Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

Zitto afunga mjadala kuhusu yeye kugombea urais

mwaka upo salama kabisa tena unamakubwa sana huu mwaka.Muda si mrefu watanzania watashuhudia maajuabu kwa kile wanachokitegemea kuwa ni salama kumbe kijiwe cha machinjio

Kaka sijui Dada maana jina hili kikwetu lina maana nyingine kabisa siwezi taja hapa, unasema hivyo kwa faida ya nani?
 
Wakati mwingine huwa naona kama vile watanzania tumefika mahali tunaona kuwa raisi wa nchi hii ni kama kuwa kiongozi wa kikundi cha ngoma! Zitto!! kwangu bila unafiki,sio kwa sababu anaonekana kuwa pandikizi la ccm la hasha,naona si mtu sahihi kuwa raisi wa nchi hii!! 2015 sio mahali pa kurudia makosa tunahitaji mtu makini!
 
Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015

275673_100000321189166_1444157301_q.jpg
Zitto Kabwe

¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake¨

Coongrats Zitto
huyu jamaa ni kichwa saana tu.
 
Kwa kauli hii ina maana ameamua kusubiri Katiba Mpya kama Itamruhusu. Kwa mantiki hiyo, msimamo wake ni "ATAGOMBEA" only if katiba mpya itamruhusu na kama Chamani hawatamwekea zengwe...

Ila ni vyema kama ameamua kutolizungumzia hili suala, na nguvu kubwa ielekezwe kwenye ujenzi wa Chama.
 
Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015

275673_100000321189166_1444157301_q.jpg
Zitto Kabwe

¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake¨

Coongrats Zitto

Ni vema utangaze kugombea Urais kwa ticket ya magamba kwani huko ndiko moyo wako uliko. Mfano mzuri kwenye shughuri za ujenzi wa chama hauonekani. Majority ya wanaokusupport wewe katika suala la kugombea urais kwa ticket ya CDM ni magamba na mapandikizi ya magamba ndani ya CDM, na wanalipwa Lumumba kwa kazi hiyo, hilo liko wazi kabisa. Ila hawatafanikiwa kwani Dr wa ukweli (Slaa) ndio chaguo la mungu kwa nafasi ya urais TZ 2015
 
"OMBENI NANYI MTAPEWA,BISHENI NANYI MTAFUNGULIWA"ila maneno haya yafanyike kwa utaratibu.
 
huyu jamaa ni kichwa saana tu.

sijaelewa hapa mkuu uliteleza kuandika au ndivyo unavofikiria?
 
Akitoa ufafanuzi kwenye page yake ya FB muda mfupi uliopiita Zitto ameweka wazi sasa amefunga mjadala kuhusu kugombea urais 2015

275673_100000321189166_1444157301_q.jpg
Zitto Kabwe

¨Ngoja niweke wazi kabisa. Ninaulizwa sana kuhusu suala la Urais 2015 baada ya kauli za wanachama waandamizi wa CHADEMA kunukuliwa kuzungumzia suala hilo. Jibu langu kwa wote wenye kutaka kusikia kauli yangu ni kwamba 'katika moja ya maazimio yangu ya mwaka mpya 2013 ni kutoongelea kabisa suala la Urais 2015. Hivyo sitaongelea suala hili. Sitasema kitu kuhusu suala hili mpaka baada ya Katiba mpya kupatikana na chama changu kuweka utaratibu na mchakato wake¨

Coongrats Zitto

Huyu jamaa hajawahi kusema au kutaja 'Chama Chake' ni chama gani !!!!
Anapata kugugumizi kutaja Chadema ?? Anaogopa kutaja Chadema ??
Kila akitoa matamko anaishia kusema " .... Chama Changu ...."
Chama gani ????
 
Huyu ZK haaminiki kabisa sasa hivi ndani na nje ya chama..!!Naona Kama vile anajipanga upya baada ya kuumbuana!!.Lakini yote heri!.Sisi tunachotaka taswira nzuri ya chama ionekane kwa wananchi.
 
ndo maana ukiangalia kwa undani , ZZK ni mkweli na anayekubalika kwa matendo na kauli zake za kisiasa. kwa kuthibitisha hilo, hakuna alilobadili ktk maamuzi yake ya kugombea urais, kwani hajakanusha bali ameendelea kutoa somo, la haki yake ya msngi ya kujieleza. amepingwa saana na wale wote ambao ni wachoyo wa fursa za watu kujieleza. mwisho anafafanua jamani hamuoni kuwa katiba ya sasa hainuruhusu kugombea nafasi hiyo, jamani mnanisakama kwani chama kimetoa taratibu za kumpata mgombea ? akamaliza maswali yenu yooote yangoje KATIBA MPYA, na UTARATIBU wa chama changu. sasa hiyo ni fursa yenu nyooote wenye miba mwekeeeeni njiani.
 
hajasema atagombea au lah. Kufunga Mjadala manake nini?
 
Back
Top Bottom