Zifahamu Bunduki aina mbalimbali

Zifahamu Bunduki aina mbalimbali

Lisensable Machine Gun
images - 2023-08-12T095042.521.jpg
 
Hakuna mnyama/ kiumbe wa hatari aliewahi kutokea duniani kama BINADAMU kwanzia
Magereza
Mabomu
Nuclear
Pistol
Machine Gun
Ndege za kivita
Sheria za kunyongwa mpaka kufa
Dini
Vitisho vya kiama

Vyote hivi na mengine mengi viliwekwa ili kumControl huyu kiumbe anaitwa binadamu lakini bado amekua na akili nyingi za kuendelea kuhatarisha dunia
 
Inasikitisha sana kuona kuwa hizo zote zinatengenezwa kwa ajili ya KUUA BINADAMU;
It is Soo sad jamani, sijui Mungu anatuonaje
I wish watu wange wekeza kwenye amani na kusaidia masikini kwani wangekuwa wamejiwekea akiba mbinguni kwenye makao ya milele kuliko kujiwekea akiba hapa Duniani kwenye makao ya muda....
 
Back
Top Bottom