CHIONDA ANASEMA HIVI(NANUKUU)

CHIONDA ANASEMA HIVI(NANUKUU)

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,879
Reaction score
5,164
CHIONDA ANASEMA HIVI(NANUKUU)👇
Naamini Mungu yupo kwasababu hakuna kilichopo bila ya kuwa na chanzo chake. ila siamini kwenye hizi dini (Ukristo na Uislamu) maana hizi ni biashara za watu weupe. (Mzungu na Mwarabu)

Duniani kila mtu anajua Mzungu hampendi mtu mweusi iweje mzungu huyo huyo aje kukuonesha Muafrika njia ya kwenda peponi!

kama kweli kungekuwa na maisha ya pepo na Moto baada ya kufa naawambieni mzungu asingeileta dini Afrika. mzungu asingekubali peponi akae pamoja na watu weusi,

kama kweli kuna maisha ya pepo na moto baada ya kufa mbona wazungu walituletea dini kwa njia Dhuruma na mateso na kuwafanya waafrika wengi kuwa watumwa huko nchi za Ulaya kwaiyo Mzungu yeye hapendi kwenda peponi!

Mzungu kaleta dini Afrika kwa lengo la kututia hofu tuwe watumwa wa fikra ili atutawale kwa urahisi na amefanikiwa kwa hili (mwisho wa kunukuu)

binafi nakubaliana na chionda kwa 100%

WAFIA DINI RUKSA KUNITUKANA
FB_IMG_17938752987252907.jpg
 
Dini ni kitu cha thamani kwa mwanadamu kuwahi kutokea , chionda na watu mfano wake bado wana maarifa duni
 
Back
Top Bottom