Hiyo ni noma makundi ya kigaidi yanazipenda sanaAK 74 M Assault Russian RiffleView attachment 2715143
Kama hii inatumika sana kwenye mass shooting USA.
Unamaanisha kina adriz ama magaidi wastaarabu waisraeli?Hiyo ni noma makundi ya kigaidi yanazipenda sana
Waarabu hata Al Shabaab wanazipenda sanaUnamaanisha kina adriz ama magaidi wastaarabu waisraeli?
sawa mkuu, hivi hizi mtu wa kawaida unaruhusiwa kumiliki?ngoja tumsubili mpishi aingie chimbo afanye editing kweny kila siraha
Jina
imetengenezwa wap
inapiga umbali gani
na matumizi yake
akishindwa tuingie chimbo kusaka details hasa hasa sniper's rifles
ungezitolea maelezo kama n mtaalam wa silahaMajina hayo juu
kwa marekani?Kwa Bongo hawakupi,zipo Civilian Defense Guns
Hatari kubwa hii