Zitto alitaka awe KUB na misimamo yake hii kwa JK. Hebu fikiria: Spika Anna Makinda; NS Job Ndugai; tungekuwa na Bunge gani? Zitto jifunze kidogo ile dhana ya UWAJIBIKAJI wa PAMOJA. Usidhani kwamba hata huko kwenye CC ya CCM wote walikubaliana kumtosa Sitta. Haujamsikia hata mmoja akijitokeza hadharani kueleza msimamo wake tofauti na ule alooueleza Makamba.