Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Peace cannot be achieved through violence, it can only be attained through understanding
Peace can only be maintained through justice. Sometimes you have to use violence to achieve peace.
 
Zitto Kabwe haaminiki,haeleweki na kwa kweli yeye kama kiongozi wa ngazi ya juu ya CDM alitakiwa kuwa bold kwenye maamuzi ya chama. naamini wale waliotoka nje sio kwa maslahi yao mana wangekua wabinafsi wangetulia tu wanalipwa na hawapotezi lolote. wanatupigania sisi walalahoi inatakiwa tuwape moyo tuwasupport sio kuwabeza.

Zitto siku ukihama CDM ndio umeisha angalia wenzio waliohama vyama mf,Amani kabourou,Lamwai,Kimaro,Salakana. wako wengi wewe hamia ccm na ur done.
 
mi nashangaa kwa wasiomuunga mkono mwenyekiti mbowe........haki uwa inasakwa na kupiganiwa!kama mnadhan ccm watabadilika na kuweka tume huru na katiba mpya bila shinikizo la chadema.....mtangoja milele......
namshangaa rashid anavyosema hawakufaidika na mgomo wa kutowatambua marais wawili waliopita kwa upande wa zanzibar..........ivi anadhan serikali ya ccm ingekubali serikali ya mseto bila shinikizo toka nje ambalo lililetwa na ule mgomo?
tusiwe wanafika...... kama tunataka mapinduzi ya kweli lazma tuanze mapema tena kwa harakakuwabana korodan ccm kila tunapopata nafasi ili kufikisha ujumbe kwa wadau wa ndani na nje ili kudai tume huru na katiba mpya ambayo itatuweka huru 2015..... nawapongeza wasomi wetu ndani ya chama kwa strategy wanazotumia.......hamtaeleweka kwa mwanzo kama mlivyomsimamisha slaa kugombea urais ila mwisho wananchi watawaelewa mlichokuwa mnalenga ni kitu gan!
mamluki wataingia wengi tu na sina uhakika na hao 11 waliokuwa wanaleta mvutano ndan ya chama..........tetesi za ndani zinazokaribia ukweli zinasema zito ameanza kuchakachuliwa na ccm........nimesikia msimamo wa mshikaji wako kafulila na najua ndio msimamo wako.........angalia usituchanganye ama na sisi tutakuchinjia baharini kama tulivyomfanya kafulila......tunaitaji mapinduzi ya kweli na hatuitaji unafiki kwa hili
 
Kwani Kabwe anapingana na uamuzi wa chama ? I think I am missing something here...

Yes, kuna kitu una miss na jamaa hapa JF hawataki kijadiliwe kwa uwazi. Kabla ya kikao cha bunge alichohutubia JK wabunge wa chadema walifanya kikao na Mbowe kutoa agizo la wabunge wote kutoka kabla ya Mkutano. Zitto na Arfi waliuliza juu ya uhalali wa hilo na hawakukubaliana na maamuzi hayo. At the end Zitto, Arfi na wabunge kadhaa wa kuteuliwa waliamua kutoingia kabisa bungeni jioni ile. Kwa hiyo kwenye tukio la kutoka wakati JK akihutubia wao hawakuwa miongoni mwao kwasababu hawakumo kabisa bungeni.
 
huwezi nunua gari aina ya hummer kwa kipindi kifupi tu cha ubunge.gari ile ina thamani ya 300m!!pesa zoote hizo kazitoa wapi kama si kibaraka?!

Mbona yapo mpaka ya Kichina usipandwe na presha hata wewe unaweza nunua kwa pesa zako za nyanya.
 
