kutokana na kichefuchefu (haswa baada ya kusema anamtambua jk ni amiri jeshi mkuu na alama ya bunge na hivyo si vizuri kutoka bungeni na kwa kiburi kabisa kusema anasubiria hatma yake chamani kutokana na uamuzi wake huo) ambacho mh. Zitto kabwe ameendelea kuleta ndani ya chadema wana jf wenzangu nilikuwa ninatoa mapendekezo kuwa huyu jamaa ni wa kuogopwa kama ukoma, na ni kidudu hatari kuliko kirusi cha ukimwi kwa wana upinzani, wapigania haki na kwa wananchi wa tanzania waliodhulumiwa haki zao kwa muda mrefu na chama tawala cha ccm. Kwangu mimi namwona ni msaliti mkubwa wa watanzania na upinzani. Hivyo ni nilikuwa napendekeza aondolewe chadema haraka kwani amepandikizwa na ccm. Nakishauri chadema kimvue uanachama ili kunusuru upinzani wa ukweli ambao umebaki peke yake chadema. Je wana jf wenzangu mnaonaje? Je aendelee kubaki chadema au aondolewe. Ushauri utakaopatikana hapa ukiambatana na sababu za msingi, naomba chadema waufanyie kazi.
Zitto ni mkweli sana , na mkimtoa CDM mmejimaliza. Aliisha wahi kuwaambia juu ya kumfukuza Kafulila, leo madhara yake mmeyaona amewahenyesha kwenye ubunge na ameupata. Msiwazibe wana mapinduzi ya kweli km wakina zitto kusema ukweli wao, hiyo siyo demokrasia. Na ndio maana hapa twasema CDM sio shwari kwa sasa kuna mazongozongo mengi sana ndani ya Chama. Wakina Mbowe wanataka watukuzwe km mungu mtu, sasa watu makini km wakina zitto hawakubali. Kuweni wapole mwacheni atoe mawazo yake.
Umeanza lini huo ubaguzi?Na Ubaguzi wa kimaeneo na udini tu ndo unaendelea sasa
Zitto ni mkweli sana , na mkimtoa CDM mmejimaliza. Aliisha wahi kuwaambia juu ya kumfukuza Kafulila, leo madhara yake mmeyaona amewahenyesha kwenye ubunge na ameupata. Msiwazibe wana mapinduzi ya kweli km wakina zitto kusema ukweli wao, hiyo siyo demokrasia. Na ndio maana hapa twasema CDM sio shwari kwa sasa kuna mazongozongo mengi sana ndani ya Chama. Wakina Mbowe wanataka watukuzwe km mungu mtu, sasa watu makini km wakina zitto hawakubali. Kuweni wapole mwacheni atoe mawazo yake.
Hivi hayo majimbo mawili waliyoshinda kafulila na huyo mwenzake yalikua yanashikiliwa na CHADEMA au CCM?Sasa nani kapoteza jimbo hapo?ni CCM au CHADEMA?mkuu leo asubuhi kwenye jambo tz tbc1 ndi alichosema kwamba mimi sikuchaguliwa na slaa/mbowe bali na wanakigoma kwa hiyo ridhaa yao ilikuwa yamhimu sana ili kuwalk out.
Halafu wanasema nini? Kumfukuza, thubutu, walifanya hivyo kwa kafulila na mwenzake siunaona yaliyowafika, siwamepoteza majimbo yote mawili? Au hawajifunzi?
Kwa taarifa yako chadema haina nguvu wala mvuto kwa majimbo ambayo yana waislamu wengi, zaidi ya umaarufu wa mgombea husika ndo maana hata akina kafulila walipoondoka chadema na mwenzake bado walipata hayo majimbo kupitia nccr mageuzi
leo hii natamani imfukuze zitto ili kifo chao kiwadie kwani watachaguliwa mbeya na kilimanjaro na sehemu zinazofanana na hizo tu.
Trust me.
Solution, (binafsi siipendi ccm lakini siipendi chadema zaidi ndo maana hata kura yangu nilikuwa tayari kuwapa ccm kuliko chama hicho cha kikabila/kidini/kifamilia.
Dr. Slaa you are the hores, i trust you, kupitia uongozi mwanana wa kikwete umeweza kupata nafasi ya kuananika mengi ambayo tulikuwa hatuyafahamu na vyombo vya habari vikapewa nafasi ya kuyaandika, thats big thanks kwa slaa,
lakini ndugu yandu slaa hao watu waliokuzunguka wengi si watu wazuri we know them and we can not trust them anytime hata leo kuwapa nchi, ndo maana hata wabunge wakuteuliwa wamewekana ndugu tu ni tofauti kabisi na cuf ambapo hatuoni ndugu yake seif au lipumba akipendelewa kupewa viti maalum.
Watch it out au fanya hima uungani na watu wa cuf hao wamekomaa kisiasa na hawanatamaa na madaraka then itakuwa easy kuwapeni nchi, other no and go to hell.
See you next time.
Zitto ni mkweli sana , na mkimtoa CDM mmejimaliza. Aliisha wahi kuwaambia juu ya kumfukuza Kafulila, leo madhara yake mmeyaona amewahenyesha kwenye ubunge na ameupata. Msiwazibe wana mapinduzi ya kweli km wakina zitto kusema ukweli wao, hiyo siyo demokrasia. Na ndio maana hapa twasema CDM sio shwari kwa sasa kuna mazongozongo mengi sana ndani ya Chama. Wakina Mbowe wanataka watukuzwe km mungu mtu, sasa watu makini km wakina zitto hawakubali. Kuweni wapole mwacheni atoe mawazo yake.
Kweli kabisa Ishu ya kumtosa Sitta haikuungwa mkono na member wote wa kamati kuu ila mwisho wa yote jibu moja tu lilitolewa.....Tatizo la Zitto anatafuta cheap politics tu. kwani angekaa kimya kipi kingeharibika? Wengi wape hata kama inakuuma hiyo ndo demokrasia... na kama wengi wangepinga kutoka nje leo Zitto angesema nn?Zitto alitaka awe KUB na misimamo yake hii kwa JK. Hebu fikiria: Spika Anna Makinda; NS Job Ndugai; tungekuwa na Bunge gani? Zitto jifunze kidogo ile dhana ya UWAJIBIKAJI wa PAMOJA. Usidhani kwamba hata huko kwenye CC ya CCM wote walikubaliana kumtosa Sitta. Haujamsikia hata mmoja akijitokeza hadharani kueleza msimamo wake tofauti na ule alooueleza Makamba.
Zitto kwa JK ni kama MBWA kwa CHATU. Lolote utalojaribu kulifanya linalombomoa JK Zito hatakubaliana nawe.
Well said MkuuHivi hayo majimbo mawili waliyoshinda kafulila na huyo mwenzake yalikua yanashikiliwa na CHADEMA au CCM?Sasa nani kapoteza jimbo hapo?ni CCM au CHADEMA?