Ze Utamu blogger under arrest?

Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
Chanzo ni website ifuatayo: (Swahili Time: Ze Utamu Blogger Adakwa)

Polisi wa Tanzania kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa (Interpol),wamefanikiwa kumshika Raia mmoja wa Uingereza ambaye ana asili ya Tanzania Ndg Malecela Peter Lusinde (pichani) mwenye umri wa miaka 39 na kutuhumiwa kwa kuundesha mtandao wa Ze Utamu.Ndugu Malecela ambaye anajulikana pia kwa jina la "Male" ni Mtaalamu wa kompyuta na ana uwezo wa kuzungumza na kuandika Kiingereza,kiswahili na kichina ana makazi katika mji wa Essex nchini Uingereza.

Wataalamu wa Idara ya upelelezi kutoka Tanzania wakishirikiana na wenzao wa Uingereza wamefanikiwa kuonana na Ndg Male na kupata ushahidi wa kutosha kwamba ndiye alikuwa mmiliki wa Mtandao huo.Idara ya Upelelezi na polisi wa Uingereza wameutaarifu Ubalozi wa Tanzania mjini London kuhusu suala hilo.Maofisa Ubalozi Mr.Clement Kiondo na Amos Msanjila wamefahamishwa jambo hilo.Malecela ni Mtoto wa Mzee Job Lusinde ambaye amewahi kufanya kazi kwenye nyadhifa mbalimbali za utumishi wa serikali Nchini Tanzania.

Habari zilizothibitishwa zinadai kuwa Ndg Malecela amerudishwa Tanzania kwenda kujibu tuhuma mbalimbali za kuendesha mtandao uliokuwa unadhalilisha watu,kuna malalamiko 6850 yaliyoandikishwa kulaumu udhalilishwaji wa watu uliofanywa na mtandao huo,Mtandao huo ulisimamishwa mwanzoni mwa mwezi wa pili kwa maombi ya serikali ya Tanzania baada ya kutoa picha ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete,ufuatiliaji uliofanywa baada ya picha hiyo ndio umepelekea kukamatwa kwa Ndg Malecela.

Haijaeleweka wazi Ndg Malecela atashitakiwa kwa sheria gani? Lakini ni wazi kwamba atashitakiwa Nchini Tanzania.Licha ya Ndg. Malecela Polisi wa Upelelezi wamezungumza na Watanzania wengine wawili katika miji ya Wichita na San Diego Nchini Marekani,ambao pia wanahusishwa na Mtandao huo wa Ze Utamu.
 
Mie nafikiri kama jamaa alifanya hivyo kweli , ni kosa.
Lakini kwa uzito wa makosa yeye ni cha mtoto tu ukilinganisha na makosa makubwa ya kuifisadi nchi ya kina Rostam Aziz, Mkulo n.k , naamini serikali ingetumia nguvu hiyo kubwa kuwaandama mafisadi hali ingekuwa shwari kidogo.
Tuwe wakweli tu yule bwana mtandao wake na mtandao wa mafisadi ni kipi ni hatari zaidi kwa taifa!??
 
thanks mag3

is utamu the biggest ever crime commited by a tanzanian?

watu wa JF kwa double standards wanashabikia zeutamu kukamatwa na wakati watu wana loot nchi yetu wanatembea huru, ingekuwa hivyo wakina-obama, bush si wangekamata watu wengi sana.....

wangeshirikiana na interpool kuhakikisha hela zilizokuwa duabi, jerzey na kwinginepo zinarudi TZ ingekuwa ni jambo la maana kulikoni zeutamu

zeutamu ulikuwa ni mtambo wa tabia na watu wengi waliokuwa mule wali deserve kuwa mule

hasara ya zeutamu kwa TZ nini????

kumbuka walianza na mwanahalisi, siku hizi ukiwaandama wanakuuliza kwa nini wasikufungie uliza ITV

mkishabikia zeutamu kukamatwa, baadae mjiandae kushabikia website zingine maana yake hawataishia hapo tu
baada ya zeutamu who is next????

zeutamu ujue sio kila mtu anakuchukia na ningekuwa na uwezo ningekukingia kifua........

Zeutamu is not a big deal kweli kuna vitu vya muhimu ambavyo inatakiwa kufuatiliwa. Jamaa waliwekwa kule though wengine hawakutakiwa kuwekwa lakini wengi wao wanadeserve kuwekwa. Kwani japo ni maisha ya mtu binafsi lakini lazimayawe ya heshima siyo ujinga ule. PIGA CHINI MAMBO YA ZEUTAMU TWENDE KWENYE ISSUE ZA MUHIMU
 
Khaa! Mbona mlisema 'mtoto wa mkubwa'? Mimi mbona huyo Lusinde ndio namsikia kwa mara ya kwanza? Ni mkubwa wa wapi?

Tatizo umri wako mdogo, muulize Baba Desi atakueleza huyo Lusinde ni nani. Wewe huoni kuna majina mawili makubwa hapo- Malecela + Lusinde?
 
thanks mag3

is utamu the biggest ever crime commited by a tanzanian?

watu wa JF kwa double standards wanashabikia zeutamu kukamatwa na wakati watu wana loot nchi yetu wanatembea huru, ingekuwa hivyo wakina-obama, bush si wangekamata watu wengi sana.....

wangeshirikiana na interpool kuhakikisha hela zilizokuwa duabi, jerzey na kwinginepo zinarudi TZ ingekuwa ni jambo la maana kulikoni zeutamu


zeutamu ulikuwa ni mtambo wa tabia na watu wengi waliokuwa mule wali deserve kuwa mule

hasara ya zeutamu kwa TZ nini????

kumbuka walianza na mwanahalisi, siku hizi ukiwaandama wanakuuliza kwa nini wasikufungie uliza ITV

mkishabikia zeutamu kukamatwa, baadae mjiandae kushabikia website zingine maana yake hawataishia hapo tu
baada ya zeutamu who is next????

zeutamu ujue sio kila mtu anakuchukia na ningekuwa na uwezo ningekukingia kifua........

