zipo rifle ambazo mtu binafsi au private military company (PMC) kwetu ni hizi zinajiusisha na ulinzi zinaruhusiwa mtu binafsi kumiliki labda kwa uwindaji nk au kampuni hizi za ulinzisawa mkuu, hivi hizi mtu wa kawaida unaruhusiwa kumiliki?
Hapo mziki ukianza, mtutu unapata moto hata kuyeyukaKwanini?
shukrani kwa ufafanuzi mkuuzipo rifle ambazo mtu binafsi au private military company (PMC) kwetu ni hizi zinajiusisha na ulinzi zinaruhusiwa mtu binafsi kumiliki labda kwa uwindaji nk au kampuni hizi za ulinzi
but nyingi hapo ni za vita sheria hairuhusu kabisa na izi nyingi ni za Western huku tunazo nyingi from Russia na China
pamoja mkuu ngoja tumsubili mwamba atupe maelezo ya kila weapon apo juushukrani kwa ufafanuzi mkuu
Tulianzishe porini maana maneno ya haki kwa maandamano hawataki mbibi kapagawa
Unaonekana kuwa na uelewa wa haya mambo. Tafadhali naaomba nijue yafuatayo:zipo rifle ambazo mtu binafsi au private military company (PMC) kwetu ni hizi zinajiusisha na ulinzi zinaruhusiwa mtu binafsi kumiliki labda kwa uwindaji nk au kampuni hizi za ulinzi
but nyingi hapo ni za vita sheria hairuhusu kabisa na izi nyingi ni za Western huku tunazo nyingi from Russia na China
jamaa kazingua kuupika uzi uive
Hiyo ni noma makundi ya kigaidi yanazipenda sana

yule mrusi alitisha apoUnaonekana kuwa na uelewa wa haya mambo. Tafadhali naaomba nijue yafuatayo:
1. Bastola inayokaa na risasi nyingi zaidi. Inauzwa bei gani.
2. Bunduki ya kiulinzi (siyo za kuwindia) ya kima cha juu ambayo mtu binafsi anaruhusiwa kuimiliki na inauzwa bei gani.
Ninatanguliza shukrani.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Unaonekana kuwa na uelewa wa haya mambo. Tafadhali naaomba nijue yafuatayo:
1. Bastola inayokaa na risasi nyingi zaidi. Inauzwa bei gani.
2. Bunduki ya kiulinzi (siyo za kuwindia) ya kima cha juu ambayo mtu binafsi anaruhusiwa kuimiliki na inauzwa bei gani.
Ninatanguliza shukrani.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
SawaView attachment 2715181
mkuu taratibu za umliki wa siraha ni wa ki police zaidi mm nipo mlengo mwingine
Unafahamu bei yake mkuu?Kel-tecp50 hio inakaa na bullet 50
M4 carbine chuma sana hii wanatumia NAVY na marines. Oya hii chuma nyoko.