Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,033
Kila chama kina haki ya kusimamamisha mgombea, wananchi ndio wanaochagua pumba na mchele.
kwa bara na Unguja CUF ni bonge la pumba
Kila chama kina haki ya kusimamamisha mgombea, wananchi ndio wanaochagua pumba na mchele.
Kama kweli Zitto kasema hivyo basi ni kioja kikubwa na kashfa ingine kwa wapenda demokrasia na ni uvunjaji wa wazi wa katiba yetu hasa provision isemayo "kila mtu ana haki ya kuchaguwa na kuchaguliwa"
By the way kama Dunia aliye mgombea wa CUF ana 'damu ya CCM' vipi kuhusu wagombea wa CHADEMA waliotoka pia CCM kama akina Thomas Nyimbo,Ngwatura,Shibuda na wengineo wengi akiwemo hata Ntagazwa aliyewahi hata kuwa Waziri ktk serikali inayoundwa na chama cha CCM?
MMh! kweli safari ni ndefuCUF sio pumba Unguja, kwani katika majimbo 31 walipata jimbo 1 ambayo ni sawa na 3.33% na Chadema katika majimbo 182 ya bara walipata 5 ambayo ni sawa na 2.74%. Changanua mwenyewe
remember leo JK yuko Kigoma.. wataweka presha huko..
Mzee Ngabu, tema mate chini ndugu yangu, kwa nini? Au ni agemate wako, maana agemates ukimzidi jua hapo kuna uadui tayari. Mimi nampenda sana huyu Bwana mdogo, anafanya kazi nzuri sana. Au wewe unataka wapinzani wazee kama akina Cheyo na Mrema?
MGOMBEA ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe anakabiliwa na upinzani mkali kutoka vyama vya CCM na CUF huku yeye mwenye akijibu mapigo akisema mkakati huo wa CUF unalenga kuudhoofisha upinzani na kuipa ushindi CCM.
CUF ilitangaza mkakati wake huo juzi na kumtambulisha Omar Musa Nkwarulo maarufu kama Dunia, ambaye atamvaa Zitto katika Jimbo la Kigoma Kaskazini.
Lakini Zitto jana alisema "Nimeshangaa CUF kumpokea Dunia na kumsimamisha kugombea ubunge Kigoma Kaskazini."
"Huyu hajawahi kuwa mpinzani wa kweli, niliwapigia kabla (Profesa Ibrahim) Lipumba, (Ismail) Jussa na Maalim Seif kwamba, huyu si mpinzani wa kweli, lakini nimeshangaa wamempokea na kumsimamisha. Naamini bado ana damu ya CCM.
Na ashindwe na kulegea huyo zitto

Jamani mliowahi kuwapo pale Mbeya, enzi zile timu ya soka ya TAZARA ilipokuwa inavuma, naombeni mnifafanulie kama huyu jamaa ndiye yule mshambuliaji wa kati aliyekuwa anaitwa Dunia Nkwarulo, ambaye amecheza na akina Amri Said 'Stam'. Kuna kipindi pia aliichezea Ujenzi ya Rukwa, ila alikuwa anapaisha sana mipira juu ya lango kila mara hata kama goli liko wazi, hadi kocha akaamua aanze kumpanga wingi ya kulia ili hata kama atapaisha krosi, walau mpira utabaki uwanjani. Je, ndiye huyu Dunia wa CUF? Kama ndiye basi naombeni namba za pale Uhamiaji.CUF ilitangaza mkakati wake huo juzi na kumtambulisha Omar Musa Nkwarulo maarufu kama Dunia, ambaye atamvaa Zitto katika Jimbo la Kigoma Kaskazini.
Huyu lazima arudi ujermany akasafiche vyoo vya mawaziri asubiri moto wa ccm mwaka huu