zitto anaogopa kuuwawa maana hawa jamaa wako serious na kulinda maslahi yao,ndio mana dr.slaa alimtuma sumu ben saa nane ili ammalize zitto,ili abaki huru bila mti makini wa kuhoji.rejea gazeti la Africa leo la leo
Angalia msije mkajutia na hii defamation mnayoendelea kufanya.Gazeti la Africa Leo halitakuwekea wakili
huwa najiuliza sana hivi Babu Yangu Slaa anawalambisha nini vijana wa chadema hadi wanakuwa wanaweweseka
Maneno haya tayari yamesha ku-expose.Hii ni misamiati ya CCM na katibu wake wa Itikadi na Uenezi ndiyo maana nilikuuliza ni lini ulishawahi kuwa mpenda mabadiliko kwa kuwa post zako za nyuma zinaku-define.
Hapa jombaa, nimepata kitu...jinsi ya ku-connect dots!..watu mnatisha!
Manyi,
ha ha ha!
Huu ndiyo uzuri wa JF.Tusisahau kuichangia forum lakini...
Mimi sina chama ila ni mshabiki wa plurality.
Uliisikia hotuba ya yule mnyambilisi Mwenyekiti wa CHADEMA DMV?
CHADEMA ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Demokrasia maana yake peoples power, sasa kati ya wewe unayeendekeza heshima sana kwa viongozi hata wanapochemsha na watu wanaoweka mbele uwezo wa watu kumsema kiongozi nani anaendeleza demokrasia?
Maendeleo maana yake ni kuweza kukosoana kwa uwazi zaidi, wewe unayetaka watu kuogopa ogopa viongozi kwa mwamvuli wa heshima unataka maendeleo gani?
Kiranga,
Very philosophical. Umemjibu vizuri huyo poster.kuna mahali niliandika kuhusu hili la kuchanganya madesa on Criticism,Cynicism,Progressivism andpolitical puritanism
Sasa umeelewa ni kwa nini JK alipoitwa DHAIFU nchi ilikaribia kusimama kwa dakika moja.
In a country where more bad events occur than good ones, it is fair to accept that criticizing and lamenting among Tanzanians is not out of place. Like in the real Tanzanian world, any discussion of politics borders on criticism. JF is no different. Some posters are however more known for the fierce way they criticize(and they are entitled to that), some are subtle critics, some mix criticisms with praising when they feel there is need for it, some are here only to praise, some even obviously PR agents for some people.But I'm not interested in the last class here.
Majibu yako hapo juu umeenda Deep sana na ni ya kifalsafa zaidi.
This is more philosophical than political. It is understandable that people expect the critics and radicals to be unreservedly dogged and rugged and as such must not acquiesce to the whims of unpopular leadership .Some people refuse to take cognizance of the "human" aspect of these individuals having developed personality cult for them.
They neglect the relative subjectivity and volatility of human idiosyncracy and are dissapointed when these men exhibit such human compromises.Sasa tunakiri kwamba watu ni binadamu na wana mapungufu halafu hatutaki kukosolewa.Mentality hizi ndizo zilizosababisha serikali nziima ikaribie kusimama kwa muda kwa sababu John Mnyika alimuita kiwete Dhaifu.Wakati tunajua udhaifu ni sehemu ya binadamu,tunakata kukosolewa kwa kuwa wewe ni kiongozi hata kama unafanya madudu as if ukishavishwa taji la uongozi umevishwa umalaika na udhaifu unaondoka.
People regulate your reason. If you say a word that they say see as 'out of character', you are suddenly expunged from reckoning and respect.
Chezea Zitto!
Walioingia kichwa kichwa kumtengenezea njia kiushabiki kama yule Makamu Mwenyekiti Bavicha na wenzake akina Tumtemeke na kundi lao wameachwa kwenye mataa, mwenzao Zitto kishawatimulia vumbi na wamebaki kuduwaa. Zitto anazijua chenga za mwili, usidhamirie kumtazama tu bila kumfuata kwa akili utakuja kuonekana mbumbumbu.
Hatukuwa na kingine tulichomtakia Zitto Kabwe bali to play ball between the lines.
Candid Scope,
Kiherehere chako cha kusoma mchezo uache...lol
Mwisho wa siku Siwafahamu,sijakaa nao na hata nikikutana nao barabarani tunaweza kupishana.Zilongwa karibu,zitenndwa mbali.....