Your argument is weak.Two wrongs do not make a right. We do not want British citizens (of Tanzanian origin or not) to fling unchecked and rampant numerous unfounded character assasination on Tanzanians.

Does the Tanzanian government project a sense of misguided priority in pursuing this rather than EPA, of course yes.But it is also possible that this was a quick slam dunk because this guy left his tracks left right and centre, IT consultant indeed! So you cannot blame the government for shutting down this ignoramus trying to pass for a Tanzanian version of the Taliban. What saddens me is that it took gross andpornographic caricaturing of the president himself for this to happen.

My concern is our internet laws are practically non existent, and our jurisdiction may be limited because this presumably happenned over British web servers (?) by a British subject.So if the guy gets a good attorney, and the government does not use extrajudicial means (if it does not Ghailani him under some autocratic anti-terrorism preventive-detention like draconianism)
The guy may walk scot free.And then let's not forget the not so small matter of familial connections, a big factor in bongo.

Let's just see.

A lesson to all you internet thugs and cyberbullies out there, the watcher is watching.
 
Invisible,

Familia yake haina "hiari" ya kukubali iwapo mtoto wao ashtakiwe au asishtakiwe. Kumkashifu KIONGOZI wa NCHI ni kuikashifu NCHI yenyewe! Alivuka mipaka, he knew the risks and consequences. After all, NOBODY is above the law, even the President!

./Mwana wa Haki

kwa nchi ipi?????????????????????????????

a lot of people are above the law in TZ let alone the president
 
... and we're cyclically watching the watchers too!!

Pleease,

You are not even class monitor, let alone internrt thug/ cyberbully.

Well behaved contrarians (if there is such a thing) need not be concerned.
 
Tatizo umri wako mdogo, muulize Baba Desi atakueleza huyo Lusinde ni nani. Wewe huoni kuna majina mawili makubwa hapo- Malecela + Lusinde?

Mh, jibu safi sana hilo! jamaa anajua wakubwa ni kina Shukuru Kawambwa tuuu!!...anatakiwa arudi kwenye historia ya nchi yetu aone vizuri hilo jina limekaaje.
 
Mimi huwa na pita pita humu kupata habari nyeti lakini si mchangia mada. Lakini sijapendezewa na huu mtindo wa kuto taja majina especially kwa watu kama Zeutamu walio umiza watu wengi kwa kutumia mtandao vibaya. SASA MIMI NINAWEKA JINA LAKE HAPA KUMALIZA MZIZI WA FITINA. JAMAA ALIYEKAMATWA NI:

MALE LUSINDE YES I SAID IT!!!!!!!!!!!!!

next time lets just do what we do yaani "where we dare to talk Openly"
si ameshatajwa hapo juu au??
 
Hii story inaonekana imevuta hisia z. watu. mbona mkizungumzia KAGODA watu hawajitokezi hivi? na hii bado ni tetesi? agika, Babuyao, Bint, BINTI SAYUNI, Bluray, canaan, Chakaza, Chamchana, Chief, COMRADE44, Congo, dash, Dina, Edson, Gamaha, Game Theory, Hofstede, Ibrah, Idimi, Invincible, Iteitei Lya Kitee, John74e, josm, Kaizer, kapuchi, katabazi, kicheruka, Kifimbocheza, kiparadar, locust60, Magehema, MAKALA, masaiti, Maxence Melo, Mbongo, MegaPyne, Mfunyukuzi, mihengeli, Mndamba, Mndundu, Mtanganyika, Mtanzania, Mugerezi, Mugo"The Great", Muoldmoshi, Mwanajamii, Mzizi wa Mbuyu, Nesindiso Sir, nyati, REOLASTON, semilong, Sikonge, stanluva, sumji, Wakuja, watu, Who Cares?, ZeMarcopolo and 125 guests
 
hahaha jamani huu ni uzushi mtupu jamaa yupo UK wala hajaja bongo na wala hajakamatwa yupo anaendelea na shughuli zake kama kawaida hata mwenyewe anashangaa
 
inamaana hapa TZ kosa ni mpaka umguse presidaa au kiongozi yeyote mkuu, kwanini hawakumtrace wakati ule raia wakawaida wanadhalilishwa, na complain zilikuwepo zaidi ya 6000 hivi.
 
Your argument is weak.Two wrongs do not make a right. We do not want British citizens (of Tanzanian origin or not) to fling unchecked and rampant numerous unfounded character assasination on Tanzanians.
1. even the radar mastermind is a tanzanian with british citizenship. before making any noise about citizenship go clean the house of parliament first (check if everyone is a tanzanian).
2. I am worrying about the real assasination (looted billions) and not character assasination. I am not loosing any sleep over character assasination.
 
1. even the radar mastermind is a tanzanian with british citizenship. before making any noise citizenship go clean the house of parliament first (check if everyone is a tanzanian).

Then tell the government to get him too, but you cannot advocate a small culprit to be left because the bigger one is on the loose.

2. I am worrying about the real assasination (looted billions) and not character assasination. I am not loosing any sleep over character assasination.

This is not about what you are worried about, rather about the dispensation of justice on behalf of all the slandered.I bet if your image was photoshopped and bared for all to see on the net you would be talking differently.

Let's not let our anger at ufisadi cloud our judgement and rationality.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom