Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

ZZK ana majukumu gani gani mazito? Huyu jamaa huwezi kumsikia akihusika na M4C
 
Hahahahhahaaa.....
Huyu jamaa huwa anajua kuchemka lakini anajua kuondoka kwenye mchemsho huo haraka sana.

na hilo ndio jambo kubwa linalomtofautisha Zitto na wapambe wake huyu jamaa huwa ni mwepesi sana kuomba po kwa namna yoyote ile akiona upepo haujakaa vyema
 
I doubt the capacity for sarcasm, as the lower end of wit, it takes some capacity you know. More like lack of coherence in some quarters.

And a tendency to think like a spineless sponge.

The temerity to even think of the presidency
!
Kaka Kiranga,

Hujaacha tu Uchokozi wako huu

Hush with all that mushy hurtful words shenanigans.....Lol

Red: The temerity triggered by Political phantasmagoria.....

Self invented means taming the nihilistic forces that are out to annihilate political odyssey....Hillarious!
 
Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015

275673_100000321189166_1444157301_q.jpg
Zitto Kabwe

¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake¨

​

Coongrats Zitto

Zitto unafiki na ujana ukizeeka utakuwa mwanga mchawi

zitto acha jicho lako liwe safi, mkono wako mwaminifu, ulimi wako wa ukweli, na moyo wako mwongofu.

Ukweli ndio msingi wa njema zote za binadamu zingatia
 
mbowe na slaa ndio maana wanatangaza hadharani hawana chuki wala mgogoro katika top management ambayo zitto ni mmoja wapo. Wenzenu mbowe na slaa wanamgwaya nyie watoto walito ndio kila kukicha mnatokwa mapovu mitandaoni kumponda zitto mkiongozwa na ben saanane, yeriko nyerere cjui nyerere wawapi huyu na malimbukeni wengine wa siasa

wewe unadhani ulivokosa akili ya kuona mbele ndivo slaa na mbowe wako ivo??
 
Kaka Kiranga,

Hujaacha tu Uchokozi wako huu

Hush with all that mushy hurtful words shenanigans.....Lol

Red: The temerity triggered by Political phantasmagoria.....

Self invented means taming the nihilistic forces that are oA KWELI ITQut to annihilate political odyssey....Hillarious!
Y

NA HAPA NANUKUU ZITTO ZUBERI KABWE MATUNGURI

SIWEZ KUIKANA KWELI i.e ulozi KWA KUCHELEA UPWEKE WA KITAMBO NIKAJITENGA NA FURAHA YA KWELI ITAKAYOTOKEA PALE PALE UWONGO UTAPOJITENGA,,

ZITTO NI MFA MAJI SANA
 
Mtu muungwana hawezi kujivika uwezo wa Mungu ama uwezo wa Wataalamu wa nyota:ule uwezo wa kujua kitakachojiri.
Ikiwa kweli hakuna kati yetu aliyekirimiwa uwezo huo,tunapata faida gani kuendelea kutoa maoni yenye mwelekeo wa kudhihaki,kukejeli ama kudunisha maazimio ya Ndugu Zitto?Yapo masuala ambayo kwa hakika ufumbuzi wake unataji vikao vya chama.Sidhani kama,mathalani,staha,uvumilivu,heshima na uungwana kwa wanachama wenzetu wakiwemo viongozi wetu ni moja ya masuala hayo.
Tunapouanza mwaka 2013 tunayo, mbele yetu ,masuala mengine ya muhimu ya kujadili,kwa mfano,Sera ya Majimbo na Usimamizi Bora wa Rasilmali za nchi yetu.Kulingana na tittle ya thread yetu ni dhahiri kuwa sasa suala la Zitto juu ya urais na mengine yanayohusiana nayo limelifungwa.Haiyumkiniki kuona wapo wenzetu wanaolazimisha kulifufua suala husika.
 
