macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,227
- 60,311
Haki ya mama watanzania tuna vichwa tofauti na binadamu wengine. Zee zima above 30 years mnasema ndio linaanza kukomaa???. Sina hamu!
swali lako linajibiwa na title yangu...'Kamanda Kazi'. jeshini hatuna itikadi za vyama vya siasa ingawa tu wapenzi wa vyama vya siasa. wakati wa chaguzi kwani wananchi huwa wanakwenda kupiga kura na kadi zao za vyama vya siasa au na shahada ya kupigia kura? think big mr. ila usiwe shabiki wa viongozi wa vyama vya siasa bila kuwa analytical...tunawaelewa wala amuwezi kutubabaisha.wewe kwa hayo unayoyasema ni ccm damu,kama kweli wewe ni mwana chadema niambie kadi yako ni namba ngapi na umeikatia wapi?na watu kama nyinyi ndio mnaandika majina ya uongo
Slaa tosha kweli maana hata zama zake zimepita kama enzi zile za zama za mawe sasa ni mwendo wa Digitally kweli mzee Slaa ametosha na sasa apumzike alelee wajukuu wakeBora akae kimya aache unafiki,Slaa tosha.
Kusema hataongelea suala hili si kufunga mjadala.
To the contrary.
Ni kuchochea mjadala.
Kama asingetaka mjadala asingeuanzisha in the first place.
Is this how he envisioned handling the presidency? By inconsistent diction?
Hardly presidential.
wewe sio mwana chadema ila unajifanya mwana chadema kumlaumuZeto kwa kutaka kutuchanganya sisi wana chadema. sisi wana chadema kabwe zito anatufaa na aliyosema ndio msimamo wa wana chadema wote. kinyume cha hayo ni uccm
Haki ya mama watanzania tuna vichwa tofauti na binadamu wengine. Zee zima above 30 years mnasema ndio linaanza kukomaa???. Sina hamu!
unahabari kwamba Nd. mchemba anasema chadema ndio wanaopanga mauaji ya yanayofanyika kwenye maadamano yao na bado wana mipango ya kuuwa watu na ushahidi anao.uoni kama hili ni zito sana kuliko hilo la kabwe zito? unasemaje kwahiloswali lako linajibiwa na title yangu...'Kamanda Kazi'. jeshini hatuna itikadi za vyama vya siasa ingawa tu wapenzi wa vyama vya siasa. wakati wa chaguzi kwani wananchi huwa wanakwenda kupiga kura na kadi zao za vyama vya siasa au na shahada ya kupigia kura? think big mr. ila usiwe shabiki wa viongozi wa vyama vya siasa bila kuwa analytical...
swali lako linajibiwa na title yangu...'Kamanda Kazi'. jeshini hatuna itikadi za vyama vya siasa ingawa tu wapenzi wa vyama vya siasa. wakati wa chaguzi kwani wananchi huwa wanakwenda kupiga kura na kadi zao za vyama vya siasa au na shahada ya kupigia kura? think big mr. ila usiwe shabiki wa viongozi wa vyama vya siasa bila kuwa analytical...
wanachadema sisi tunaona anafaa,linalokupasa wewe kufanya ni kujitahidi kutafuta mtu bora kutoka ccm alafu uamuzi uwe kweye kupiga karaSlaa tosha kweli maana hata zama zake zimepita kama enzi zile za zama za mawe sasa ni mwendo wa Digitally kweli mzee Slaa ametosha na sasa apumzike alelee wajukuu wake
Sarcastic?......
Calling by 2am in the midnight and still asking are you sleeping?.......no am just picking beans ...hahaha.Huo ni mjadala tayari.It betrays your statement!
Again,is this not sarcastic?
Does my complexion cloud the colour of my character?
Does my location limit the lengths of my liberty?
Does the spirit of my conviction shackle my soul
Does my mien maim the mine of my mind
Asante sana mkuu lakini lazima tuwaeleze maana wanajifanya wanachadema,na kwa nini watupangie list yetu,sisi tunayo list yetu ya ushindi, na wao wapange list yao ya ccmMkuu usibishane na TUNTEMEKE koz kaja kivingine baada ya kula ban.
unahabari kwamba Nd. mchemba anasema chadema ndio wanaopanga mauaji ya yanayofanyika kwenye maadamano yao na bado wana mipango ya kuuwa watu na ushahidi anao.uoni kama hili ni zito sana kuliko hilo la kabwe zito? unasemaje kwahilo
[/SIZE]
Asante sana mkuu lakini lazima tuwaeleze maana wanajifanya wanachadema,na kwa nini watupangie list yetu,sisi tunayo list yetu ya ushindi, na wao wapange list yao ya ccmMkuu usibishane na TUNTEMEKE koz kaja kivingine baada ya kula ban.