Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
SMZ Msitishe watu,
1.kwanza Sheria hiyo haipo na haijawahi kuwepo isookuwa wakati wa utawala wa Karume wakati Zanzibar ikiendeshwa na " decree"
2. Simamisheni shughuli zote za utalii mkwezi mzima wa Ramadhan kuondokana na kuwatesa bure wasio kuwa na hatia.

SMZ na ofisi ya Mufti muwe wa kweli msiwee wanafiki. Kama kweli uislamu una kuumeni na kujua kuwa Maimamu ndio wenye wajibu na Mamlaka ya kuwaelemisha umma kuhusu Mwezi mtukufu wa Ramadhani basi waachieni huru Maimamu wa UAMSHO na kurudi kuja kuwaamsha watu kuhusu maadili mema ya kiislamu.
Ibada ya funga ni ya mja na muumba wake. Serikali inashindwa kutimiza majukumu yake badala yake inaingilia kazi za mungu sasa.
Halafu kwani ibada ni kufunga tu? Kama wao wameamua kujipa majukumu ya kusimamia ibada kwa nini wasiweke hiyo sheria kwenye ibada nyingine, kwa mfano kila muda wa swala watu wote waingie misikitini. Na asionekane mtu yeyote barabarani au akifanya shughuli yoyote nyingine.
Watu wanajifanya wanapenda sana dini na mwenyezi Mungu wakati wao kwa madaraka yao wanatesa na kunyanyasa waislam wenzao kwa maslahi yao.
 
Waislam wanavyopenda kuenforce vya kwao lakini wewe ole wako ujaribu kuwageuzia kibao
Udini wa hali ya juu
 
Tanzania ina mikoa mingap? Na costal regions mikoa mngapi af jijibu mwenyew... Usipende kubishana na ukweli
 
Ndio hivyo mnalazimika kuishi na hao wasioamini katika uislamu,na mkileta fyoko kikosi kinashuka,umesahau Mkapa alivyomwagia risasi kama kuku!

Tunakumbuka mkapa alivyotumwagia risasi kama njugu, lakini na yeye anakumbuka namna ya hao hao wapemba walivyomtumia popobawa akammwagia.....au wewe umesahau alipofika Dar kutoka Pemba alivyowatuhumu wapemba kwa uchawi!!???.
 
Mtu saa 10 unaamka kushindilia msosi,kwann ushindwe kukaa kutwa bila kula ukisubiri saa moja upige,kikishuka saa 5 upige,halafu unaweka alarm saa 10 alfajiri unashindilia tena
Jaribu na wewe, ufanye kazi kutwa nzima huku umefunga na usiku usilale ukeshe unakula kama kiwavi jeshi ! wenzako kwarerma imewashinda kila mtu na tafsiri yake. eti unaweza kuacha kunywa bia halafu pesa hiyo bia ukatoa sadaka. Dunia imewapumbaza nyie, mmefika !
 
Hahahaaaaaaaaaaa mnachekesha sana!Sasa kuweni watulivu hivyo maana kama mnataka kuishi!
 
Jaribu na wewe, ufanye kazi kutwa nzima huku umefunga na usiku usilale ukeshe unakula kama kiwavi jeshi ! wenzako kwarerma imewashinda kila mtu na tafsiri yake. eti unaweza kuacha kunywa bia halafu pesa hiyo bia ukatoa sadaka. Dunia imewapumbaza nyie, mmefika !

Kwani unadhani sijawahi kukaa njaa kutwa nzima?Tena usiku nilikuwa nimekula mapema tu saa 2 na kesho yake sikula kabisa!
 
RC mi ndo msiniambie kitu. Sababu mlikuwa mnachemsha kwenye mafuta watakatifu walioenda kinyume na nyie, mlikuwa mkitupa watu kwenye moto, mnaua watu ovyo kwa kuwarusha kwenye simba wa njaa ya wiki nzima
 
Mtu saa 10 unaamka kushindilia msosi,kwann ushindwe kukaa kutwa bila kula ukisubiri saa moja upige,kikishuka saa 5 upige,halafu unaweka alarm saa 10 alfajiri unashindilia tena
In fact ni ratiba ya msosi imebadilishwa.badala ya mchana vitu vinamegwa usiku kwa kiwango kilichozidi ile desturi ya mchana!!
 
Unawezaje kupima mfungo wa mtu kwa kumzuia kuona vishawishi? Haiingii akilini. Waacheni waislam wa zanzibar waone watu wengine wasio waislam wakila kisha tujue kweli wana uvumilivu wa kiimani au ni mbwembwe tu
 
Kama wewe unajiamini tafadhali karibu Zanzibar uje ujilie hadharani (mbele za watu) mchana katika mwezi mtukufu wa ramadhani.
Mi nakuja na ntashuka na Pizza ntakula BARABARANI pale mfereji wa wima tuone mtanifanyaje!!
 
Kiufupi mifungo ya namna hii ni kwa ajili ya shows tu.Ni kwa ajili ya kujitangaza tu kama uonavyo watu wakifanya pale viwanja vya DabaSaba.Ingekuwa mfungo ni kwa ajili ya kuwasiliana na Mungu basi ungeweza kufanyika hata usiku.Lakini hawataki kufunga usiku kwa sababu nyakati hizo watu wanakuwa wamelala na hivi hakutakuwa na mtu Wa kuwaona.
 
Mi nakuja na ntashuka na Pizza ntakula BARABARANI pale mfereji wa wima tuone mtanifanyaje!!

Karibu tena kwa mikono miwili tena usisahau na Lita moja ya chupa ya maji ya Kilimanjaro ya kurekebisha koo!!

Nakuahidi hautokimaliza kipande chako kabla ya simba wa Mungu hawajakupatia vipengele vinavyokataza watu kula au kunywa hadharani (mbele za watu) wakati wa mchana wa ramadhani.

Karibu baba
 
Hizi imani, eti mtu analazimishwa kuwa mtakatif.. Arab new form of slavery to Africans
 
Tunakumbuka mkapa alivyotumwagia risasi kama njugu, lakini na yeye anakumbuka namna ya hao hao wapemba walivyomtumia popobawa akammwagia.....au wewe umesahau alipofika Dar kutoka Pemba alivyowatuhumu wapemba kwa uchawi!!???.

Unao ushahidi kwamba hao "popobawa" kweli walimfikia? Au ni vitu vya kusikia tu watu wakiongea basi na wewe ukayabeba hivyo hivyo bila utafiti? Hao popobawa walikuwa wanasubiria hadi Mkapa aende huko Pemba? Kama wana uwezo huo kwa nini hawakumfuata huku bara?
 
Uzuri wenyewe bado yuko hai na afya tele nenda kamuulize ili upate ithibati ya maneno yangu!!

Nitajaribu kuipata clip ya maneno yake juu ya ushirikina wa wapemba nikienda hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom