Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,733
Hahhaaa kote kwetu huku ndo maana ni muungano mkuuHujalazimishwa kukaa nchi ya watu, rudi kwenu,mnajipendekeza tu. Haaaah, rekebisheni katiba
Hahhaaa kote kwetu huku ndo maana ni muungano mkuuHujalazimishwa kukaa nchi ya watu, rudi kwenu,mnajipendekeza tu. Haaaah, rekebisheni katiba
Mi niko Mwanza ndugu..na ni muumini ninaekula mbuzi mkatoliki.nimeahangaa tu kusikia hayo manenoUsipoteze muda kuwaza sehemu yenye watu milioni 1.35
Kama unaona ukiwa Zanzibar unakwazika, unakuja apa Dar es salaam Tanzania. Unakula nguruwe na bia, mwanzo mwisho akuna cha maswala ya dini, wala baba ake dini. Unakula Bata mpaka unakimbia wewe, apa tunaishi kwa katiba mwanzo mwisho.
Unajipatia protein nzuri ya nguruwe na bia yako
Mkuu haya mambo ya imani. Kuna madhehebu mnasali jumapili na waislam wanasali ijumaa mbona hawajawalazimisha na nyie msali ijumaa? Waacheni waislam wafate imani yao ya kufunga. wewe usiyefunga kula nyumbani kwako au hapa znz kuna hotel maalum zinafunguliwa mwezi mtukufu na zinakidhi idadi ya wasiofunga. nenda huko hakuna wa kukufuata huko. Pia vilevi vinauzwa kama kawaida maeneo maalumu... ccm, jeshini, kwa raju ila usitoke nje na chupa. hii ni kawaida sijawahi kuona walevi wanakaa barabarani kulewa kisa siyo mwezi mtukufu.
- Kwa nini umkataze asili hadharani?
- Kwa nini wanawachagulia (wanawapangia) Wakristo mahali pakufanya mambo yao
- Kupangiana ndio kuondoleana uhuru
Nimegundua upeo wako mdogo sana kwenye ku-analyse hoja. .Sawa mkuu Mimi boya.Uboya wangu unatokana na hiyo hoja yangu au kitu kingine? Hoja yangu ni kwa nini mfungo uwe mchana tu na sio usiku pia? Kwani kutokula kukifanyika usiku Mungu hawezi kugawa sunah? Au na yeye anakuwa amelala?
Ulijuaje sasa kuwa aliyepigwa ni mkristo?Duuu kusema kwel wakristo hawatendewi haki mi nishawahi kushuhudia maeneo ya magomeni kuna mtoto kama ana miaka 15 kwa kukisia alikuwa anakula ubuyu kipigo alichopigwa nahisi hatorudia kula hadharani
Mkuu ebu kuwa mwelewa. hujakatazwa kula mchana. Umeambiwa usile hadharani. Pika sembe yako na dagaa, kaa sebuleni kwako kula ukishiba nenda kaendelee nakazi zako. Tatizo liko wapi? Na ukibeba ugali ukaenda kukaa barabarani ukaanza kula utaonekana kichaa maana hakuna mtu anayekula chakula hadharani kama ana akil timamu. Yaani uache familia yako ukakae stendi uanze kula chakula?? Ujuwe huku unashikwa na Polisi na ndo wanaosimamia hayo maagizo na unaswekwa ndani hadi ramadhani iishe.Kwani huku kufunga ni imani ya mtu au ndio kulazimishana kutokula mchana? Hizi imani zingine za shuruti hizi...zipewe polisi wasimamie basi
Mwalimu alisema........! Kisichobadilika ni neno la \mwnyezi Mungu tu. Mbona magufuli kasema mawaziri wajuwe KKK tu, je hili litadumu milele??Mwalimu alisema serikali haina dini, inakuwaje matamko yatolewe na viongozi wa serikali!
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Utakuwa mgonjwa wa akili wewe sio bure. Pale Darajani si mnajazana nyinyi kwa mafungu kula ukwaju na urojo, au ni mwezi huu tu ndio kula nje ya nyumbani kwako unakuwa kichaa?Mkuu ebu kuwa mwelewa. hujakatazwa kula mchana. Umeambiwa usile hadharani. Pika sembe yako na dagaa, kaa sebuleni kwako kula ukishiba nenda kaendelee nakazi zako. Tatizo liko wapi? Na ukibeba ugali ukaenda kukaa barabarani ukaanza kula utaonekana kichaa maana hakuna mtu anayekula chakula hadharani kama ana akil timamu. Yaani uache familia yako ukakae stendi uanze kula chakula?? Ujuwe huku unashikwa na Polisi na ndo wanaosimamia hayo maagizo na unaswekwa ndani hadi ramadhani iishe.
Wewe mzima wa akili beba jiko lako kapike urojo Darajani uite wazima wenzako mkae pale muanze kunywa huo urojo hadharani mwezi mtukufu.Utakuwa mgonjwa wa akili wewe sio bure. Pale Darajani si mnajazana nyinyi kwa mafungu kula ukwaju na urojo, au ni mwezi huu tu ndio kula nje ya nyumbani kwako unakuwa kichaa?
Yaani siwezi kula dafu kwa kuwa tu wewe umefunga? Nyie ndio maana Jecha kawageuza kama chapati
Wazee wa mabomuAcha ukobe wako ww!! "
Itakua muislamu wa kurithi kama muislamu anayejua dini yake na misingi yake hawezi kusema huo ni UPUUZI,Acha kutetea upuuzi
Mimi ni muislamu lakini hiyo napinga kwa 100% hiyo sheria yao
Wao wanatuungaga mkono? mbona pale darajani kipindi cha kwa resma wanakula urojo kama kawaTanzania Kuna Vituko Vingi Sana, Pia Elewa Suala La Mila Na Desturi Zetu Zilivyo,si Mbaya Kuwaunga Mkono Wenzetu Wakati Wa Funga Yao
Ushoga ndio uko sawa!Dini inayotetewa kwa nguvu nyingi na binadamu ujue kuna kitu hakipo sawa!