Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,209
Malaria Sugu alitabiri kifo cha CHADEMA ndani ya mwaka mmoja. Si ajabu ni kutokana na kuwa na uhakika kwamba washawateka potential persons kama akina Zitto. Lakini kama atahama atakuwa ameisaidia sana CHADEMA kuliko kuendelea kuwa ndani ya CHADEMA na huku ni puppet wa mafisadi. Tunamtakia kila laheri katika kufanya hayo maamuzi yake. Na tungependekeza afanye maamuzi hayo mapema ili kuepusha uwezekano wa kuendelea kuibomoa CHADEMA.