Akitoa ufafanuzi
kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa
amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015
Zitto
Kabwe
¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala
la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA
kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka
kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka
mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea
suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya
kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato
wake¨
Coongrats
Zitto