Aisee mi nataka aondoke hata leo coz yeye ndo amekua akifikiria ki-ccm ccm, mi hata simwamini tena na alishanipoteza kwenye ile meli yake siku nyiiiiingi, sasa hvi nina vichwa vyangu kama mnyika,lissu hao ni wapya sijamalizia wengine, ukweli ni kwamba kuwepo kwake pale kunatuzingua wengi sana huku mtaani, tabia yake inayotuudhi wengi ni ile ya kupenda kutaka vitu hata ambavyo bado hajakwalify enough ukilinganisha na wengine, pili ile ya kupenda kulewa sifa, tatu anatabia ya kujingonga kwa raisi, nne anatabia ya kuonekana yeye ni wa muimu saaana, tano sasa hvi anaishi maisha ya kifahari sana kutembelea hammer kunanipa wasiwasi mkubwa juu ya uaminifu wake kwa chama na wananchi wenzangu wa kigoma....