Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
yah man ndio mwenyewe.......niPM kwa maelezo zaidiYOYO nakuhisi kama nakujua...... is it u E???
yah man ndio mwenyewe.......niPM kwa maelezo zaidiYOYO nakuhisi kama nakujua...... is it u E???
hawa ze utamu mtandao wao ni upi mboni sijaiona ?
Mkuu hii habari si kweli yamezungumzwa mengi huko nyuma lakini aliye chafuka zaidi ni Mkuu wa Kaya sio wewe na wamekaa na kuyamaliza nyie endeleeni kusubili huruma tu.
Mkuu hii habari si kweli yamezungumzwa mengi huko nyuma lakini aliye chafuka zaidi ni Mkuu wa Kaya sio wewe na wamekaa na kuyamaliza nyie endeleeni kusubili huruma tu.
Mkuu sijakuelewa, nieleweshe vizuri...najua mkuu wa kaya ndo amesaidia neema ya kubomollewa kwa wale was**** kwahiyo wamemalizana vipi?
Fixman,
KWanza unataka kujua na unauliza swali humu JF. Kabla hujajibiwa umeshaanza kukandia JF. Kama ukiandika PUMBA, basi zitafutwa. Nenda kwa Michuzi, huko watoto wa MUJINI wengi wanaingia na watakuhabarisha. JF imeandikwa juu kabisa kuwa THE HOME OF GREAT THINKERS, sasa jiulize kama na wewe uko ndani ya kundi hilo na kama humo basi uwe unauliza na kusuiri kupewa majibu na siyo kuanza kulalama kuwa POST zinafutwa. Unaweza kukuta hata hazijafutwa ila zimechanganywa na nyingine maana ukituma kitu ambacho tayari kimeshatumwa zamani, kinaendwa kuchanganywa na wenzake huko.........
Ulishasikia huyo kijana ni nani. Ilishasemwa jinsi KATIBA/SHERIA zetu za Tanzania hazizungumzii chochote juu ya hilo. Sasa unategemea watamfanya nini hata akikamatwa? Ungeliandika kuuliza kama BUNGE letu limejadili juu ya kuweka sheria kwenye mambo ya MITANDAO, hapo ungelionekana kweli umepiga hatua moja mbele kama JF member.
Tuwe tunaangalia umbali mrefu kidogo na tusiishie MWISHO WA PUA.
Hii kesi, kesi ya KAGODA, Deepgreen, Meremeta...... kama una akili zako lazima ujuwe kuwa HAZITAISHA katika serikali ya CCM.
Ze utamu ndiyo kabisaaaa, zitaishia wazee kukutana na kupata KINWAYAJI...
habari hii naona haipendwi kuzungumziwa humu ndani! sijui kwa nini!tehehehehe
Kwanini hawapendezewi kulizungumzia ?binafsi nashindwa kuelewa nini kimetoa niliwahi kusikia tu kuwa kuna watu walimkashifu Kiongozi wetu, nilipo uliza sikuweza kupewa majibu nikambiwa hayo mambo hata hayafai kusimuliwa ,ni kauliza ni mambo gani yasiyo faa kusimuliwa nikambiwa wameweka picha chafu za Rais ,mimi nikapigwa na butwaa nikajiuliza ilikuwaje nikasema kama ni hivyo basi kwanza iangaliwe hao watu walifikaje hata kuweza kuchukuwa picha Kiongozi wa juu kama Rais walinzi walikuwa wapi ?au ndio mafisadi wamefanya ufisadi wao kwa kumtegea kamera kama walivyofanyiwa kina slaa na wenziwe kuwekewa kitega sauti ?ni hatari tunakwenda wapi .
ahhahahahhahahh
wabongo noma sana baada ya kujifunza ya maana huko ulaya waliko wanajifunza upuuzi, sasa fikiria kaishi UK na kufanya upuuzi kama huo kweli wabongo noma , anastahili kufunzwa maana hakufunzwa na mama yake labda sasa atafunzwa na Sheria.
kila la kheri na mnaoishi nje someni ya kuisaidia nchi yenu sio kufanya yasomaana ni aibu .
Waambie Invisible a.k.a. kajumulo hahahahahh
Hii topic ndiyo iliyoku-impress wewe ku join JF????....Maana kuingi an kuingia umeend akuisaka hii topic ambayo last been contributed ni July na watu wameshasahau.......You got issues!......
and welcome jamvini!...
Na acha kutumia majina ya watu kama utani!...Invisible siyo Kajumulo....