Peace can only be maintained through justice. Sometimes you have to use violence to achieve peace.

na ukitaka amani ya kweli siku zote jiandae kwa vita! amani tuliyo nayo tanzania ni ya kinafki
 
Wewe unauliza au? mbona kwenye maandishi yako wewe mwenyewe tena unatoa majibu! sasa unataka zito akupe akupe majibu gani mbona hakuna swali?
Mhe. Zitto Zuberi Kabwe,

Pole kwa majukumu ya kila siku ya kuwakomboa watanzania. Binafsi nakufagilia sana kutokana na uelewa wako na ushaarabu Mungu aliokujaalia. Najua wapo wanaokubeza kutokana namisimamo yako lakini wewe umekuwa kiongozi wangu bora maana siku zote umekuwa ukijenga hoja na huwa hukurupuki. Naomba ufafanuzi wa kutounga mkono kitendo kilichofanywa na wabunge wa chama chako maana wewe binafsi hukiafiki. Kisheria Bunge la Tanzania linakamika panapokuwa na Rais "Bunge pamoja na Rais" yaani Rais ni sehemu ya buge kama alivyosema mama makinda jana pale bungeni. Nadhani kwa nyie kuendelea kuingia bungeni inamaana mnamkubali Rais ila kuna shinikizo linafanya muonyeshe kuwa mnamkataa au pengine ni kuganga njaa. Maana mkiquit hamtapata posho na mishahara.

Kwakua nakuamini nategemea utanijibu ipasavyo kwa hekima na ufasaha zaidi ama mnaingia bungeni kuganga njaa au laa...................
 
ccm wanataka na watatumia gharama kubwa sana kumsaka ZITTO KABWE arudi ccm ili ionekane chadema ni chama cha kidini! Kuna baadhi ya watu ambao inaonekana kuwa CDM ni kama kero kwao na wanataka kutumia gharama yeyote kukiaribu! PLZ WANACHADEMA HATA SISI CCM TUNAITAJI UPINZANI DHABITI ILI KUUNYOOSHA SERIKALI REGEREGE YA CCM! HATUTAKI ENZI ZA CHAMA KIMOJA ZILUDI.
 
ccm wanataka na watatumia gharama kubwa sana kumsaka ZITTO KABWE arudi ccm ili ionekane chadema ni chama cha kidini! Kuna baadhi ya watu ambao inaonekana kuwa CDM ni kama kero kwao na wanataka kutumia gharama yeyote kukiaribu! PLZ WANACHADEMA HATA SISI CCM TUNAITAJI UPINZANI DHABITI ILI KUUNYOOSHA SERIKALI REGEREGE YA CCM! HATUTAKI ENZI ZA CHAMA KIMOJA ZILUDI.

Vipi kuhusu Mhe Shibuda? unaweza kujua CCM wametenga kiasi gani?
 
Zitto Kabwe ameeleza kuwa ni kweli walipiga kura na kukubaliana watoke wakati Rais akizungumza, lakini wao walipinga na ndiyo maana aliamua bora asiingie ndani ya Bunge, amesema kuwa yeye kama Zitto na wenzake aliona ni bora kutoingia kuliko kuingia na kutoka wakati Rais ambaye ndiye alama ya Bunge na Amiri jeshi mkuu akiongeaa.

Kwa vile kutoka ulikuwa msimamo wa chama, basi yeye na wenzake wamekosea na hilo ni swala la Chama kwani wanaweza kuadhibiwa na chama kwa vile kura za kukubaliana kutoka ilishinda.

Zitto alisema kuwa wanasubiria hatma yake katika chama na kusema kuwa hiyo ndiyo gharama ya Demokrasia. Ila amekanusha kuwa jambo hilo lisifikiliwe ni mgawanyiko bali mtazamo tofauti wa mawazo.

Source: TBC 1 News Bulletin
 
Na hii ndio demokrasia inaruhusiwa kabisa watu wa itikadi moja kutofautiana kwa hoja, sasa wengine wanataka kutumia mtaji huo kuisambaratisha Chadema kazi kweli kweli....
 
Amri jesh mkuu ambae alishinda kwa wizi wa kura. Zitto, hoja ya kitoto. Sema nyingine.
 
I dont see an issue (hapa tuna make a mountain out of a mole hill) kutokukubaliana ni kawaida kura zikapigwa wengi wakashinda thats normal lakini i think Zitto angekaa kimya tu there is no need awaambie vyombo vya habari what went behind the scenes
 
zitto ameongea vizuri sana... tatizo humu jamvini tunataka mambo ya upinzani yaende kama mechi ya kinondoni muslim na tambaza

na hayo ya kupingana yangetokea ccm kesho ungesikia mtu katolewa chamani
 
naunga mkono kabisa, juu ya chama hiki kutofautiana kimtazamo, kam Mwalimu alisena kama unaona hukubaliani na maamuzi ya chama uwe dhahiri kuepuka unafiki na hii ndio kukua kwa demokrasia, cha msingi ni kuangalia maamuzi mnayochukua kutofautiana na wengine chamani hakileti madhara kiutendaji.
Numeipenda hii ingawa ningependa zaidi kam wote wangekuwa bungeni na kutoka, HII NDO DEMOCRACY!! express your feelings freely.

Nilicho fuarhi sana leo ni kauli za Jaji Mkuu na Jaji Warioba kuhusu mabadiliko ya katiba, CDM's votes were successuly registered, gud job people, sasa wameanza kupresha kubadili katiba, keep it burning Gud start.

democrasia hii ya CDM kama mzee King Kingo kinaweza kutumiwa kama mtaji wa kusambaratisha chama!! Lakini naamini Nguvu ya Mungu ni kubwa na it will keep these people united!!

wanaJamii Msichonge tu, wekeni chama hiki mbele ya Maombi ili alichoanzisha Mungu kiendelee kwa ukombozi wa watanzania

Asanteeeeee!!
 
Pia katika Taarifa hiyo ya habari japo kwa mwisho nimekuta Jaji Mkuu Agustine Ramadhani akimalizia kueleza kuwa; "Suala la mabadiliko ya Katiba linawezekana, kwani Tayari nchi nyingi zimefanya na kuzitaja Kenya na Uganda na kusema linazungumzika na lina namna yake ya kujadiliwa," Mtangazaji akauliza iwapo kitendo cha wabunge wa Chadema ni kosa Kisheria, Jaji mkuu anajibu "Siyo kosa kisheria, pengine lingeandaliwa katika kanuni za Bunge lakini pia anaamini kuwa hakuna kosa na ndiyo maana Spika hakusema lolote, lakini sana sana tunaweza kulielezea kama ni swala la maadili tu lakini si sheria".
Hii ni kwa Mujibu wa TBC 1 habari ya saa 2 usiku.
 
zitto ameongea vizuri sana... tatizo humu jamvini tunataka mambo ya upinzani yaende kama mechi ya kinondoni muslim na tambaza

na hayo ya kupingana yangetokea ccm kesho ungesikia mtu katolewa chamani

hii nayo kali hahahahahah
 
Katika kuonesha hali ya masikitiko Mh zitto zuberi kabwe amepingana na kitendo cha chadema kutoka nje ya bunge, akiongea na TBC leo Zitto amesema yeye kama yeye hakubali kitendo cha chadema kuwalk out

Big Up ZITTO :lock1::lock1:hapo umeonesha ukomavu wa siasa
karibu chamani:clap2:
 
Natoa pole kwa ndugu na jamaa wa Willy Muga.

OMBI kwa SERIKALI
Ujambazi unazuilika husani huu wa utekaji magari kama nia na utashi utakuwepo. Nashuri juhudi kama mobilization ya jeshi na polisi ziliyofanywa wakati wa uchaguzi in the name of amani kuhakikisha watu wanarudi madarakani itumike pia kuwalinda wananchi. Nadhani SHIMBO kama anasikia taarifa kama hii ni vyema akaguswa ikiwezekana atoe tamko kwa majambazi.

Vile vile viongozi wa kisiasa waonyeshe kuguswa kama walivyoguswa misiba/msiba iliyotokea wakati wa uchaguzi. Hivi vitendo vya ujambazi si uvunjifu wa amani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom