Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Tena huu ni muda muafaka kufanya uchafu wote, na mamluki wote wajulikane ili operesheni za ukombozi zikianza tunajua kila mtu na vazi lake. Hapa kwa hii mbinu siwalaumu.
 
Next time wakifanya hivyo niambie nikurushie ID mpya na pswd!

Thanks Rev,

Nitafanya hivyo kwa hakika.

Nilikuwa so frustrated. Bora jamaa wangenipiga ban ili ijulikane.
Huu mchezo sio mzuri kabisaa. Nadhani ninamjua mod aliyefanya hivi. Ninamtukana kimoyomoyo sasa hivi (nisijefungiwa tena).
 
who is zitto kabwe then to compare him with freeman mbowe? and who is freeman mbowe then to compare him with zitto kabwe? nina wasiwasi na utimamu wa hao wanaojaribu kumpima zito na mbowe and vice versa! nasema zitto ana nafasi yake mbowe ana nafasi yake katika kukiimarisha chama lakini hamna hata mmoja kati yao hao wawili binafsi au kwa makundi mwenye uwezo wa kukitikisa chama cha demokrasia na maendeleo kwani watu makini na wenye misimamo dhabiti kutetea maslahi ya taifa letu kupitia chadema wapo hivyo ni fikra potofu kujaribu kufikiri zitto kabwe na freeman mbowe wanaweza kuisambaratisha chadema! viva chadema long live chadema long live chadema's comrades! aluta continua!
 
Tena humu jamvini wapo wengi sana.
Ila kwa hili la Zitto na Mbowe naona kama wanaelekea kufanikiwa.

my friend you are far away from the reality ! si zitto wala mbowe walioshikilia uhai wa chadema chadema ni chama cha wazalendo! so tutakuwa hatuwatendei haki wazalendo hao kwa kujitahidi kukibinafsisha chama kwa zitto na mbowe! chonde chonde tuamke usingizini wajameni!
 
my friend you are far away from the reality ! si zitto wala mbowe walioshikilia uhai wa chadema chadema ni chama cha wazalendo! so tutakuwa hatuwatendei haki wazalendo hao kwa kujitahidi kukibinafsisha chama kwa zitto na mbowe! chonde chonde tuamke usingizini wajameni!

Heshima mbele mkuu,

Nadhani hakuna haja ya kutafuta mchawi ni sisi wachangiaji tunataka kufanya taswira ya chama iwe ya mbowe au zitto na hili litakigharimu chama mbele ya safari. Ubaya ukisema ukweli unaitwa majina CCM/umetumwa nk lazima watu wafute mawazo mgando na kupambanunua mambo!
 
Chadema ina wasomi si unaona sasa kabla mpango wao haujatimia tulishastukia poa mkuu endelea na investigative update sisi hatudanganyiki na tunatumia elimu yetu kuchanganua mambo vizuri asante saana mkuu, god bless you
 
Mficha maradhi,kifo humuumbua.Haina haja ya kusubiri watu watumie udhaifu wenu viongozi wa Chadema kukisambaratisha chama.Mmeonesha ukomavu wa kisiasa na mnaendesha siasa za kisasa.Wote mnamchango mkubwa kwenye chama ingawa kila mtu anamapungufu yake.
Ushauri ni kuwa kwa sasa msitoe matamko ambayo yataendelea kukuza taharuki ambayo itakuwa na madhara kwa chama.Kuna vita dhidi ya Chama itokanayo na hasira za wapinzani wenu kutokana na kuwajeruhi katika uchaguzi uliopita.Muda huu ni wa kuwa na mshikamano kikweli kweli,msiruhusu nyufa hata kidogo.Mpaka sasa mnapoint nyingi sana mlizoshinda,mjipange upya kwa mashambulizi mengine bungeni na nje ya bunge katika kushinikiza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Chama kina kanuni na taratibu zake,mkizifuata bila upendeleo siku zote, mtafanikiwa.

Mungu awajalie hekima,na awalinde na naowaangalia kwa jicho la husuda,....AMINA.
 
Mimi nafikiri kama chadema wanataka chama kiendelee na uimara inabidi msemaji wa chama awe mmoja tu. Zitto anaweza kukiua chama tuwe naye makini. Pili zitto tunampenda tunamuomba asiharibu chama jamani?? Tatu yule mama aliyejihuzuru mimi nafikiri hana uvumilivu wa kisiasa, au amekosa viti maalumu lakini aangalie wenzake walikuwa kwenye majimbo na kama hujapata kuwa mvumilivu. Maana hata kwenye majimbo yale chadema wameshinda kulikuwa na wapinzani ndani ya chadema,


tusiue chama sasa tz tunaenda wapi?? Kama umekula au umepewa pesa nyamaza ule na ukae kimya.
 
Tusiukwepe ukweli Mazingira ya khali nzima yakumuongelea Zitto yanatengenezwa na Zitto Mwenyewe so Lazima tumtake na Zitto pia kujirekebisha hizi Stori zote source yake ni yeye mwenyewe anatakiwa atumie awe mwangalifu nakutumia Busara zaidi kwa kila jambo analofanya kwakuangalia impact zake kwa Chama na jamii pia.
 
Ni kweli kuna viongozi wanaingiziwa maneno mdomono na wao bila kutafakari kama ni sumu au chakula wanatafuna. Ndugu zangu viongozi wa CHADEMA hebu kuwa macho kwani huu ni wakati wa kuonyesha kuwa mmekomaa na mna uwezo wa kukabidhiwa hii nchi, wananchi wazalemdo tuko nyuma yenu.
 
ccm wana mkono wao nahisi. huyo mama aende tu naona ana uroho wa madaraka.
 
That is true brother, coz chadema ni chama imara ipo mizengwe mingi itakayotokea, ya kweli na ya uongo. Viongozi wa chadema wawe makini na hali yoyote ya kuwagawanya; tofauti zao zisiwekwe wazi mpaka ccm wakazitumia kuwaangamiza. Aidha wadu wote wa chama muwe mbele kuwaeleza wananchi juu ya mizengwe yoyote itakayoletwa na ccm maana wao hawajui kuwaw siasa ni mchezo mchafu.
 
Shida ni tangu alipoingizwa katika kamati ya madini nadhani alioneshwa raha ya ufisadi!
 
Zito ni mpambanaji. angekuwa mtu wa majungu kama tulivyo wana JF basi jamii ingemsuta. Ni mtu muhimu kwa jamii ya kistaarabu kama TZ
 
Nafurahi nikisoma comments za watu....nafarijika kwa maana ya kila mtu anaona zito wa sasa sio wa kipindi kile.........leo kwenye gazeti la majira zito amesema asingeweza kutoka nje wakati amir jeshi mkuu ambaye ameleta maendeleo makubwa kuliko rais yoyote yule kwenye jimbo lake anaongea......ndio sababu yake kubwa!
Gurtu ametaja mlolongo wa mambo mengi kuonyesha dogo alivyobadilika na anavyotafuta ugomvi wa maksudi ndani ya chama ili chama kimchukulie hatua na watu walalamike.........ni nguvu ya hela ya ccm ndio inayompa sura aliyonayo sasa ambayo huwezi kubishana nayo kwa kujua hela ina nguvu gan......
Chadema wameliona na nna uhakika wanatafakari wanatakiwa kuchukua hatua gan........niwaombe wamtizame tu na mwisho atajitoa mwenyewe........chochote watakachomfanya atayumbisha chama maana ana nguvu kubwa ya wananchi na ccm wana nguvu kubwa ya media.........
Watulie kwanza na ikiwezekana wamtizame bungeni maana kuna vichwa vimeingia bungen vya hatari na mimi navikubali vitamfunika jamaa taratibu....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom