- Heshima kwa wakuu wote JF,in another few hours nitatoa tamko langu binafsi na rasmi on this ishu. For the last Four days nimekua na majadiliano mazito sana between forces close tothis ishu, na hasa founder wa JF Mkulu Max, ninaamini leo ni wakati muafaka nikasema something, nitarudi soon.
Ahsanteni.
William - Community Organizer (CO)
Aliwaweka UTAMU hata kina NAFUE NYANGE MALECELA......mna roho ngumu.
Masha, Rostam, Ray watamla nyma kudadadeki walahiiii Malecela Lusinde...
Jamani mbona mwanakijiji hajaonekana toka habari hi ya ze utamu ianze kusambaa kuna nini kinachoendelea nyuma ya pazia
tusiwe na haraka kwanza ngoja tusubiri kauli ya nduguye ndio itakayotupa mwanga juu ya jambo hili.
Tumngoje William hapa aje atoe ufafanuzi na uelewa....Kwa sababu kifamilia watakuwa wanafahamu issue hii,kwa sababu hawa watu ni brothers.
wait a minute, William (ndugu wa Male) atakuja kutoa tamko.
Warioba alisema rais is more than a person, ni symbol ya taifa kama bendera na currency.Kwa hiyo wanaweza ku invoke some bureaucratic statism kama hiyo kujustify hii kama attack on the reputation of a nation, not merely the person of the president.
Si unajua muendesha mashitaka akitaka sifa kosa moja linanyumbulishwa kuwa na mashtaka 60.
Tuamke ndugu zangu, tufunguke macho, huwezi kusema tumsubiri mtoto wa Malecela atueleze ukweli/ atoe tamko kuhusu shutuma za mtoto wa mdogo wake.
Isitoshe William ana profile hapa, ana rekodi ndefu ya kufinyanga ukweli, unless umejiunga JF jana usiku, na hujui William ni nani na integrity yake ikoje.
Unadhani William anaweza kusema kitu ku hurt his family kuwafaidisha nyinyi Nziku na Kicheche na Mwawado na Uwiano, some strange members wa Jamiiforums? William anatujali sisi anatujua? Analipwa na JF?
Ndio maana nasema, hii habari hapo juu kwamba ni Malecela Lusinde, imetoka wapi?
Mtoto wa kaka yake ex-Waziri Mkuu Malecela, yaani ex-balozi Job Lusinde angewawekaje Utamu watoto wa mke wa baba mdogo (Mama Kilango), yani kina Nyange, dada zake?
Hebu turudi square one. Nani kasema Utamu ni Malecela Lusinde na kakamatwa?
- Heshima kwa wakuu wote JF,in another few hours nitatoa tamko langu binafsi na rasmi on this ishu. For the last Four days nimekua na majadiliano mazito sana between forces close tothis ishu, na hasa founder wa JF Mkulu Max, ninaamini leo ni wakati muafaka nikasema something, nitarudi soon.
Ahsanteni.
William - Community Organizer (CO)
hamjui Commercial break nyie? ...haya, burudikeni na zilipendwa mkiendelea kumsubiri...;Currently Active Users Viewing This Thread: 218 (47 members and 171 guests)
Ahsante mkuu na kibao chako murua.Nimemsubiri nimechoka ngoja nikalale,labda nikiwa kwenye ndoto nitapata majibu yake....kuna watu wametega tu kusubiria tamko rasmi 😀,
hamjui Commercial break nyie? ...haya, burudikeni na zilipendwa mkiendelea kumsubiri...;
Ahhh Shy....unataka ku-steal credits za Interpol?Au mzee na wewe ni Interpol?🙂Wewe unayesema ushirikiano wa shigongo na huyu kijana fikiria jambo lifuatalo kamanda kova wiki iliyopita alienda kwa shigongo kufanya nini kama sio kukubaliana kuhusu kijana huyu au wale wote wanaohusika nae jambo lingine angalia upande wa technologia niliwahi kubandika kitu fulani kuhusu the utamu address yake ( mmoja wa watu anayetumia email ya utamu ) alituma email fulani tokea san diego hivi vyote vinaweza kutumika kama ushahidi
Tuangalie hii ishu kwa mapana zaidi.Okay,jamaa alikuwa anawindwa kwa tuhuma za ku-photshop picha ya JK (wengine wanasema yule sio JK bali ni kufanana sura tu because the picture in question was accompanied with a caption or a name).Whether alichofanya ni kosa au ni sahihi,depends na mtizamo wa mtu kuhusu freedom of speech/expression especially wapi inapoanzia na kuishia.
Tunachoelekea kukipuuza hapa ni kuwa zeutamu ilikuwa chapisho la mtandaoni kama ilivyo JF.Japo contents za sites hizi mbili ni mithili ya usiku na mchana (wa kitropiki),zote essentially ni sehemu ya ushirikishaji umma katika mtandao.Lakini la muhimu zaidi ni ukweli kwamba sites zote mbili,zeutamu na JF ni WAWINDWA.Wakati zeutamu ilikuwa inawindwa na victims wake,JF ni target muhimu ya mafisadi.
Kwahiyo wakati baadhi ya wenzetu wanafurahi kiama kilichomfikia zeutamu (which is fine kwa vile kila mtu ana uhuru wa kufurahi au kukasirika),ni muhimu tuangalie hatma ya JF in the context ya kilichoikumba zeutamu.
Ikumbukwe kuwa zeutamu became "an extremely dangerous site" ONLY WHEN ILIPOWEKA HIZO PHOTOSHOPPED PICS.Na hapo ndipo tunapaswa kutafakari.JF imeendelea kuwa mwiba mchungu kwa mafisadi day in day out,come rain come sunshine.For that matter,kama ni makosa basi la zeutamu lilikuwa moja tu (touching the untouchables) while sie hapa tunafanya hivyo kila siku.
JE TUKO SALAMA KIASI GANI? Ili kutafakari ipasavyo,ni muhimu kuchora mstari unaolinganisha na kutofautisha tovuti hizi mbili.
Teh Teh TehJamani mbona mwanakijiji hajaonekana toka habari hi ya ze utamu ianze kusambaa kuna nini kinachoendelea nyuma ya pazia
Wana JF,
Hii sio mara ya kwanza kuelezwa hapa kwamba Ze utamu kapatikana. Last time lilitajwa jina na picha ikawekwa ya kijana mmoja anaitwa Gerald Kigisi. Baadae ikaonekana habari hiyo haikuwa ya ukweli. Nitabaki kutokuamini yanayosemwa hapa mpaka iwe proved otherwise.
Halafu eti tunamsubiri William aje afanye confirmation kwamba ndugu yake ndiye ze Utamu!!! Itakuwa ajabu endapo William atajitokeza na kusema ni kweli ndugu yake ndiye alikuwa anaendesha ze utamu.
Swali la msingi la kujiuliza ni gharama kiasi imetumiwa na serikali ya Tanzania kumsaka huyu Ze utamu? Si ajabu ukaambiwa zimetumika shs. bilioni 10. Nimelazimika kusema hivi kwani nina amini serikali ya TZ haina uwezo hata kidogo wa kuweza kusimama yenyewe na kumtafuta huyu mtu. Kwa vyovyote walifanya out sourcing ya wataalamu la sivyo hiyo website ingefungiwa kwanza isionekane Tanzania wakati wakiendelea kumsaka. Nina imani siku wakawa na huo uwezo wa kuzuia website kadhaa zisiweze kufunguka ndani ya Tanzania, basi website ya kwanza kufungiwa itakuwa JF.
Tiba