Inatumia 7.8 mm risasi hii..ATI Acranes 300 Black outView attachment 2715101
Nadhani hii na revolver ndio bastola maarufu kuwahi tokea. Nadhani.
Nimeitumia sana kwenye PUGB
GlockBlock G19 Gen 2View attachment 2715216
Weka na za kwetu kuwa mzalendo, zile za Made in TanzaniaHizi ni baadhi ya manati za mzunguView attachment 2715080
Majina huweki,Ina maana gani!?..Hizi ni baadhi ya manati za mzunguView attachment 2715080
Wahi sabato wewe hii dunia ya sasa haina mambo kama hayo. Hicho kitu kina asilimia chache sana kuwezekanaInasikitisha sana kuona kuwa hizo zote zinatengenezwa kwa ajili ya KUUA BINADAMU;
It is Soo sad jamani, sijui Mungu anatuonaje
I wish watu wange wekeza kwenye amani na kusaidia masikini kwani wangekuwa wamejiwekea akiba mbinguni kwenye makao ya milele kuliko kujiwekea akiba hapa Duniani kwenye makao ya muda....
Hiyo ni noma makundi ya kigaidi yanazipenda sana