Y

NA HAPA NANUKUU ZITTO ZUBERI KABWE MATUNGURI

SIWEZ KUIKANA KWELI i.e ulozi KWA KUCHELEA UPWEKE WA KITAMBO NIKAJITENGA NA FURAHA YA KWELI ITAKAYOTOKEA PALE PALE UWONGO UTAPOJITENGA,,

ZITTO NI MFA MAJI SANA
CC Invisible ona jinsi Zitto anavyokashifiwa na nyie mko kimya kabisa huku wengine tukija na thread za ukweli juu ya yanayoendelea juu ya wafuasi wa chadema na Zitto thread zinafungwa ama kuchanganywa na thread za mwaka juzi. wekeni haki sawa kwa wote sio tu kwa wanaomfagilia .........
 
cc invisible ona jinsi zitto anavyokashifiwa na nyie mko kimya kabisa huku wengine tukija na thread za ukweli juu ya yanayoendelea juu ya wafuasi wa chadema na zitto thread zinafungwa ama kuchanganywa na thread za mwaka juzi. Wekeni haki sawa kwa wote sio tu kwa wanaomfagilia .........

iNvisible ni mtu makini
sio mfa maji kama wewe na zitto
wapi alipokashifiwa zitto na hayo maneno tummnukuu yeye mwenyewe zitto??
Haya kamsalimue tuntemekee
 
CC Invisible ona jinsi Zitto anavyokashifiwa na nyie mko kimya kabisa huku wengine tukija na thread za ukweli juu ya yanayoendelea juu ya wafuasi wa chadema na Zitto thread zinafungwa ama kuchanganywa na thread za mwaka juzi. wekeni haki sawa kwa wote sio tu kwa wanaomfagilia .........
Unasikitisha sana mumefanywa nini na huyo kigagula Mwakajila unatuudhi sana tena sana hivi unajielewa wewe
 
iNvisible ni mtu makini
sio mfa maji kama wewe na zitto
wapi alipokashifiwa zitto na hayo maneno tummnukuu yeye mwenyewe zitto??
Haya kamsalimue tuntemekee
Huwezi ukamwita kwa kumkashifu kiongozi wa chama chako kwa jina ambalo sio sahihi kama ulivyomuita nakunukuu Zitto Zuberi Kabwe Matunguri
 
Kaka Kiranga,

Hujaacha tu Uchokozi wako huu

Hush with all that mushy hurtful words shenanigans.....Lol

Red: The temerity triggered by Political phantasmagoria.....

Self invented means taming the nihilistic forces that are out to annihilate political odyssey....Hillarious!

mkuu saanane, kila nikisoma comments zako lazima niwe na dictionary pembeni... Mara parochial,sijui na misamiati gani tena...ila ile ya primson pump theory mpaka leo sielewi ni nini,nimejaribu ku google but where..ngoja nizi copy nami niwe nawatisha wanyonge wangu (shenanigans) kwa haya ma bombastic..lol
 
Huwezi ukamwita kwa kumkashifu kiongozi wa chama chako kwa jina ambalo sio sahihi kama ulivyomuita nakunukuu Zitto Zuberi Kabwe Matunguri

KWANI SASA NI UONGO YA KWABA ZITTO ANAAMIN NGUVU ZA GIZA??
si anasema kaaga kwao??
au wewe ni mgeni hapa jukwaani
 
KWANI SASA NI UONGO YA KWABA ZITTO ANAAMIN NGUVU ZA GIZA??
si anasema kaaga kwao??
au wewe ni mgeni hapa jukwaani
Umejitetea sana usirudie tena kumwita mwenzio Matunguri kumbuka huyo ni mwanachama mwenzio na kiongozi wako katika Chadema acha kupotoka kijana mtakuja juta cku mkimpoteza zitto
 
Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015

275673_100000321189166_1444157301_q.jpg
Zitto Kabwe

¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake¨

​

Coongrats Zitto

Ndugu Zito unaelewa kama nielewavyo mie Hakutokuwa na katiba mpya ,watu wenye kulifanyia mazingaumbwe taifa hili tayari wamesha tayarisha nini kitokee ili hilo lisiwe ,wakati utatueleza zaidi
 
Ujanja mwingi faida yake ndio hiyo anajikashifu mwenyewe kwa roho yake ya kichawi akiwa kijana akizeeka atakuwa kiongozi wa vigagula Tanzania
 
Umejitetea sana usirudie tena kumwita mwenzio Matunguri kumbuka huyo ni mwanachama mwenzio na kiongozi wako katika Chadema acha kupotoka kijana mtakuja juta cku mkimpoteza zitto
apotezwe na nani kajipoteza mwenyewe long time, kale ndizi za kwenu acha kuwa chini ya viatu vya wanaume wenzio
 
Back
Top Bottom