Kanye West akwama kuachia Albamu mpya baada ya kukosa Msambazaji

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1697540204329.png


Kwa mujibu wa Jarida la #Billboard, Mastaa hao walipanga kuachia albamu yao Oktoba 13, 2023, albamu ambayo inaripotiwa kuwa na ngoma za Raa huyo za takriban miaka 5 lakini Wasambazaji wengi wamekuwa wakiikwepa kutokana na kuali tata za YE.

Albamu ya mwisho kutoka kwa Kanye West ni DONDA 2 iliyotoka Februari 23, 2022 kwa utaratibu wa kuuzwa kupitia kifaa cha Muziki cha 'Stem Player' ambapo alidai ndani ya saa 24 alifanikiwa kuuza nakala 39,000 na kuingiza zaidi ya Tsh. Bilioni 5.57.

Mwaka 2022, Universal Music Group ilitangaza kuwa 'Label' ya Def Jam ilimalizana na Kanye West pamoja na Label yake ya GOOD Music tangu mwaka 2021 ikiwa ni baada ya kutoa jumla ya Albamu 10 chini ya UMG.

=============

An upcoming joint album from Kanye West and Ty Dolla $ign has reportedly suffered from some delays as the two seek for a distribution partner.

Sources tell Billboard that the two are currently considering five different options and that Ye “will make a decision soon.” The record was supposedly meant to drop last Friday, October 13, but is now projected to release in the coming weeks. An official or exact release date was not confirmed, however.

The record is reportedly some of West’s best music in the past five years, but industry executives have allegedly passed on distributing the album due to the artist’s antisemitic comments. Although the lyrics are not controversial, many have decided to play it safe due to the heightened tensions between Israel and the Hamas.

In 2022, Universal Music Group announced that Def Jam was no longer working with West nor his GOOD Music label after he released 10 albums under the label. “Def Jam’s relationship with Ye as a recording artist, Def Jam’s partnership with the GOOD Music label venture and Ye’s merchandise agreement with Bravado all ended in 2021,” a representative for Universal Music Group said.

Stay tuned for more info on the album.

HYPERBEAST/BILLBOARD
 
Back
Top Bottom