia mafisadi kwa kigezo cha protocal za kichama. Sasa, ni wazi kabisa Zitto kabwe alitazama political risk zote associates na uamuzi wake, kisha akaamua lile analoamini ni la manufaa kwake (career wise) na wananchi wa Kigoma Kaskazini.

Ninapo tofautia na Zitto ni kuhold press conference na kutanabaisha bayana mchakato mzima wa yeye kuto kukubaliana na wenzie. Zitto angeweza kusema "kutokana na mambo yaliyokuwa nje ya uwezo wangu nilishindwa kuwepo bungeni na kuungana na wenzangu kutoka nje wakati Mh. Jakaya akitoa speech ya ufunguzi". Jibu kama hili lingetanabaisha bayana ni kwanini Zitto hakuwepo bungeni, lakini kwa yeye kuja kwenye media na kupayuka kama punguani limeonyesha wazi kabisa uchanga wasiasa uliopo ndani mwa wabunge vijana.

Ushauri kwa wabunge vijana wa CCM, CUF and Chadema, siasa ni mchezo kama drafti au chase hivyo basi sukuma kete zangu kwa kuangalia mwenzio anasukuma vipi zake. Media siku zote ipo kutengeneza story na kuuza, hivyo basi havina rafiki.
 
Kutoka lilikuwa Azimio la vikao si Mbowe, So Zitto ameonyesha tu utovu wa Nidhamu na nina hakika atajadiliwa na vikao kwa kukurupuka kwenye vyombo vya habari, manake sio yeye tu ambaye hakuwa bungeni lakini wenzake wako kimya.
Chama chochote duniani hakiongozwi na hisia binafsi bali maamuzi ya vikao wazee. na yeyote anayekwenda kinyume na maazimio ya vikao anatakiwa kuwajibika. Narudia tena Zitto asipokuwa makini atapotezwa na ccm kama Lamwai Aman Kaburu, Tambwe na wenzao wengi na yeye umaarufu wake unajengwa na upinzani nje ya upinzani he is nobody
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom