MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Ninaamini UONGOZI wa juu wa CHADEMA unamfahamu ZITTO. Wasimfukuze. Watampa umaarufu kama ule alioupata BUngeni kwenye suala la Buzwagi.
Kama mtu anakuwa ndiye chanzo cha mizozo ndani ya chama ni kufungua mlango atoke kwa hiari yake mwenyewe, vinginevyo ni kumtimua.
WildCard, ndiyo maana vitu unavyotupa wewe jalalani, kwa watu wengine ni mali ndiyo maana kila siku watu wanapita majalalani kuokota uchafu, Zito akitupwa nje kwa wengine ni mtaji jalala.