Tukubali tukatae Zitto ni kijana kiumuri HIVYO HATA KIFIKIRI. MIENENDO YAKE INAZIDI KUTIA SHAKA. NADHANI ALISAHAU MSINGI WA CHADEMA KUTOKA NJE YA BUNGE KWANI CHAMA KIKISHASEMA HAKIMTAMBUI RAIS KINGEWEZESHA KUKAA ILI AKIHUTUBIE? HAONI KUBAKI KUBAKI BUNGENI ILIKUWA NI KUINYIMA NGUVU HOJA WALIYO IANZISHA?
NI VYEMA ZITTO KUELEZEA MSIMAMO WAKE HADHARANI KAMA ANAONA ANA HAKI/UHURU KUFANYA HIVYO. LAKINI KAMA ALIKUWA HAKUBALIANI NA MAAMUZI HAYO SI ANGEBAKI NDANI YA BUNGE? MAANA BADO ALIKUWA NA HAKI/UHURU KUFANYA HIVYO!
NADHANI ZITTO ATAMBUE KUWA NI MTU MUHIMU SANA NDANI YA CHADEMA NA AELEWE ATABEBA FAIDA AU LAANA YA KUPARAGANYIKA KWA UPINZANI NCHI HII. KUHESHIMU MAAMUZI YA PAMOJA NI MUHIMU LAMSINGI MAAMUZI HAYO YAWE NA MANUFAA KWA WANANCHI WANAO WAKILISHWA. KATIKA HILI NAAMINI UAMUZI WA CHADEMA ULIKUWA NA MANUFAA KWETU TUPENDAO MABADILIKO.
KAMA ZITTO ANADHANI KUJIOSHA KWAKE KUTAMUONGEZEA UMAARAFU, KAKOSEA, MAANA MIMI KAMA MOJAWAPO YA WAFUASI WAKE WA KARIBU AMENIHUDHUNISHA
AELEWE SERIKALI, CCM NA VYAMA PINZANI KWA SASA VINATAFUTA KILA NAFASI KUIANGAMIZA CHADEMA, MOJAWAPO YA NJAMA HIZO NI KUFANYA UPOTOSHAJI NA KUMOBILIZE PUBLIC BIAS AGAINST CHADEMA.
ZITTO JARIBU KUFIKIRI BEYOND PERSONAL INTEREST
Magonjwa mengine usipoyahawisha matibabu husababisha kifo!spare him for now please!
Zitto Kabwe ameeleza kuwa ni kweli walipiga kura na kukubaliana watoke wakati Rais akizungumza, lakini wao walipinga na ndiyo maana aliamua bora asiingie ndani ya Bunge, amesema kuwa yeye kama Zitto na wenzake aliona ni bora kutoingia kuliko kuingia na kutoka wakati Rais ambaye ndiye alama ya Bunge na Amiri jeshi mkuu akiongeaa.
Kwa vile kutoka ulikuwa msimamo wa chama, basi yeye na wenzake wamekosea na hilo ni swala la Chama kwani wanaweza kuadhibiwa na chama kwa vile kura za kukubaliana kutoka ilishinda.
Zitto alisema kuwa wanasubiria hatma yake katika chama na kusema kuwa hiyo ndiyo gharama ya Demokrasia. Ila amekanusha kuwa jambo hilo lisifikiliwe ni mgawanyiko bali mtazamo tofauti wa mawazo.
Source: TBC 1 News Bulletin
Take a few loud mouths and give them the support of the disgruntled mob and an unprecedented number of seats in the House matokeo.... dalili tunaanza kuziona. 1000 Zitto Kabwe's would have a difficult time solving the current problems in Tanzania. JF enzi za Nyani kulikua na substantive discussions humu, about real issues.. All that people seem to talk about now is CHADEMA and not even politics, but personalities. This is very poor and JF should aim higher than this... be a thinktank not some forum for the mob to gather and do either virtual lynching or help build personality cults. It is quite appalling... Issues... thats what we ought to discuss, not the self-righteous discourse of certain individuals who at best are trying to solidify a platform for their own political ascension.
kabisa.chadema tujue hii ni kansa itatuua siku moja.nashauri akifanya ujinga wake atimuliwe.chadema tukumbuke mchelea mwana kulia hulia mwenyeweZitto anadhani yeye ni superstar
Analeta tabia kama za CCM kila mtu anaongea madhara yake anatoa mpaka siri za chama ooh tulipiga kura wengi ikawa wape.
Zitto nowdays amekuwa muoga kiasi icho ata akasita kuingia bungeni?
Zitto ana akili ya kitoto sana...Had it been ningekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ningeitisha kikao na kumvua uanachama ili aweze kuwatumikia vizuri hao CCM
....... inaonyesha kabisa Zitto alikua anamuunga mkono kikwete kama katika nafasi ya Urais na Siyo Dr maweapon hiyo ndiyo sababu .............. Zitto yupo CHADEMA kimaslahi binafsi sana na siyo ya kichama.
Akihojiwa na Kituo cha Televisheni cha TBC1, Bw. Kabwe alisema yeye asingeweza kuingia bungeni na kutoka wakati Rais Kikwete ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu, na ambaye amefanya mambo mengine mkoani Kigoma kuliko marais wengine anahutubia. Source: Majira
Based on that inaonyesha kabisa Zitto alikua anamuunga mkono kikwete kama katika nafasi ya Urais na Siyo Dr maweapon hiyo ndiyo sababu ya kutoingia bungeni kabisa na kupinga hoja ya chama ya kutoka bungeni wakati Rais anahutubia. Zitto yupo CHADEMA kimaslahi binafsi sana na siyo ya kichama. Kama kweli haungi mkono ni bora angejiudhuru hata hiyo nafasi ya unaibu katibu mkuu awe mwanachama wa kawaida kabisa, Aige mfano wa Shitambala.